Viwango vya mshahara serikalini degree 1

Viwango vya mshahara serikalini degree 1

Mishahara haijawahi kufanana kila taasisi ina scale zake ila tu jua Halmashauri ndo pakichovu zaidi, Kuna mashirika yanayozalisha kama Ngorongoro,TPA, TRA, TANESCO, TANROAD huku kote kwa degree lazima aanzie 1m and above ile hali halimashauri degree maxium anachezea 900k tena wengi huanza 700k ivi kutegemea na Fani

Fact kabisa....Mfano ni Taasisi Moja apo uliyoitajaaa : Mtu wa degree ambae ndo anaingia kazn anakunja 1.5 , so inategemeaa
 
Mkuu mishahara mingine inategemea nataasis, mfano Engineer aliejaliwa DAWASA huo mshahra hapo juu, ukiuzidisha hata mara mbili bado haufikii.Engineer aliejariwa TPA,TANESCO, mshahara wake bado huo aliotaja nimdogo sana, Engineer alieajiriwa TANROAD kama intern anakunja tu 1.1M, hio Ni internship Sasa alieko permanent sio mchezo mshahara wake.

Tbs pale mtu akienda Jmosi/jpil akasain mahudhurio ni elfu 40 perday, engineer akitoka nje yakituo chakazi analipwa zaidi 150K kwa siku, hio ninje ya mshahara.

Huo mshahara aliotaja hapo nivitaasia kama TAMESA, ingawa halmashauri sifaham mshahara wao.
Mmmmh....! Kuna itajika ufafabuzi zaidi...

Hata majeshini (polisi, magereza, uhamiaji, jw etc) wanapata zaidi...

Mshahara kuanzia 780,000/- kama sijakosea
Pesa ya chakula kila katikt ya mwezi 300,000/-
Pesa ya taaluma 200,000/-
Pesa ya nyumba 200,000/- hadi 500,000/-
Pesa ya umeme 40,000/-
Pesa ya maji
Bonus kibao...

Ukijumlisha ni mapesa marefu wana pokea pamoja na kuishi kifukara...

Pia bado trip za nje ya kituo cha kazi nk... Bonus ni nyingi
 
Kuna uongo mkubwa sana hapa.
Mmmmh....! Kuna itajika ufafabuzi zaidi...

Hata majeshini (polisi, magereza, uhamiaji, jw etc) wanapata zaidi...

Mshahara kuanzia 780,000/- kama sijakosea
Pesa ya chakula kila katikt ya mwezi 300,000/-
Pesa ya taaluma 200,000/-
Pesa ya nyumba 200,000/- hadi 500,000/-
Pesa ya umeme 40,000/-
Pesa ya maji
Bonus kibao...

Ukijumlisha ni mapesa marefu wana pokea pamoja na kuishi kifukara...

Pia bado trip za nje ya kituo cha kazi nk... Bonus ni nyingi
 
Engineer mbn hajatendewa haki kbx inakuwaje engineer awe na maisha ya juu kumzid dakitari while salary scale ya Dr iko juu
Hujamuona mwalimu hapo mkuu? Fikiria mwalimu wa Physics, Chemestry, Mathematics, Biology ana degree halafu analipwa less than 1,000,000/=? Hu ni mzaha kabisa. Ndio maana walimu wa sayansi ni adimu sana kwenye mashule za serikali, sababu ni kama hi, yaani hi ni dharau kabisa jamani. Kama kweli serikali haina pesa, kwanini tunawekeza sana kwenye siasa? Binafsi napendekeza, kama hatuwezi kupunguza mafao ya wana siasa, basi tupunguze idadi ya vikao vya wabunge, wakutane hata mara 2 tu kwa mwaka. Haingii akilini mbunge analipwa kitu kinaitwa eti sitting allowance wakati hiyo ndio kazi yake. Kwanini umlipe mtu allowance kwa kufanya kazi yake? Basi hata walimu nao walipwe teaching allowance
 
Mwalimu 716,000
Mwanasheria 950,000
Muuguzi 980,000
Mfamasia 980,000
Daktari 1,480,000
Mhandisi 950,000
Mhasibu 950,000 ukiwa na CPA,,ila ukiwa na degree ni 710,000
Mfamasia umedanganya
 
Back
Top Bottom