Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

Nyie voda kwa nini mmeondoa kile kifurushi cha ya kwako tu jamaniiii........tulikua tunapata raha elfu mbili GB tano mwezi mzima sikuhizi mb mia tano kwa elfu mbili ebu kuwen serious khaaa
 
Voda huu mtandao wa kifhala kweli wezi kwelikweli nimesajili line wiki iliyopita leo naitafuna natupa bumbav zenu yaani nimeweka salio najiunga kifurushi hamtoi feedback kuwa kifurushi kimekuwa tayari ama nini nacheki salio linasoma ziro yaani pesa zinaunguzwa kama forex.......bora niendelee na tigo shnz sana nyie
 
Mtandao wa vodacom ni wezi wa Hela za wateja, wiki moja iliyopita Mke wangu alikuwa na salio la sh 3000 kwenye simu , siku hiyo ya kwanza wakakwiba tsh 300/=, siku ya pili wakakwiba tena 300/=. ikabidi kuwatafuta cha ajabu wakamwambia wife kajiunga na tusua mapene, maskini wife akabaki anashangaa tusua mapene ndy nyimbo gani, eeeh kumbe ni bahati nasibu ya kutuibia hela.

TCRA mpo kazi kudeal na blogs na kuwafungua wakina jamii forums, mambo yanayowatia watanzania umaskini mnaziba masikio. au mpaka hili oda itoke juu, sasa subirini siku JIWE apigwe mipunga yake kwenye simu yake ndy mtajua.

MATANDAO WA VODACOM NI WEZI WA HELA ZA WATEJA .... AIBU KAMPUNI KUBWA KAMA VODACOM MNAIBIA MASKINI.

NITAHAKIKISHA WIZARA HUSIKA NA TCRA WANALIJUA HILI, NA HATA CEO WA VODACOM TANZANIA, NA DUNIA. WAONE NI GANI JINSI MULTI INTERNATIONAL COMPANY INAVYOWAIBIA WATANZANIA
 
Vodacom pengine mnaweza mkawa mmelewa sifa, wakati mnaanza kutoa Huduma ya internet mlikuwa vizuri sana. Ila kwa sasa Huduma zenu mbovu sana.

Wakati mwingine mnatoweka tu hewani, kumbukeni biashara ni ushindani. Binafsi sina ubia nanyi hivyo naweza kuwakimbia muda wowote.
 
Huu mtandao wa watengeneza faida tigo kuhamisha pesa kwenda kwenye makampuni ya betting rahisi sana ila huu makato yao makali mno pia makato ya baadhi ya miamala ipo juu mno ndo mana huwa wanatangaza faida mapema piga sana watanzania nyie
 
Siku hizi mnamatatizo sana kila dk internet connection inakata...


Azam anakuja kuwajambisha mama**e wote tunaondoka.jana jion mlikatika nikiwa katikati ya mnada online
 
Back
Top Bottom