Mr Confidential
JF-Expert Member
- Jul 1, 2018
- 1,542
- 2,474
Hana data afu anaongea tu. Sio vizuri kupotosha umma. Kama kitu hujui bora kukaa kimya, au kuleta taarifa nusunusu.Anaongelea engineers wa huko halmashauri, njaa kali
Hana data afu anaongea tu. Sio vizuri kupotosha umma. Kama kitu hujui bora kukaa kimya, au kuleta taarifa nusunusu.Anaongelea engineers wa huko halmashauri, njaa kali
Mfamasia ni 1,280,000/=Mwalimu 716,000
Mwanasheria 950,000
Muuguzi 980,000
Mfamasia 980,000
Daktari 1,480,000
Mhandisi 950,000
Mhasibu 950,000 ukiwa na CPA,,ila ukiwa na degree ni 710,000
AiseeNina interest ya kujua mshahara
Mwalimu
Dakitari
Muuguzi
Mfamasia
Mhandisi ngazi ya halimashauri
Mwanasheria
Mhasibu
N.k
Unataka uwe tofautiMwalimu wa Sanaa na wa sayansi ngazi ya degree mshahara ni sawa?
Ata sasa iko tofauti chiefUnataka uwe tofauti
Pharmacist anakula 1.3m kwa sasaMfamasia ni 1,280,000/=
Hivi watu wenye degree ya macho (optometrist) wanalipwa ngapi??Pharmacist anakula 1.3m kwa sasa
Ungetaja na hizo office za serikali zenye mishahara minono au pia ungetaja kada ili mtu ajue ni kada zipi zenye maslahiNaomba in accordance with the past working experience from the most reputable private company hapa Tanzania and the current working experience from public service.
In long run ukiwa unafanya gap analysis ya vitu fanya vitu gap analysis kwa objects zinazowiana yaaani what is the salary gap between engineer 2 from company x with 5 years working experience at company x and engineer 2 from company y with 5 years of working experience at company y. Hapa utapata majibu sahihi.
Kwa experience yangu mishahara ambayo ameiongelea hapo juu ndio the lowest salary kwa kada husika serikalini yaaani mishahara wa TGS kwa ajili ya mashirika yote ambayo hayazalishi pesa kama wizara au shirika lolote LA serikali amvalo linatoa services halizalishi pesa. And ndio the entry level salary.
Private sector mishahara mikubwa ni kwa top management tuuu while process owners(doers) wanalipa salary ndogo saaana na hawana benefits ambazo serikalini wanapata. Private sector mara nyingi entry zao ni below 1.5m gross na haiwezekani kupata pesa nyingine zaidi ya for rest of your life kazini ila serikalini Kila kitu kipo kwenye Sheria na miongozo kwamba mtu akilala nje ya kituo Cha kazi analipwa kiasi kadhaa and each and everything is well established and defined.
Serikalini mashirika yanayozalisha yanalipa mishahara mikubwa saaana ndio maaana serikalini ni kawaida kuona kijana wa miaka 30 amejenge ghorofa goba kwa miezi Saba while private sector haiwezekani hata kwa miaka kumi unless uwe kwenye top management.
Ukifanya gap analysis vizuri serikalini wanalipa mishahara mikubwa kuliko private sector.
Evidence.
Nenda sehemu yoyote ushuani huwezi kukuta mwenye nyumba ni kijana wa miaka 32 and anafanya kazi private sector haiwezekani. Private sector huwezi kununua gari bila mkopo never haiwezekani unless uwe kwenye top management. Ila serikalini mashirika yote yanayozalisha mtoto anaajiriwa baada ya miezi Saba ananunua gari kwa cash and sio mkopo ila kwa private sector haiwezekani bisha ongea mpaka kesho mpaka YESU ARUDI haiwezekani.
watu wanafanya private sector kama staging then unaenda sehemu nzuriiii serikalini ndio principal ya maisha ya wengi. if haupo kwenye top management private sector then haiwezekani uwe na financial freedom ya kujenga nyumba bila kukopa haiwezekani. Ila kwa serikalini tunsona vijana wa miaka 30 wanashusha ghorofa goba wa mwaka mmoja ambalo hata director wa Vodacom au CRDB hawezi kujenga kwa mshahara hata iweje.
Ukibisha kaa na ujinga wako. I'm done.