christopherseba
Member
- Jun 16, 2019
- 37
- 29
- Thread starter
- #81
Kwa mantiki hyo unashauri nn mkuuNdo hivyo: MSHAHARA haujawahi kutosha
Kwa mantiki hyo unashauri nn mkuuNdo hivyo: MSHAHARA haujawahi kutosha
Nafikili nchi hii kwa ngazi ya halimashauri dakitari anabaki kuwa juuWekeni na Afisa kilimo wa halmashauri/wilaya/mkoa
Jafo ndiye anayelipa mishahara?Jafoo yuko busy anakagua kuta za majengo wakati watumishi wake serikali za mitaa ni masikini kuliko watumishi wote serikalini
Ni posho za vikaosamahani ,hivi hiyo ni mishahara au posho za vikao?
Duuu hatariiHiyo ni gross hapo unatakiwa utoe
HESLB 15%
PAYE 9%
NHIF 3%
VYAMA VYA WAFANYAKAZI 2%
Kinachobaki ndio jasho lako
Embu tuambie kabla ta July 2019 walikua wanakula ngapi hao majamaa...enh..😀😀😀 2M ni nyingi kwa Meneja? Sema Mishahara ya Serikali inategemea uko taasis gani mwalimu wa Degree ni kama Mara 3 na Nusu kufika Mshahara wa Entry degree level wa TRA wa Sh. 2, 340,000/= + 10% ya Over Time anakua kwenye 2.5M take home kama Hadaiwi loan Board anaweza Kuchukua 1.9M
Baada ya makato ni majanga wacha hiyo gross ibaki hivyo hivyoHii ni gros ? Take home ni kiasi gani, baada ya makato.
hahahahahaHizi mada ndo zinawaingiza mkenge wanavyuo, mtu anasoma hajapata kazi anaanza kuulizia salary scale, sa itamsaidia nn.
Hii ni gros ? Take home ni kiasi gani, baada ya makato.
Yeye kama waziri TAMISEMI anatakiwa apambane ili mlipa mishahara aongeze. Mbona wengine wanajiongezeaJafo ndiye anayelipa mishahara?
So na mimi unaniweka kwenye Kundi la Wanafunzi??😁😁😁vijana mnadanganyana sana baadae mkija mtaani mnaingia chaka mnaanza kuishi maisha ya lawama
So na mimi unaniweka kwenye Kundi la Wanafunzi??![]()
Mshahara wa dr ni 2 times wa mwalimu ukitoa makatoKwahyo mwalimu hamifii daktari hata kwa nusu take..!!!!
Nafikiri wengi wanahitaji mada ya namna ya kupata kazi serikalini kabla ya kujua mishahara. Ukikaa miaka 4 home na degree halafu huna kazi, ukiitwa sehemu mshahara 360,000/=, unaweza kukubali hata kufanya usiku na mchana


Bora umenisaidia mkuu.Andika kiume kwanza usilete utoto wakati umeuliza mada ya maana. Unaandika kama mada ya kubet.
Kumbe hapo hawajakwa bado!!Hii ni gros ? Take home ni kiasi gani, baada ya makato.
Umeongea vizuri sana mkuu.Nilipokuwa kijana nilikuwa na mawazo kama yako ila nilipoingia kazini ndio nimegundua. Issue ya mshahara mkubwa haijalishi umesoma nini bali unafanya kazi wapi?
Muhasibu wa ofisi X anazidiwa salary na dereva wa ofisi Y.
Omba Mungu upate taasisi nzuri na sio CPA.
Kila MTU anataka kujiajiri ila ni muhimu kuajiriwa ili upate msingi na mtaji. Vijana tafuteni ajira mkipata kopeni anzisheni miradi. Ikisimama acha kazi simamia mwenyewe.Sema ukisikiliza sana mada kama hizi utaishia kuambiwa bora kujiajiri kuliko kuajiriwa
Lakini bado tunazihitaji ajira, ingekuwa kujiajiri ni rahisi hivyo pasingekuwa na lundo la waajiriwa kuliko waliojiajiri
Kwanza anayekwambia jiajiri humjui, hujui kama yeye amejiajiri na anapata pesa ngapi, isijekuwa ni kutaka wote tulostike tu