msuna anakosa goli la wazi! ilikuwa kugusa tu...mpira umedunda kaukosa..uwanja haupo vzuri sana.
kuna watu wanarusha moja moja mkuu.khee imekuwa bondia tena..
kuna watu wanarusha moja moja mkuu.
Duh! Imegeuka vital badala ya Soccer?dida kapigwa jiwe!
Mkimaliza na matokeo yenu,mtujjze na yale yetu ya mabingwa wapya wa Tanzania bara Azam fc..
"Nlikuwepo":bolt:
Ndio hali ya viwanja vyenu hiyo.msuna anakosa goli la wazi! ilikuwa kugusa tu...mpira umedunda kaukosa..uwanja haupo vzuri sana.
Ice cream makers hawataki utani mwaka huu.azam fc 1 - 0 rhino
kuna watu wanarusha moja moja mkuu.
bahati mbaya wanaishia nafasi ya 2!Ice cream makers hawataki utani mwaka huu.
Mkuu, kunaubaya gani ukiwaita mabingwa wapya?Ice cream makers hawataki utani mwaka huu.
Mabingwa wapya (Azam) Matokeo yao yakoje?