T11
JF-Expert Member
- Oct 11, 2017
- 5,096
- 4,574
Angalau umezungumza kama mtu mzima
Kila MTU anataka kujiajiri ila ni muhimu kuajiriwa ili upate msingi na mtaji. Vijana tafuteni ajira mkipata kopeni anzisheni miradi. Ikisimama acha kazi simamia mwenyewe.