PSEUDOPODIA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2020
- 402
- 844
Mbona umekuja kunichoma huku kaka?Sikufuatilia kaka ila kwa mwendo wake nahisi alisoma uhasibu
Mbona umekuja kunichoma huku kaka?Sikufuatilia kaka ila kwa mwendo wake nahisi alisoma uhasibu
1.4 mlTPGS 6 ni kiasi gani ?
ahsante mkuu,je ni kweli kama unapokea hiyo 1.4 huwa serikali inaongeza kila mwaka mshahara ? na je inaongezeka kiasi gani ?1.4 ml
Mambo ya serikali usikariri.ahsante mkuu,je ni kweli kama unapokea hiyo 1.4 huwa serikali inaongeza kila mwaka mshahara ? na je inaongezeka kiasi gani ?
Usibishe kitu usichokijua! Wanaokujibu ni wahusika wenyewe sasa ubabisha nini? Wewe ni CPA unayefanya kazi Halmashauri?Ila kwa malipo ya 9.5K hapo uongo
Tena tunataka tuwapunguzie kutoka 950,000 Hadi 900,000Usibishe kitu usichokijua! Wanaokujibu ni wahusika wenyewe sasa ubabisha nini? Wewe ni CPA unayefanya kazi Halmashauri?
Tena tunataka tuwapunguzie kutoka 950,000 Hadi 900,
Tena tunataka tuwapunguzie kutoka 950,000 Hadi 900,000
Mimi huwa na shangaa Sanaa mtuu analeta solution bila kufanya analysisTena tunataka tuwapunguzie kutoka 950,000 Hadi 900,000
Kama Ni kweli graduate anaanza na 4.5M huko tcra, Basi CPA (T), wataanza na 5+MMimi huwa na shangaa Sanaa mtuu analeta solution bila kufanya analysis
Hizo salaries ulizotaja ni za wizarani na local government na unakuta mtu analipwa hivyo ila Ina gari ya mil 60, anyways turudi kwenye points Mimi nimefanya kazi private sector kwenye very reputable companies na now nipo serikali kwenye reputable public institution naomba nisema hakuna kama serikalini, tusiongeleee kazi za wizarani na halmashauri ambao ni income consumers and sectors let us talk about the salaries of MDA is the income producers example TRA, TCRA, TCAA and et cetera imagine TCRA graduate anatoka chuo analipwa mil 4.5 hapo Bado allowances naomba tuongeleee kuhusu graduate aliyetoka chuo anakopeshwa mkopo wa nyumba wa mil 120 pale NHIF. Naomba tuongeleee pande zote mbili kwa income consumers and income producers
Inategemea upo sehemu ganiNina interest ya kujua mshahara
Mwalimu
Dakitari
Muuguzi
Mfamasia
Mhandisi ngazi ya halimashauri
Mwanasheria
Mhasibu
N.k
What I have learned from the you is YOU ARE SERIOUS PROBLEM, YOU ARE TO CHANGE. PLEASE PUSH CHANGES TO OTHERS OR ACCEPT CHANGES FROM OTHERSKama Ni kweli graduate anaanza na 4.5M huko tcra, Basi CPA (T), wataanza na 5+M
Reputable institution ndo wako na hii Mutu kweli. INASIKITISHA SANAWhat I have learned from the you is YOU ARE SERIOUS PROBLEM, YOU ARE TO CHANGE. PLEASE PUSH CHANGES TO OTHERS OR ACCEPT CHANGES FROM OTHERS
very true dereva wa mwauwasa anakula 900k wakati hr, mwalimu naefanya kazi halmashauri ni 700kNilipokuwa kijana nilikuwa na mawazo kama yako ila nilipoingia kazini ndio nimegundua. Issue ya mshahara mkubwa haijalishi umesoma nini bali unafanya kazi wapi?
Muhasibu wa ofisi X anazidiwa salary na dereva wa ofisi Y.
Omba Mungu upate taasisi nzuri na sio CPA.
Hapo tukiondoa ya kubrashia ngoja tusubiri muongozo wa scale yaoWakuu, Tanroad yenyewe mshahara umekaaje,mfano wale jamaa wa mizani wanavuta ngapi
Sawa ndugu yanguHapo tukiondoa ya kubrashia ngoja tusubiri muongozo wa scale yao
kama Umepata chance nenda tu ndugu maana wale jamaa wanafaidi vzuri tu kek ta taifa pia magumashi ni meng tu si unajua madereva wetu hawafuati utaratibu na sheriaWakuu, Tanroad yenyewe mshahara umekaaje,mfano wale jamaa wa mizani wanavuta ngapi