Viwango vya mshahara serikalini degree 1

Viwango vya mshahara serikalini degree 1

Kwakweli walimu tunalipwa punje sana.

Sasa 716,000 wakipitisha mapanga inabakia pungufu ya 600!

Hapa ni kupambana na vibiashara tu,

Kazi iendelee.
Daah poleni aisee kwani kwa sasa take home ni ngapi? Baada ya ile nyongeza ya mwaka jana?
 
Hua mnajiskiaje kuongea vitu vya kufikirika. Mshahara wa mfamasia TAMISEMI ma Wizarani ni 1,215,000/=.

Kwenye mashirika unatofautiana kulingana na position na shirika lenyewe (MSD, NHIF, TMDA etc).
Hivi NHIF kuna Wafamasia?
 
Ajira nyingi mishahara inaelekeana, mtu mwenye mshahara wa 1.5 M hapo hujatoa makato naye hali yake ni tete,ndo maana kuna bidada mmoja nilimpa asante baada ya kufanya kazi yangu vizuri kilichonishangaza ni namna anavochekelea hela ndogo vile
 
Hello wakuu...

Naomba shuhuda ambae ashawahi volunteer hospitali ya serikali af akawa reccomended na akaajiliwa
 
Back
Top Bottom