Vituko vya Maisha ya Boarding, Tukumbushane Tuliosoma Huko

Vituko vya Maisha ya Boarding, Tukumbushane Tuliosoma Huko

Hatari sana nakumbuka tulipopiga deal la kuuza dume la ng'ombe na mwalimu wa Miradi. Nilitoa maelezo karatasi tatu. Koso walilofanya ni kuniachia kuchunga ng'ombe 40 peke yangu wakati tulitakiwa kuwa 3.
 
Dah umenikumbusha pugu miaka hiyo tunatoroka usiku kwenda kuchek mpira either goms (gongo la mboto) au tunaenda mwisho wa lami kuna sehemu palikuwa panaitwa khaikhai hapo weekend kudrop kama kawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kanawa sec 2002 ilikuwa shida maji mnaenda kufukua mtoni yanavilia mnakunywa.Bwenini full kichapo kwa form one!!,Siku ya wali bora usioge! Mademu wazurii sijui walikuwa wanakura nn? Ziara za michezo Lalago sec Maswa unapata na mchumba!!,sijui jaama hawa wako wali Sixths Kafuruki,Cosmas Peter,Thomas Elkana ,Ossu,Samwel Manoni,Kulwa Ndinho,
Kuna demu wangu alipatwa breed ghafla darasani alilia mno akiomba nimsamehe!!, Baada ya kutoka alinipa papuchi akanipa maelekezo kuwa niisugue kabisa ikome kumwaibisha!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23]jamani
Nakumbuka tulikuwa tunasoma na Mmasai mmoja hivi shule ya sekondari moringe, alikuwa anajifanya mbabe, tukaenda Monduli Mjini tukanunua kufuli aina ya solex moja matata, ile tumepiga mbonji mwenzetu mmoja akachukua kufuli na kulibana kwenye sikio lake, asubuhi bweni zima tukawa wa kwanza kutoka na kumwacha mshikaji akiwa peke yake bwenini, tumekaa kidogo tukaona vumbi tu nje jamaa anakuja mbio huku shingo imekaa upande kwa uzito wa kufuli, kila mmoja akaanza kutafuta upenyo wake maana tukajua damu itamwagika kwa hasira alizokuwa nazo yule Mmasai, basi akashinda na kufuli siku nzima maana hakuna aliyethubutu kusema nani ana funguo wa wa lile kufuli, ile tumepiga mbonji mwenzetu mmoja akachukua funguo akampenyezea kwenye blanketi lake, kufika asubuhi hamadi anakuta funguo, lakini aliyeuweka hakumjua hadi tunamaliza maana angemjua damu ingemwagika kwa hasira alizokuwa nazo yule Mmasai,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka kuanza kukaa boarding form 1 pale green acres muda washua wanasepa nililia sana hadi wanafunzi wakawa wananicheka baadae ilikuwa historia i was like 2pac shakur in that school kichwani nipo kama computer i was taking business comb kula sana pisi za form 4 wakati wa prep usiku kula sana suspensions pale unarud home unaulizwa nini shida unasingizia unaumwa Mungu ni mwema nilimaliza salama na div 2 yang maisha yakaendelea kusonga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulikuwa na rafiki yetu mmoja hivi..alikuwa mchoyo vibaya mno..akiletewa vitu vyake na bwana ake anavifungia kwenye bag..hakuwa na tranka..kwa hiyo baadhi ya vitu vichache ilimbidi ashee na rafiki yetu mwingine vingi alikuwa anaficha kwenye bag..Kwanza huyo rafiki yetu mwingine alikuwa anasomeshwa kwa msaada na bahati nzuri alikuwa na heshima na kupelekea kupata madada wa shule ambao wakinunua vitu wanampa na yeye kwahiyo hakuwa na shida Sana na vijuice vibites..Sasa alichokuwa anakifanya rafiki mchoyo mwenzake akiletewa vitu wanakula sawasawa hadi viishe.

Sikumoja wakati wa prepo tukasubiri ametoka..tukafungua bag lake fungua juice tukatafuta chupa nyingine tukaigawa nusu kwa nusu..tukamjazia mimaji..tulikuta vicake hata havijafunguliwa vilikuwa 12 tukagawana tulimuachia viwili2..tukachukua pipi bigbom zilikuwa 14 tukagawana na kubakiza 2..tukakuta fuko la ivory pia tukagawana..tukaenda zetu kusoma nakumbuka ile siku tulikuwa tunatafuna tu mwanzo mwisho..mbona aliacha uchoyo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]..tulimkomesha haswa..

Kuna kingine tulimfanyia nitarudi kusimulia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nimewaandikia sana luv letaz wale wana ambao miandiko yao ilikuwa hovyo.... nilikuwa nalipwa mia 5
 
Mimi na HP wangu Nyatega O Nyatega (RIP) burudani yetu ilikuwa bangi tu,huyu mchizi alinifundisha kula ganja na tulikuwa smart kimwonekano hadi kichwani,demu wake alikuwa shule jirani ya wasichana,huyu demu ni msabato mwenzetu,ilikuwa tukikutana kwenye makongamano tunakuwa timu ya watu watatu,tunatoroka ibada tunaenda kula ganja na tukirud tuko fresh,tulifaulu wote,mwaka Jana mwishoni bahati mbaya Nyatega akafa kwa ajali ya kugongwa na roli mjini shinyanga,,,,,, pumzika kwa amani nyatega
 
Enzi za skuli tumefanya utukutu mwingi sana. Sitasahau siku nimepenya dirisha la jikoni tukaiba pora (uji) kisha masufuria yakaoshwa usiku huo huo na kujazwa maji. Mpishi alikua mzee mmoja mhuni siku hiyo sijui alipata mama wapi kaenda kulala nayo huko mtaani. Hii siku naikumbuka na huwa nacheka sana. Wana tuliopiga hili tukio mkipita hapa mtakumbuka. 😅😅😅 Hapo form two.

Matokeo ya pre national yametoka mabovu mbaya ikabidi tuvunje kioo cha notice board tukachana matokeo.

Nakumbuka tuliwahi kuvamia canteen siku imetokea vurugu kwasababu mwenye canteen alikuwa anauza vitu ghali tukafanya kumkomoa. Wa dukani tulimwacha kwasababu alikua fair.

Mlinzi mnoko siku hiyo alipigwa vile vitofa vyakuchoma akakimbia lindo akakimbilia maporini.

Nakumbuka kuna jamaa alikuwa snitch anatusnitch kwa walimu siku moja umeme ulikatika jamaa wakaingia porini kuchuma upupu asee jamaa yupo bed kwake alichapwa upupu wa uso alivimba balaa. Sitaji majina maana kwenye kamati ya upupu nilikuwepo.

Nakumbuka machalii wa Dar walikuwa wanajiona wakishua sana mara blue band sijui Milo, Nido na mbwembwe basi machalii wa R tukawa tunaiba ma tranka yao tukishachukua kinachotufaa tunatupa jalala la shule.

Kuna day jamaa mmoja aliharisha kwenye chumba kimoja jirani na bweni asee tunaolala lile bweni wote tulishikishwa kile kinyesi na mwalimu wa discipline alikuwa mkali balaa (simtaji jina) 😅😅

Kipindi hiyo tunatoroka skuli kwenda sehemu fulani kula mihogo wengine kunywa banana na kuvuta bangi na fegi.

Matukio ni mengi sana nikiandika hapa naweza kujaza kitabu. Hapo ni o'level tu bado advance.

Clue: Manyigu na Madondola.. kama unajua hii utajua ni skuli gani na mwaka gani maana tuliacha legacy. Siku tunamaliza pepa uongozi wa shule ulipumua.
 
Hahahah papuchi oyeee...!!!
Kanawa sec 2002 ilikuwa shida maji mnaenda kufukua mtoni yanavilia mnakunywa.Bwenini full kichapo kwa form one!!,Siku ya wali bora usioge! Mademu wazurii sijui walikuwa wanakura nn? Ziara za michezo Lalago sec Maswa unapata na mchumba!!,sijui jaama hawa wako wali Sixths Kafuruki,Cosmas Peter,Thomas Elkana ,Ossu,Samwel Manoni,Kulwa Ndinho,
Kuna demu wangu alipatwa breed ghafla darasani alilia mno akiomba nimsamehe!!, Baada ya kutoka alinipa papuchi akanipa maelekezo kuwa niisugue kabisa ikome kumwaibisha!!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulikuwa boarding mwaka ipi mkuu. Maana experience kidogo zita differ kutokea na wakati uliokuwapo maeneo hayo. Boarding za 70's na 80's kidogo ni tofauti na za 90's up to 2000+
Asalam Aleikhum

Katika Maisha ambayo siwezi kuyasahau ni maisha ya Boarding. Maisha ya Boarding noma aliimba Jay Mo, moja kati ya wasanii waasisi wa Bongo Flavor.

Maisha ya Boarding ni moja kati ya maisha matamu lakini pia yenye changamoto nyingi. Kuna matukio na vimbwanga ambavyo vinatia chachandu katika Maisha ya Boarding.

Kuanzia kuingia shule ukiwa form 1 ni burudani tosha. Kwanza tuliitwa majina mengi sana, nyoka, Salamanda, njuka, soksi ya mlinzi n.k

Tulipigishwa simu chooni, tulichapwa mikanda usiku hasa tulipowasnitch watesaji kwa walimu. Aisee tuliooingia form 2 tukawa eti ma MP, na sisi ndio wababe dhidi ya Form 1...hataree.

Maisha ya Boarding bhana, tulikula ada, home walipojua ikawa msala wengine ilibidi kipindi cha kuchukua cheti tutafute hela kwa udi na uvumba ili tukakomboe ada tuliyokula.

Nakumbuka kipindi tunajiandaa kwenda shule baada ya likizo tulikuwa tunanunua mafuta ya kupikia na dagaa na viungo, tunachemsha huo mchanganyiko na tukifika shule duh.. hatari, kijiko kimoja cha mafuta kwa bakuli moja la maharage, waombaji sasa, weeeeengi, nyama ilikuwa mpaka ng'ombe wa shule augue.

Siku ya wali wengine ndio tulikuwa tunaoga hasa wale Tuliosoma maeneo yenye baridi. Kuna wakati tulikula ugali na sukari, sukari ni mboga wakuu sio mnashanga tena tamu kweli. Tukiandikiana barua na masela wetu wa shule nyingine, lazima ndani ya bahasha tuambatanishe punje mbili tatu za wali, watajuaje huwa tunakula wali.

Ukipoteza sahani usiwaze, kwa wali au uji utatumia ndoo unayoogea, kwa ugali utabeba mkononi na maharage utaweka kwenye kikombe chako cha uji.

Kuna wakati tulikuwa tunaenda jikoni kuiba upper layer au top layer pale msosi unapokaribia kuiva. Upper layer ni yale mafuta yanayoelea juu ya maharage, ukichanganya na maharage utamu wake sio wa nchi hii.

Kuoga haikuwa lazima. Boarding wengi ndipo walioojifunza kupiga Punyeto, a.k.a Puli. Nakumbuka kuna siku washikaji waliifanya mashindano nani atatoa wazungu haraka na mshindi alipatikana.

Kwa wapenda soka kulikuwa hamna namna unaweza kukosa Mechi za UEFA au za ligi za usiku. Kutoroka lazima, tukirudi tuna fegi mfukoni tukifika Shuleni tunampa mlinzi inakuwa sio kesi. Ikiwa zamu ya mlinzi mnoko tunatumia mbinu za kijasusi kuingia na kutoka eneo la shule.

Maisha ya boarding tulilima, tulifyeka, tulicheza. Kulikuwa na wasongo na wanafeli, halafu kulikuwa na wasongo na wanafaulu. Kubaki bwenini wakati wenzako wapo class ilikuwa kawaida sana, ila ukikutwa na bwana Pepsi shauri yako, yaani ni msala. Ila sisi wazoefu hatukukamatwa.

Muda wa prep a.k.a prepo hatukwenda class, tulisubiri usiku wa manane mtu atuamshe ndio tukasome hii ilikuwa sana sana wakati wa mitihani, tuliita msuli pepa.

Dah siku ya kuondoka school baada ya mitihani ya kitaifa kuisha ilikuwa very sad day. Wa mbeya walikwenda, wa Dar walikwenda, wa Morogoro walikwenda, wa Dodoma, wa Arusha. Kweli boarding school inakutanisha watu kutoka kila kona ya nchi.

I bet waliosoma day schools hawakupata hii informal education katika shule walizosoma.

Waliosoma maisha boarding tiririka your experience.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesoma bording miaka 3 shule ilikua huru sana kufanya ufuska unaeza utoroke shule wiki wasigundue thow kulikuaga na rokoo uchwala...nashukuru Mungu wazazi wangu walikua makini sana mawasiliano kati yao na walimu wangu na mkuu wa shule yalisaidia sana niliishi nikiuliziwa na mkuu kila siku aliokuepo shule.
Nakumbuka siku nilipangwa morning spch kumbe sikuepo asembo basi badae yule mkuu akaja class akanipitisha kuanzia form 1 adi six kuspeech sitasahau. Siku moja aliniita home kwake ni karibu na shule nkaenda tukala dina akaniambia wazaz wako wanakupenda usiwaangushe kila siku wananipigia nikufatilie ndomana nakujar una wazaz wazur usiwe kama wenzio waliokuja kukua hapa.

Kwa wakat ule sikuyapenda maisha yale niliona nafatiliwa sana na walimu but badae niliona faida na nilijifunza kitu pia kwa ajir ya wanangu baadae.
 
Mshikaji wangu mmoja alichubua waya wa umeme ili tuwe tuna charge simu. Yeye pekee ndio alikua anajua ku set charger vizuri. Kama jamaa hayupo hakuna simu inayochajiwa....

Wazee wa pepa two kwenye wali ni historia isiyofutika
 
Kanawa sec 2002 ilikuwa shida maji mnaenda kufukua mtoni yanavilia mnakunywa.Bwenini full kichapo kwa form one!!,Siku ya wali bora usioge! Mademu wazurii sijui walikuwa wanakura nn? Ziara za michezo Lalago sec Maswa unapata na mchumba!!,sijui jaama hawa wako wali Sixths Kafuruki,Cosmas Peter,Thomas Elkana ,Ossu,Samwel Manoni,Kulwa Ndinho,
Kuna demu wangu alipatwa breed ghafla darasani alilia mno akiomba nimsamehe!!, Baada ya kutoka alinipa papuchi akanipa maelekezo kuwa niisugue kabisa ikome kumwaibisha!!!

Sent using Jamii Forums mobile app

so ulisusiwa papuchi ?[emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulikuwa na rafiki yetu mmoja hivi..alikuwa mchoyo vibaya mno..akiletewa vitu vyake na bwana ake anavifungia kwenye bag..hakuwa na tranka..kwa hiyo baadhi ya vitu vichache ilimbidi ashee na rafiki yetu mwingine vingi alikuwa anaficha kwenye bag..Kwanza huyo rafiki yetu mwingine alikuwa anasomeshwa kwa msaada na bahati nzuri alikuwa na heshima na kupelekea kupata madada wa shule ambao wakinunua vitu wanampa na yeye kwahiyo hakuwa na shida Sana na vijuice vibites..Sasa alichokuwa anakifanya rafiki mchoyo mwenzake akiletewa vitu wanakula sawasawa hadi viishe.

Sikumoja wakati wa prepo tukasubiri ametoka..tukafungua bag lake fungua juice tukatafuta chupa nyingine tukaigawa nusu kwa nusu..tukamjazia mimaji..tulikuta vicake hata havijafunguliwa vilikuwa 12 tukagawana tulimuachia viwili2..tukachukua pipi bigbom zilikuwa 14 tukagawana na kubakiza 2..tukakuta fuko la ivory pia tukagawana..tukaenda zetu kusoma nakumbuka ile siku tulikuwa tunatafuna tu mwanzo mwisho..mbona aliacha uchoyo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]..tulimkomesha haswa..

Kuna kingine tulimfanyia nitarudi kusimulia

Sent using Jamii Forums mobile app

hiyo tabia hiyo🤣 sio nzuri
kuna jamaa xkul kwetu aliitwa masoud (muislamu) alifungua school bag la manzi fulani wa kihindi akakuta nyama roast akala yote akaja kujisifia,
demu alipokuja akaanza ku shout “where is my pork !!!” jamaa alitamani kutapika but it was too late

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom