Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,928
Huyo atakuwa katoka usingizini.Unaota nini?
Huyo atakuwa katoka usingizini.Unaota nini?
UisheeeeeeeeeeDk 87, 0-0
kha..! Haujaisha tu.coastal wanapoteza nafasi hapa!!!!
.....unaweza ukashangaa Singano, Tambwe na Donoti Msoti wanashushwa Timu B alafu jamaa wakaanza kujipigia tu.
Kuna mdau hapo juu aliomba gem ya malapa iishe kwa sare, sasa namuona kama Mzee wa Upako vile.Yupi huyo na dua gani?
Goaallllll
Simba tunakuja sasa.Acha Azam nao waonje uongozi wa ligi, tutawakamata mbele ya safari. Refa amalize mpira mwishowe watatubahatisha hawa.
ndio umeisha mkuu..0-0kha..! Haujaisha tu.
Acha Azam nao waonje uongozi wa ligi, tutawakamata mbele ya safari. Refa amalize mpira mwishowe watatubahatisha hawa.
umeishiwa mbinu!!!!!Acha Azam nao waonje uongozi wa ligi, tutawakamata mbele ya safari. Refa amalize mpira mwishowe watatubahatisha hawa.
Anavuta bangi huyo.nini tena
Maneno haya yanatoka ndani ya kinywa chako kweli?Acha Azam nao waonje uongozi wa ligi, tutawakamata mbele ya safari. Refa amalize mpira mwishowe watatubahatisha hawa.
hongereni kwa kutofungwa, na poleni kwa kunyang'anywa usukani.ndio umeisha mkuu..0-0