Tembomtata
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 266
- 427
Naona kijana wa Manase upo hapa kutuwakilisha 🙂 🙂....... walipigwa fyekeo hawa umbwe mpaka wakakimbiaUmbwe vijina wadogo nyie nakumbuka kuna siku mlikuja lyamungo kuleta fujo adi mwenzenu alikufa
Naona kijana wa Manase upo hapa kutuwakilisha 🙂 🙂....... walipigwa fyekeo hawa umbwe mpaka wakakimbiaUmbwe vijina wadogo nyie nakumbuka kuna siku mlikuja lyamungo kuleta fujo adi mwenzenu alikufa
Ile vita haiwezi kuishaVita yetu(lyamungo) na Umbwe.. yani kila nikikumbuka huwa inanitesa sana moyoni.. rest in peace brothers..
Watoto wa Manase hawaaaHii itakua Lyamungo(maputo)[emoji81]
Wap school manNilikutana na mchizi wangu baraka anapenda kuangalia video si mchezo, ikawa ni kutoroka kila night hakuna cha prepo wala nini tunazama kibanda umiza.
Cheki movie mpaka ngoma 6 inawekwa pilau aseeh, siku moja ma njagu wakatuotea kibanda umiza tunacheki pilau wakatudaka watu kama 8.
Hapo tukilala kituoni ni msala skuli, kufukuzwa nje nje ilibidi tuwaambie ukweli sie wanafunzi tuwape mkwanja fulani watuachie wakakubali ikawa pona pona yetu.
Matukio ni mengi sana, niliweka wali kwenye tranka mjinga fulani akalitingisha juu chini chini juu daaa! nguo zilitapakaa wali si kidogo
Sitokisahau chumba maarufu 00Asalam Aleikhum
Katika Maisha ambayo siwezi kuyasahau ni maisha ya Boarding. Maisha ya Boarding noma aliimba Jay Mo, moja kati ya wasanii waasisi wa Bongo Flavor.
Maisha ya Boarding ni moja kati ya maisha matamu lakini pia yenye changamoto nyingi. Kuna matukio na vimbwanga ambavyo vinatia chachandu katika Maisha ya Boarding.
Kuanzia kuingia shule ukiwa form 1 ni burudani tosha. Kwanza tuliitwa majina mengi sana, nyoka, Salamanda, njuka, soksi ya mlinzi n.k
Tulipigishwa simu chooni, tulichapwa mikanda usiku hasa tulipowasnitch watesaji kwa walimu. Aisee tuliooingia form 2 tukawa eti ma MP, na sisi ndio wababe dhidi ya Form 1...hataree.
Maisha ya Boarding bhana, tulikula ada, home walipojua ikawa msala wengine ilibidi kipindi cha kuchukua cheti tutafute hela kwa udi na uvumba ili tukakomboe ada tuliyokula.
Nakumbuka kipindi tunajiandaa kwenda shule baada ya likizo tulikuwa tunanunua mafuta ya kupikia na dagaa na viungo, tunachemsha huo mchanganyiko na tukifika shule duh.. hatari, kijiko kimoja cha mafuta kwa bakuli moja la maharage, waombaji sasa, weeeeengi, nyama ilikuwa mpaka ng'ombe wa shule augue.
Siku ya wali wengine ndio tulikuwa tunaoga hasa wale Tuliosoma maeneo yenye baridi. Kuna wakati tulikula ugali na sukari, sukari ni mboga wakuu sio mnashanga tena tamu kweli. Tukiandikiana barua na masela wetu wa shule nyingine, lazima ndani ya bahasha tuambatanishe punje mbili tatu za wali, watajuaje huwa tunakula wali.
Ukipoteza sahani usiwaze, kwa wali au uji utatumia ndoo unayoogea, kwa ugali utabeba mkononi na maharage utaweka kwenye kikombe chako cha uji.
Kuna wakati tulikuwa tunaenda jikoni kuiba upper layer au top layer pale msosi unapokaribia kuiva. Upper layer ni yale mafuta yanayoelea juu ya maharage, ukichanganya na maharage utamu wake sio wa nchi hii.
Kuoga haikuwa lazima. Boarding wengi ndipo walioojifunza kupiga Punyeto, a.k.a Puli. Nakumbuka kuna siku washikaji waliifanya mashindano nani atatoa wazungu haraka na mshindi alipatikana.
Kwa wapenda soka kulikuwa hamna namna unaweza kukosa Mechi za UEFA au za ligi za usiku. Kutoroka lazima, tukirudi tuna fegi mfukoni tukifika Shuleni tunampa mlinzi inakuwa sio kesi. Ikiwa zamu ya mlinzi mnoko tunatumia mbinu za kijasusi kuingia na kutoka eneo la shule.
Maisha ya boarding tulilima, tulifyeka, tulicheza. Kulikuwa na wasongo na wanafeli, halafu kulikuwa na wasongo na wanafaulu. Kubaki bwenini wakati wenzako wapo class ilikuwa kawaida sana, ila ukikutwa na bwana Pepsi shauri yako, yaani ni msala. Ila sisi wazoefu hatukukamatwa.
Muda wa prep a.k.a prepo hatukwenda class, tulisubiri usiku wa manane mtu atuamshe ndio tukasome hii ilikuwa sana sana wakati wa mitihani, tuliita msuli pepa.
Dah siku ya kuondoka school baada ya mitihani ya kitaifa kuisha ilikuwa very sad day. Wa mbeya walikwenda, wa Dar walikwenda, wa Morogoro walikwenda, wa Dodoma, wa Arusha. Kweli boarding school inakutanisha watu kutoka kila kona ya nchi.
I bet waliosoma day schools hawakupata hii informal education katika shule walizosoma.
Waliosoma maisha boarding tiririka your experience.
Box 2.....Yaani huwezi ukawa umesoma songea boys usiwe umechunga ng'ombe, bila kusahau "School shadoof solved the problem"
😂😂😂😂😂😂😂😂nilimwagiwa yai takoni wakasahau kuondoa maganda......niliwapa kisago member wa room mpaka sasa wananikumbuka...!!!
Mr tembo nililala kwenye loka juuUlikuwa Twiga, Tembo, Simba, Nyati au Chui?
Hapo nadhani itakuwa Tembo au Chui, Simba na Twiga ni mabweni ya wastaarabu mpaka leo.
Haya maisha ya Boarding umenikumbusha mbali sanaAsalam Aleikhum
Katika Maisha ambayo siwezi kuyasahau ni maisha ya Boarding. Maisha ya Boarding noma aliimba Jay Mo, moja kati ya wasanii waasisi wa Bongo Flavor.
Maisha ya Boarding ni moja kati ya maisha matamu lakini pia yenye changamoto nyingi. Kuna matukio na vimbwanga ambavyo vinatia chachandu katika Maisha ya Boarding.
Kuanzia kuingia shule ukiwa form 1 ni burudani tosha. Kwanza tuliitwa majina mengi sana, nyoka, Salamanda, njuka, soksi ya mlinzi n.k
Tulipigishwa simu chooni, tulichapwa mikanda usiku hasa tulipowasnitch watesaji kwa walimu. Aisee tuliooingia form 2 tukawa eti ma MP, na sisi ndio wababe dhidi ya Form 1...hataree.
Maisha ya Boarding bhana, tulikula ada, home walipojua ikawa msala wengine ilibidi kipindi cha kuchukua cheti tutafute hela kwa udi na uvumba ili tukakomboe ada tuliyokula.
Nakumbuka kipindi tunajiandaa kwenda shule baada ya likizo tulikuwa tunanunua mafuta ya kupikia na dagaa na viungo, tunachemsha huo mchanganyiko na tukifika shule duh.. hatari, kijiko kimoja cha mafuta kwa bakuli moja la maharage, waombaji sasa, weeeeengi, nyama ilikuwa mpaka ng'ombe wa shule augue.
Siku ya wali wengine ndio tulikuwa tunaoga hasa wale Tuliosoma maeneo yenye baridi. Kuna wakati tulikula ugali na sukari, sukari ni mboga wakuu sio mnashanga tena tamu kweli. Tukiandikiana barua na masela wetu wa shule nyingine, lazima ndani ya bahasha tuambatanishe punje mbili tatu za wali, watajuaje huwa tunakula wali.
Ukipoteza sahani usiwaze, kwa wali au uji utatumia ndoo unayoogea, kwa ugali utabeba mkononi na maharage utaweka kwenye kikombe chako cha uji.
Kuna wakati tulikuwa tunaenda jikoni kuiba upper layer au top layer pale msosi unapokaribia kuiva. Upper layer ni yale mafuta yanayoelea juu ya maharage, ukichanganya na maharage utamu wake sio wa nchi hii.
Kuoga haikuwa lazima. Boarding wengi ndipo walioojifunza kupiga Punyeto, a.k.a Puli. Nakumbuka kuna siku washikaji waliifanya mashindano nani atatoa wazungu haraka na mshindi alipatikana.
Kwa wapenda soka kulikuwa hamna namna unaweza kukosa Mechi za UEFA au za ligi za usiku. Kutoroka lazima, tukirudi tuna fegi mfukoni tukifika Shuleni tunampa mlinzi inakuwa sio kesi. Ikiwa zamu ya mlinzi mnoko tunatumia mbinu za kijasusi kuingia na kutoka eneo la shule.
Maisha ya boarding tulilima, tulifyeka, tulicheza. Kulikuwa na wasongo na wanafeli, halafu kulikuwa na wasongo na wanafaulu. Kubaki bwenini wakati wenzako wapo class ilikuwa kawaida sana, ila ukikutwa na bwana Pepsi shauri yako, yaani ni msala. Ila sisi wazoefu hatukukamatwa.
Muda wa prep a.k.a prepo hatukwenda class, tulisubiri usiku wa manane mtu atuamshe ndio tukasome hii ilikuwa sana sana wakati wa mitihani, tuliita msuli pepa.
Dah siku ya kuondoka school baada ya mitihani ya kitaifa kuisha ilikuwa very sad day. Wa mbeya walikwenda, wa Dar walikwenda, wa Morogoro walikwenda, wa Dodoma, wa Arusha. Kweli boarding school inakutanisha watu kutoka kila kona ya nchi.
I bet waliosoma day schools hawakupata hii informal education katika shule walizosoma.
Waliosoma maisha boarding tiririka your experience.
Dah ulikua unakuja uku upande wa milambo nin??Nakumbuka sana maisha ya boarding pale Minaki High School tuliacha madarasa na mabweni na kwenda kutia msuli forest ambako tulihisi hatusumbuliwi na mtu yeyote yule ila mwisho siku kilieleweka.
Longido sec.
Nilipofika tu, hata sikumaliza dakika tano ndoo ikawa imeshaibiwa na sikuwahi kuiona tena.
Huko ndiko nilipokutana na maandazi ya chumvi
Shida ya maji usipime.
Vyoo vichafu kinoma watu wanaoga na kutoa haja kubwa maporini.
Yaani tulikuwa tunaoga maporini, wanawake wa kimasai wanapita wanachunga ng'ombe wao sisi hata hatuna time nao. Tunasema mmasai sio mtu kwa hiyo hakuna haja ya kuona aibu. Basi wanaume wao wakaenda kutusthaki kwa mkuu wa shule, eti tunawatega wake zao.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
mimi nakumbuka matukio mengi sana, siku moja ilipigwa inspection ya ghafla tumetoka prepo tumepiga story wee waliolala wakalala saa saba hivi tuliokua macho tukaona second apatron pamoja na waalimu watatu wamekuja tukaamshwa wote kila mtu asimame kwenye loka lake pamoja na tranka lake, asee vilishikwa vitu vingi sana, simu za kutosha, jamaa mmoja alishikwa na hirizi na kibuyu akapewa suspension, mshkaji wangu mmoja akakutwa na pakti mbili za kondom akaulizwa hizi umetoa wapi, jamaa akasema nimepewa na baba yangu, baba yangu ananipenda sana anajali afya yangu, asee ilikua ni kicheko bweni zima. Akaambiwa aite mzazi, ila alikua anaishi na mzee wake tu hakua na maza, mzee alikua peace msala uliisha
Unamkumbuka Head master ( Teti)Duuh miaka ya 2003 tukiwa advance PCM pale Tanga Technical nakumbuka nlimpokonya mshikaji wangu Mh Mrisho Gambo demu wake aliekua housegirl kwa mwalimu mmoja wa o level.
Basi siku nkatoka usiku na Huyo housegirl hadi guest mitaa ya makorora, yule bint alintesa maana ukishuka siti ya mbele anataka siti ya nyuma, ukishuka ya nyuma anataka ya mbele.. Kukaa siti ya nyuma ndiyo nlianzia kwake siku hiyo
Nkajikuta napelekwa huku na kule kama mara saba mfululizo, nkarudi bwenini, bweni liliitwa Faru around saa saba, kichwa kikawa kinagonga kama nataka kufa, ikabidi niwaamshe wote bwenini wantaftie panadol na nkapata ndiyo ikawa ahueni yangu
Mkuu umetudanganya hapo, mbuzi amekatwa paja na Bado anatembea ( yupo hai)Ukweli Boarding lazima uikumbuke tu hataiweje, Miaka ya 87 jamaa yangu yeye hali ilivyokua ngumu siunajua nyama haionekani mpa siku maalumu?nakumbuka ilikua weekend alisikia mbuzi wanalia maeneo ya shamba la shule,,hakuaga mtu akaanza kunyata tariiitiiiibuuu hamadi mbuzi,akajitahidi akamkamata mmoja akafikiria sasa mbona mzimamzima hii itakua soo,mbuzi akaanza kupiga kalele mmmmeeeeeee akasema sasahiibalaaa akamziba mdomo aaaaa wapi mvuzi anaendeleaa tu,ikamjia akili yaharka alifikiria kumchinja,akaona hapana siaka mkata paja moja la kulia kisha akamuachia,akalificha juu yamti kisha akarudi bwenini,akatusitua oyaa chukuen chumvi mnifuate(huwezi amini tumefika akashusha mzigo ukachomwa fasta ukapigwa kimya kimya)ukweli mbaya sanaaaa