ndio umeisha mkuu..0-0
Kwa hiyo mechi ijayo Simba tukishinda mtakuwa mmetutangulia pointi mbili tu, halafu mechi ijayo mnacheza na Mbeya City.
ndio umeisha mkuu..0-0
ABDI BANDA yellow card..
Nipo Tanga nitawaletea moja kwa moja kinachojiri kutoka uwanja maarufu wa Mkwakwani
wadau wengine kama @mandieta, watu8, Makoye Matale kbm na wengineo tujumuike hapa
Azam 1 Rhino 0 FT
Coastal 0 Yanga 0
Kwa hiyo mechi ijayo Simba tukishinda mtakuwa mmetungalia pointi moja tu, halafu mechi ijayo mnacheza na Mbeya City.
ndio mpango mzima..Hawa Rhino vipi? 1 kila siku!
Simba tunakuja sasa.
Matokeo ni 1 - 1 kwa kila timu.Jamani naomba matokeo ya Mbeya city
Mh! Jiongopee tu.Azam wanatangulia na baiskeli ya miti sio mbaya!!
Jamani naomba matokeo ya Mbeya city
Hapo sasa ubingwa nauona uleeee unakuja kwa mbaaaaaliiiii. Arafu cha kufurahisha yule msafiria nyota za watu (MCC) nayeye kalazimishiwa sare. Ngoja nichepuka pembeni nikajipongeze kidogo.
kazi kushnei mpaka bunduki ndo tutoke..Hapo sasa ubingwa nauona uleeee unakuja kwa mbaaaaaliiiii. Arafu cha kufurahisha yule msafiria nyota za watu (MCC) nayeye kalazimishiwa sare. Ngoja nichepuka pembeni nikajipongeze kidogo.
Mbio za vijiti hizi, ila soon tutarud ktka nafasi yetu jumla!hongereni kwa kutofungwa, na poleni kwa kunyang'anywa usukani.