bilashaka hii ni baada ya kuangalia trend nzima ya mchezo.....na huu ndo uchambuzi hasa tunaoutaka; vipi lakini kwa upande Coast Union wao wanamapungufu gani! au wako vizuri na wanaenda sawa na kasi ya mchezo????Toa Msuva na Joshua.
Ingiza Nizar na Tegete.
Luhende arudi kipiga beki tatu kisha Nizar piga eleven ya kuingia ndani na Tegete Piga seven ya kuingia ndani huku tukiwatumia Twite na Luhende kama mawinga,hapa lazima cost akae nyambafu
cc Revocatus Kashaga Masuke ndetichia Kitoabu watu8 Makoye Matale kbm ACCOUNT FULL
kweli mkuu..tegete anafaa leo..kuna mipira mingi inapotea kwenye box.
Toa Msuva na Joshua.
Ingiza Nizar na Tegete.
Luhende arudi kipiga beki tatu kisha Nizar piga eleven ya kuingia ndani na Tegete Piga seven ya kuingia ndani huku tukiwatumia Twite na Luhende kama mawinga,hapa lazima cost akae nyambafu
cc Revocatus Kashaga Masuke ndetichia Kitoabu watu8 Makoye Matale kbm ACCOUNT FULL
ni nini hasa wachezaji wa Mbeya City walichonacho cha ziada ambacho wachezaji wa timu nyingine zinazoshiri ligi kuu ya Vodacom hana??? Mpaka sasa hivi wako vizuri na hawajaonyesha dalili yoyote ya kupoteza mechi....Updates' kama kuna mabadiliko...LIGI KUU TZ:
Yanga 0-0 Coastal Union,
Azam 1-0 Rhino Rangers,
Mbeya City 1-1 Ruvu Shooting,
Toa Msuva na Joshua.
Ingiza Nizar na Tegete.
Luhende arudi kipiga beki tatu kisha Nizar piga eleven ya kuingia ndani na Tegete Piga seven ya kuingia ndani huku tukiwatumia Twite na Luhende kama mawinga,hapa lazima cost akae nyambafu
cc Revocatus Kashaga Masuke ndetichia Kitoabu watu8 Makoye Matale kbm ACCOUNT FULL
Kama vp hili pira liishe hivi hivi.dk 60, coastal 0-Yanga 0.
Bora huyo jamaa alivyo ingia, maana mungepata kisingizio.luhende out, tegete in
Atakaye fungwa hapa, sidhani kama goli litarudi, coastal wanakosa bao hapa!! inagonga mwamba wa juu!! kona!