ndetichia
Platinum Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,589
Mh! Jiongopee tu.
liambie kabisa hilo..
Mh! Jiongopee tu.
Kwa hiyo mechi ijayo Simba tukishinda mtakuwa mmetutangulia pointi mbili tu, halafu mechi ijayo mnacheza na Mbeya City.
Hiyo mechi ijayo na Mbeya city, tunaweka record 2.Kwa hiyo mechi ijayo Simba tukishinda mtakuwa mmetutangulia pointi mbili tu, halafu mechi ijayo mnacheza na Mbeya City.
usisafirie nyota ya mwenzio..Hiyo mechi ijayo na Mbeya city, tunaweka record 2.
1.Tunaweka record ya mapato taifa.
2.Kuwa timu ya kwanza kuifunga Mbeya city.
Hiyo mechi ijayo na Mbeya city, tunaweka record 2.
1.Tunaweka record ya mapato taifa.
2.Kuwa timu ya kwanza kuifunga Mbeya city.
Hawa hawa waliotuzuia wataturejesha kileleni pale mtakapokutana nao.
Beki na Kiungo kwa sasa Yanga hakuna, Okwi na Kiiza wasiporudi mapema kwenye timu nafasi ya nne halali yenu baada ya mechi kama tano tu.
Beki na Kiungo kwa sasa Yanga hakuna, Okwi na Kiiza wasiporudi mapema kwenye timu nafasi ya nne halali yenu baada ya mechi kama tano tu.
Mkuu Masuke mbona leo umeamua kujitoa akili hivi?!
Hiyo mechi ijayo na Mbeya city, tunaweka record 2.
1.Tunaweka record ya mapato taifa.
2.Kuwa timu ya kwanza kuifunga Mbeya city.
....''Alifulela Ulela'' ametoka wapi tena????Njooni tu, hatuna mpinzani hapa Bongo; katika msafara wa Mamba (Yanga) na Kenge (Simba) wapo. Mtajifaragua weee, mwisho Yanga-bingwa, Azam-2 na Simba-3.
.....si mmetoka Uturuki??????Tatizo letu Yanga si wachezaji. Yanga tuna strength in depth kwenye squad yetu.
Tatizo letu ni upya wa benchi la ufundi - kitu ambacho in the long run kitawaathiri Simba & Azam pia.
.....si mmetoka Uturuki??????
Coastal 0 Yanga 0 FT
Hapo mulipo ndio nafasi yenu hiyo, au unataka umpishe mikia?Mbio za vijiti hizi, ila soon tutarud ktka nafasi yetu jumla!
Hiyo number moja ni kweli munaweza timiza ndoto hizo, lakini hiyo number mbili nakataaaaaaaa!!!!Hiyo mechi ijayo na Mbeya city, tunaweka record 2.
1.Tunaweka record ya mapato taifa.
2.Kuwa timu ya kwanza kuifunga Mbeya city.
Nasikia walipeleka mzigo......si mmetoka Uturuki??????
azam tv wanaboa watazamaji...timu inashambulia wao wanaonyesha mashabiki...leo replay hakuna.
Mkuu kwanini asiachane na malapa hayo?Kale ugali na picha ya Sato, utajisikia raha sana.