MWANAHARAMU
JF-Expert Member
- Dec 12, 2021
- 4,826
- 12,470
Usibishe kitu usichokijuaLabda awe kapanda madaraja,ila hawa wanaoingia leo wanaanza na 760k kabla ya makato.
Usibishe kitu usichokijuaLabda awe kapanda madaraja,ila hawa wanaoingia leo wanaanza na 760k kabla ya makato.
Wenye CPA (T) wanaoanza wanapata ngapi kabla ya makato?Labda awe kapanda madaraja,ila hawa wanaoingia leo wanaanza na 760k kabla ya makato.
Unakoelekea hakuna ajiraLazima Ujue unakoelekea
Hao wanaanza na TGS E hivi.Wenye CPA (T) wanaoanza wanapata ngapi kabla ya makato?
Hii kwa graduate ambaye alikuwa kitaa Hana hili Wala Lile ni pesa nyingi.. Binafsi siwezi DHARAU mshahara kama huu Hali ya kuwa nilikuwa nipo kitaa hata 100000 kwa mwezi sipati.Mishahara ya wajiriwa wa Tanzania ni mishahara mbuzi. Imagine unapiga kazi mwezi mzima afu unapewa laki tisa duh!?
Mkuu sijadharau mshahara. Tatizo muda unaotumika kuipata iyo laki tisa, ni mrefu sanaHii kwa graduate ambaye alikuwa kitaa Hana hili Wala Lile ni pesa nyingi.. Binafsi siwezi DHARAU mshahara kama huu Hali ya kuwa nilikuwa nipo kitaa hata 100000 kwa mwezi sipati.
Hivi wewe Hadi una-undermine mshahara wa Laki 9, mwenzetu Huwa unaingiza pesa ngapi kwa mwezi..?
Hata kama ni nyingi sioni sababu ya kucrush Mishahara ya watu namna hii
Kwa nchi yetu masikini kama hii na raia wake wengi masikini inatosha tu kupata uhakika wa kulaMkuu sijadharau mshahara. Tatizo muda unaotumika kuipata iyo laki tisa, ni mrefu sana
Mkuu we ni mgeni kwani jamii forums?Hii kwa graduate ambaye alikuwa kitaa Hana hili Wala Lile ni pesa nyingi.. Binafsi siwezi DHARAU mshahara kama huu Hali ya kuwa nilikuwa nipo kitaa hata 100000 kwa mwezi sipati.
Hivi wewe Hadi una-undermine mshahara wa Laki 9, mwenzetu Huwa unaingiza pesa ngapi kwa mwezi..?
Hata kama ni nyingi sioni sababu ya kucrush Mishahara ya watu namna hii
Mkuu we ni mgeni kwani jamii forums?
TGS BMtendaji wa serikali za mtaa au kijiji ni shilingi ngapi?
😂😂😂 Nimekuelewa mkuu unachomaanisha,.Mkuu we ni mgeni kwani jamii forums?
Human resourceHR ni abbreviation ya nn
Lazima wawepoHivi NHIF kuna Wafamasia?
TGS B ( Tsh 450,000/-)Mtendaji wa serikali za mtaa au kijiji ni shilingi ngapi?
Wa kata je?TGS B ( Tsh 450,000/-)
Posho ya laki7Wa kata je?
Salary?Posho ya laki7
Serikali hailipii ukubwa wa eneo lako la kazi. NI hiyo hiyo TGS BWa kata je?
Hawa watendaji wa kata wengi elimu zao ni za degree na hawa wa mtaa ni cheti au form six au diploma,inakuwaje sasa wafanane mishahara?Serikali hailipii ukubwa wa eneo lako la kazi. NI hiyo hiyo TGS B