Vpl 29/01/2014 live updates kutoka viwanja mbalimbali

Tunakuomba usiwe unapotea potea hewani ambapo mambo yakienda ndivyo sivyo ngoja nisubili pasi za sambusa kuoka Uturuki,Nikibahatika kupata mda nitakuwa natazama Azam tv .
 
Utabiri wangu YANGA 2, COASTAL 1
Wafungaji Yanga {kavumbagu 27, niyonnzima 65}, coastal..goal dk 77
 
Pamoja Mkuu. Mechi itakuwa ngumu sana kwetu WanaJangwani, hata hivyo hatuna jinsi tutajitahidi angalau tuwapige kamoja bila, cha msingi ni pointi tatu muhimu.

Swala la Upatikanaji wa Tiketi hapa mjini Tanga bado ni kizungumkuti, watoaji wa huduma ya fahari wapo wawili katika jiji la TANGA, Foleni ni ndefu sana ila cha ajabu kuna watu wameweza kununua tiketi zaidi ya mia na wanauza kwa ulanguzi maeneo mengine ya jiji, nashindwa kuelewa kwa maana kwa mfumo huu wa electroniki TFF walisema mtu hataweza kununua tiketi zaidi ya Tano sasa hizi ambazo watu wanalangua wanazitoa wapi?? Nipo maeneo ya Ngamiani naelekea sabasaba panapouzwa tiketi nitawaletea updates ila mwako juu ya mechi ni mkubwa sana!!
 
Dah...Yanga leo mtawaonea Huruma...hapa kado pale Captain Juma Nyosso...Shimoni Jerry Santo....mbele Haruna Moshi 'Boban'...Pembeni unakutana Keneth Masumbuko....Mwisho unakutanana mtu mzima Yayo Lutimba Kato...Aisee Yana mupo katika wakati mgumu leo...ukija Jukwaani huku,si tarumbeta hizo na 'kigoma cha coast'...usikose !!!! Yanga anakufa leo kweupeeeeeee....!!!
 
Kazi ipo TFF haijatibu tatizo bado
 
Hao wote uliowatacha c ndo wale wale walioifikisha coastal sijui nafac ya nane? C ndo hao hao walioanza na dro mechi iliyopita..au hao uliowataja ni wengine tofauti na waliozoeleka? Kwa ufupi hapo hakuna jipya..tunajipigia kama kawa..DAIMA MBELE NYUMA MWIKO
 
Utabiri wangu YANGA 2, COASTAL 1
Wafungaji Yanga {kavumbagu 27, niyonnzima 65}, coastal..goal dk 77
Kazi hiyo ilimshinda Sheykh yahya Hussein utaiweza wewe? Leo mukijitahidi na kwa huruma ya mwamuzi basi suruh.
 
Dah...Yanga leo mtawaonea Huruma...hapa kado pale Captain Juma Nyosso...Shimoni Jerry Santo....mbele Haruna Moshi 'Boban'...Pembeni unakutana Keneth Masumbuko....Mwisho unakutanana mtu mzima Yayo Lutimba Kato...Aisee Yana mupo katika wakati mgumu leo...ukija Jukwaani huku,si tarumbeta hizo na 'kigoma cha coast'...usikose !!!! Yanga anakufa leo kweupeeeeeee....!!!
Kwa kuhofia kurukiwa na damu itanibidi niwe mbali na tukio lenyewe kwa ujumla. Sipati picha jinsi Mganda Yayo atakavyo kua akiyamenya matango kutoka Uturuki.
 
Hivi viongozi wameshindwa kujuwa taratibu za usajili wanajuwa mpira kweli tm hii ya wauza sembe kwa kweli inaibisha sasa wanajisifu kuifunga cost subirini kipigo mrudi dar vichwa chini nyambafu
 
Pamoja Mkuu. Mechi itakuwa ngumu sana kwetu WanaJangwani, hata hivyo hatuna jinsi tutajitahidi angalau tuwapige kamoja bila, cha msingi ni pointi tatu muhimu.
Habari yako mheshimiwa, umeadimika sana siku hizi Kulikoni? Au umebariki ubingwa kuja Chamanzi complex?
 
Hivi viongozi wameshindwa kujuwa taratibu za usajili wanajuwa mpira kweli tm hii ya wauza sembe kwa kweli inaibisha sasa wanajisifu kuifunga cost subirini kipigo mrudi dar vichwa chini nyambafu

Vip ile kesi ya pembe za ndovu alizokamatwa HASANOO kiongozi wa SIMBA a.k.a mikia unaweza kujua imefikia wapi???au unabwabwaja tu hapa
 
Kwa kuhofia kurukiwa na damu itanibidi niwe mbali na tukio lenyewe kwa ujumla. Sipati picha jinsi Mganda Yayo atakavyo kua akiyamenya matango kutoka Uturuki.

Yayo kato ndo nani vile anamagoli mangap ligi kuu???
 
Habari yako mheshimiwa, umeadimika sana siku hizi Kulikoni? Au umebariki ubingwa kuja Chamanzi complex?

Mkuu nipo, leo nitakuwa gado kabisa. Kwa siku kadhaa nilikuwa nje ya nchi sasa nimerudi. Hivi Coastal na JKT Oljoro walitokaje? Hii itatoa taswira ya mchezo wa leo.
 
Back
Top Bottom