mutu murefu
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 1,037
- 2,736
Mwalimu 716,000
Mwanasheria 950,000
Muuguzi 980,000
Mfamasia 980,000
Daktari 1,480,000
Mhandisi 950,000
Mhasibu 950,000 ukiwa na CPA,,ila ukiwa na degree ni 710,000
mfamasia TGHS D - 1.2m
Mwalimu 716,000
Mwanasheria 950,000
Muuguzi 980,000
Mfamasia 980,000
Daktari 1,480,000
Mhandisi 950,000
Mhasibu 950,000 ukiwa na CPA,,ila ukiwa na degree ni 710,000
Sijui kwanini huwa sitamani kuajiriwa serikalini!Mwalimu 716,000
Mwanasheria 950,000
Muuguzi 980,000
Mfamasia 980,000
Daktari 1,480,000
Mhandisi 950,000
Mhasibu 950,000 ukiwa na CPA,,ila ukiwa na degree ni 710,000
Kwa hawa niliowabakisha, sirikali ili-view hivyo viwango, unless kama kuna marupu rupu kama yale ya watumishi wa hazina. Jamaa hapo juu wanagusa moja kwa moja maisha yetu sisi na hasa katika umasikini huu.Mwalimu 716,000
Muuguzi 980,000
Mfamasia 980,000
Daktari 1,480,000
Mhandisi 950,000
HAKIKA,alisomea course gani?.Nina jamaa yangu alikuwa na akili tangu primary hadi chuo na alisoma sayansi
Aligraduate 2012/2013
Mpaka leo hana ajira
Huyu hata ukimwambia awe mfagizi leo hakatai
Mnaosema kuajiriwa sio ishu inategemea na maisha yako
Sikufuatilia kaka ila kwa mwendo wake nahisi alisoma uhasibuHAKIKA,alisomea course gani?.
Ameshawahi kufanya hata mahala popote hata intern?., nikiwa namaana anauzoefu japo kidogo?.Sikufuatilia kaka ila kwa mwendo wake nahisi alisoma uhasibu
Huu ni uongo kiwango cha lami. Mishahara iko kwa scales, mfano serikali kuu hutumia TGS D, E, F, mahakama TJS 1, 2.Mwalimu 716,000
Mwanasheria 950,000
Muuguzi 980,000
Mfamasia 980,000
Daktari 1,480,000
Mhandisi 950,000
Mhasibu 950,000 ukiwa na CPA,,ila ukiwa na degree ni 710,000
Ameshawahi kufanya hata mahala popote hata intern?., nikiwa namaana anauzoefu japo kidogo?.
😂😂😂😂😂 ww ndo mkweli wengine wote vilaza.Tanroads degree milioni 20, diploma milioni15, certificate milioni 10
Ha ha ha tatizo tukiwaambia ukweli kama huo bado watabisha😂😂😂😂😂 ww ndo mkweli wengine wote vilaza.
Unaweza kuwa welder au fitter?.
Ni inbox no yako.kaka mdogo wako nipo hapa nipe pande hilo. alafu usubiri neema kutoka kwa mungu zikiteremka juu yako,
wasalaam.
😀😀😀😀😀Tanroads degree milioni 20, diploma milioni15, certificate milioni 10
Regional manager wa Tanroad analipwa 2.7 M ukitaka ushahidi nitakuwekea hapaMkuu huyo meneja yupi, wakati internship TANROAD analipwa 1.1M nazungumza kitu nachokifahamu zaidi ya asilimia 200.
Weka mkuu na mimi ntakuwekea wa trainee Engineer.Regional manager wa Tanroad analipwa 2.7 M ukitaka ushahidi nitakuwekea hapa
Sawa mkuuWeka mkuu na mimi ntakuwekea wa trainee Engineer.
Weka mkuu na mimi ntakuwekea wa trainee Engineer.
Mkuu weka wa trainee tuoneWeka mkuu na mimi ntakuwekea wa trainee Engineer.