Viwango vya mshahara serikalini degree 1

Viwango vya mshahara serikalini degree 1

Dah wahandisi nao njaa tupu aiseeh,
Sasa wahandisi wanaomba kufundisha nayo watalipwa hyo 950k au 716k?? Mwenyew uelewa
 
Nisikilizeni vijana wenzangu njia nzuri na ya kipekee kufanikiwa ni kujiajiri tu , ata ukiwa na bodaboda yako mwenyewe unaweza ingiza zaidi ya 500k kwa mwezi. Achanane na maswala ya ajira #dream chaser
 
mm mwenyew nilishangaa...CPA or wale ambao wana cheti cha PSPTB wanavuta mpunga mrefu..
Sikiliza mkuu hakuna kitu kinachoitwa mpunga mrefu halmashauri. Hizo habari za mpunga mrefu ni huko kwenye taasisi na mashirika
mm mwenyew nilishangaa...CPA or wale ambao wana cheti cha PSPTB wanavuta mpunga mrefu..
Hakuna kitu kinachoitwa mpunga mrefu halmashauri hata uwe na CPA. Habari za mpunga mrefu in huko kwenye taasisi na mashirika ya umma.
 
mm mwenyew nilishangaa...CPA or wale ambao wana cheti cha PSPTB wanavuta mpunga mrefu..
Nilipokuwa kijana nilikuwa na mawazo kama yako ila nilipoingia kazini ndio nimegundua. Issue ya mshahara mkubwa haijalishi umesoma nini bali unafanya kazi wapi?
Muhasibu wa ofisi X anazidiwa salary na dereva wa ofisi Y.
Omba Mungu upate taasisi nzuri na sio CPA.
 
Wahandisi wengi wako vizuri sana financially kuliko madakitari wakat salary scale ya dakitar iko juu
Ni kazi za nje ndo zinawapa hela, mfano wewe Ni mhandisi pale TBA MSHAHARA wao Ni Kama wa halmashauri Ila Kuna kazi za nje unapata kutokana na kufahamika. So usiangalie sana mishahara ktk sekta Kama hizo Bali angalia fursa unazoweza kupata
 
Fact
 
Kwahyo mwalimu hamifii daktari hata kwa nusu take..!!!!
Mwalimu 716,000
Mwanasheria 950,000
Muuguzi 980,000
Mfamasia 980,000
Daktari 1,480,000
Mhandisi 950,000
Mhasibu 950,000 ukiwa na CPA,,ila ukiwa na degree ni 710,000
 
Back
Top Bottom