Viwango vya mshahara serikalini degree 1

Viwango vya mshahara serikalini degree 1

Engineer mbn hajatendewa haki kbx inakuwaje engineer awe na maisha ya juu kumzid dakitari while salary scale ya Dr iko juu
Jibu lipo wazi, angalia jengo la BOT mza lenye thamanj ya 44Bil ndo utajua hela wanakotoa😜!
 
Mfamasia degree holder anaanza na TGHS D. mshahara wake chini ya millioni.
Hua mnajiskiaje kuongea vitu vya kufikirika. Mshahara wa mfamasia TAMISEMI ma Wizarani ni 1,215,000/=.

Kwenye mashirika unatofautiana kulingana na position na shirika lenyewe (MSD, NHIF, TMDA etc).
 
Hua mnajiskiaje kuongea vitu vya kufikirika. Mshahara wa mfamasia TAMISEMI ma Wizarani ni 1,215,000/=.

Kwenye mashirika unatofautiana kulingana na position na shirika lenyewe (MSD, NHIF, TMDA etc).
Ahsante kwa muongozo mkuu
 
Umeona mwalimu tu?
Muhasibu, Afisa utumishi, afisa mipango na wengine wengi tu wanazidiwa na mwalimu wenyewe laki 7.1 wakati mwalimu 7.16
Hapa Swala Tusiangalie cheo tuangalie na fursa Kama training, seminar etc. Sasa MWALIMU anaweza kuzifikia hizo kada nyingine ......

Kinachofanya ualimu udharaulike Ni kutokuwepo kwa hizo opportunity, na kudeal na watoto shuleni.
 
Back
Top Bottom