Yuyo Ahumile Shamalendi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2018
- 993
- 782
Naombeni majibu ya hili swali, au kama hamna majibu nianzishe uzi wa hivi ili wanijibu wenye ujuzi wa haya mambo.Nina swali moja kwa watu wa mtandao, naombeni tafadhali mnijibu.
Ni hivi, kwa mfano mtu ameenda kusoma nje ya nchi hasa nchi za mbali huko, wakati akiwa nchini alikua akitumia mawasiliano ya simu kwa kupitia laini zenu je anavokua nje ya nchi halafu akakaa huko zaidi ya mwaka atakapokua amerudi masomoni ile laini yake ya simu atakua bado anaendelea kuitumia au haiwezekani na kama haiwezekani je kuna taratibu za kufuata ili aendelee kuitumia ile laini yake?
Achana nao,njoo HalotelWahusika wa Vodacom Tanzania taarifa ni kitu cha msingi sana kwa wateja wenu.. mchezo wa kubadili units za pindua pindua bila taarifa mnakosea.
Jana unit 5 ilikua sawa na dakika moja mitandao yote. Leo unit 50 ni sawa na dakika moja yaani mara kumi zaidi ya ilivyokua sikua ya jana? Shikamooni...
Ishu kwenda policy na sms iyo mawasiliano haitakusaidia ndyo wenye dhamana Voda watazaidianaMimi.nimeshulumiwa 150000 na mfanyakazi wa Vodacom Geita na hataki kunilipa pesa zangu.naombeni mawasiliano ya Vodacom.Geita nisaidiwe kupata pesa yangu.
Ndugu mteja,
Una tatizo lolote unapotumia mtandao wetu? Una ushauri wowote ili tuiboreshe huduma yetu?
Tafadhali itumie mada (thread) hii ili tukusaidie kwa urahisi.
Unapokuwa na tatizo, ili tukusaidie kirahisi zingatia haya:
- Ni tatizo gani? (M-PESA, SMS, Calls, Internet, usajili, kukatika kwa mawasiliano n.k)
- Maeneo gani? (Tukifahamu location, inakuwa rahisi kukuelekeza wapi uende ili upate physical assitance toka kwa vendor wetu aliye karibu nawe)
- Tatizo limeanza lini na limejirudia au kuendelea kuwa kero kwako kwa muda gani?
- Kama ni ushauri, zingatia ya juu lakini tutafurahi tukijua kwanini unapendekeza unachopendekeza
- Kama ni pongezi, zingatia ya juu na tungependa pia upendekeze lipi tufanye kuzidi kuiboresha huduma kwako.
Karibu
Vodacom Tanzania
Mimi laini sikuthibitisha usijili kutokana na kupoteza vitambulisho vyangu vyote, he kuna msaada wowote naweza pata au ndio niachane nayo? maana mmenifungua huduma zote na mtandao wenu naupendaNdugu mteja,