Ndg zi uende kwa wakala akakukamilishie usajili wa line yako mengine mnawabebesha voda lawama tuVodacom Tanzania Vodacom Tanzania Vodacom Tanzania Mnanikera sana saaaana na mameseji yenu ya kufutiwa huduma yani kwa siku napokea msg zaidi ya kumi hebu kama mnafunga line mfunge msinichoshe mie yani bora hata zile Meseji za waganga kuliko huu upuuzi wenu
Hata Mimi tatizo hili limenikuta sana yaani mpka najitumia SMS mwenyew na line nyngne lkn waap haijijamani namba yangu ya voda kila nikipigiwa na watu wa tgo naambiwa namba haipo na ukitumiwa sms na watu hao hao wa tgo sms inakuletea ujumbe fail to deliver naomba ushauri nimeenda voda mpaka wao wameshindwa naomba wataalamu zaidi wanisaidie. Namba ni ...
Naomba tu niwambie lile deni lenu sitawalipa sababu sina kitu saiv mkiweza naomba mnivumilie
Salaam,Hata Mimi tatizo hili limenikuta sana yaani mpka najitumia SMS mwenyew na line nyngne lkn waap haiji
Salaam Nanga,Hivi inawezekana kulipa mkopo wa M-pawa then muda huohuo ukaomba mkopo kiasi kikubwa zaidi ya mwanzo.??
Sent using Jamii Forums mobile app
shukrani sana Kibomonya,Vodacom ndo mtandao wangu pendwa, actually mko vzr mengine ni mapungufu madogomadogo ambapo kila sehem(mtandao wa simu) yapo ILA sasa napenda tu nishauri kuwa kuwepo na shortcut kwenye menyu ya kuzuia muamala hata Kwa Mimi muhuika pasipo kuanza kuklpiga simu hudum Kwa wateja na pengine isipokelewe Kwa wakati, ingawa pesa haipotei kirahisi lakin tu katika kuweka wepesi wa huduma fanyeni kiturahisishia mlolongo wa hudumu ya kipesa (mpesa) hata tukikosea kufanya muamala. Ahsanteni sana Kwa huduma yenu ilotukuka!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana vodacom ,,chaguo langu.Salaam Nanga,
kuongezeka kiasi cha kukopa inategemea na mwenendo wako wa matumizi ya simu na kufanya marejesho, na si rahisi ikawa ghafla. Endelea kuwa nasi kwa huduma nzuri zaidi.