Babamzazi
Senior Member
- Oct 27, 2013
- 176
- 39
Kuna ubaya gani kumsifia mtu kwa alichokifanya mwaka jana wakati yeye mwenyewe ameanza kwa kujisifu au kuna mipaka ya CV ya mtu?Sasa umeanza kutuletea stori zamabonanza ya pombe tena humu ndani?
Kama tatizo ni kukumbushia mabonanza ya Pombe mbona hata basi la timu na jezi zao zinatoka huko huko Pombeni?