ndetichia
Platinum Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,589
bahati mbaya wanaishia nafasi ya 2!
eti enheee..
bahati mbaya wanaishia nafasi ya 2!
Nani katupia nyavuni huyo? Dah kuishabikia hii timu ni kujiepusha na matatizo ya ugonjwa wa moyo.azam fc 1 - 0 rhino
Mabingwa wapya (Azam) Matokeo yao yakoje?
Nani katupia nyavuni huyo? Dah kuishabikia hii timu ni kujiepusha na matatizo ya ugonjwa wa moyo.
Ahsante Mkuu, nishayapata ila sijajua nani alietupia nyavuni?angalia page ya nane anaongoza kwa moja bila..
na goli????possession COASTAL 48, YANGA 52.
Ambalo kipindi cha pili inakaa timu gani?goli la upande wa old tanga halilali na njaa
kipre tchetche..Ahsante Mkuu, nishayapata ila sijajua nani alietupia nyavuni?
Coastal 0-0 Yanga.na goli????
kweli mkuu..tegete anafaa leo..kuna mipira mingi inapotea kwenye box.Toa Msuva na Joshua. Ingiza Nizar na Tegete. Luhende arudi kipiga beki tatu kisha Nizar piga eleven ya kuingia ndani na Tegete Piga seven ya kuingia ndani huku tukiwatumia Twite na Luhende kama mawinga,hapa lazima coat akae nyambafu cc Revocatus Kashaga Masuke ndetichia Kitoabu watu8 Makoye Matale kbm ACCOUNT FULL
hapo chacha..na goli????
nimekupata kiongozi.Coastal 0-0 Yanga.
kipindi cha pili kimeanza..
Umegeuka kocha sasa?Toa Msuva na Joshua.
Ingiza Nizar na Tegete.
Luhende arudi kipiga beki tatu kisha Nizar piga eleven ya kuingia ndani na Tegete Piga seven ya kuingia ndani huku tukiwatumia Twite na Luhende kama mawinga,hapa lazima cost akae nyambafu
cc Revocatus Kashaga Masuke ndetichia Kitoabu watu8 Makoye Matale kbm ACCOUNT FULL
Kausha bhana!Umegeuka kocha sasa?