Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
Yanga piga hao.
Yanga ni Chama la Ukweli linawadundaga bila kelele yoyote.
Yanga piga hao.
Hivi viongozi wameshindwa kujuwa taratibu za usajili wanajuwa mpira kweli tm hii ya wauza sembe kwa kweli inaibisha sasa wanajisifu kuifunga cost subirini kipigo mrudi dar vichwa chini nyambafu
Bangi zinakupeleka kubaya wewe, angalia sana utapelekwa Mirembe muda si mrefu.
Vip ile kesi ya pembe za ndovu alizokamatwa HASANOO kiongozi wa SIMBA a.k.a mikia unaweza kujua imefikia wapi???au unabwabwaja tu hapa
Ni kweli tuliona lilivyomdunda Mnyama siku ya Mtani jembe. Hahahaaaaaaaaaa TeheteteheteheteheteeeeeeYanga ni Chama la Ukweli linawadundaga bila kelele yoyote.
Kama walishindwa kumaliza kazi Uwanja wa Taifa wakaishia kutupa mawe huko Tanga wataweza?
Oman 2 Uturuki 1
Bangi zinakupeleka kubaya wewe, angalia sana utapelekwa Mirembe muda si mrefu.
Ningefahamu lilipo kaburi la aliyekuroga ningeenda kulitandika bakora!leo ndio leo katika soka la bongo best luck azam fc..
Walichoshana nguvu kwa kila mmoja kuambulia point 1. Cost 1-1 jkt oljoro.Mkuu nipo, leo nitakuwa gado kabisa. Kwa siku kadhaa nilikuwa nje ya nchi sasa nimerudi. Hivi Coastal na JKT Oljoro walitokaje? Hii itatoa taswira ya mchezo wa leo.
Nipo Tanga nitawaletea moja kwa moja kinachojiri kutoka uwanja maarufu wa Mkwakwani
wadau wengine kama @mandieta, watu8, Makoye Matale kbm na wengineo tujumuike hapa
Mkuu leo lazima turudi kwenye nafasi yetu tunayostahili ukizingatia hatuna mechi ngumu sana leo.leo ndio leo katika soka la bongo best luck azam fc..
Ni kweli tuliona lilivyomdunda Mnyama siku ya Mtani jembe. Hahahaaaaaaaaaa Teheteteheteheteheteeeeee
leo ndio leo katika soka la bongo best luck azam fc..