Nilikutana na mchizi wangu baraka anapenda kuangalia video si mchezo, ikawa ni kutoroka kila night hakuna cha prepo wala nini tunazama kibanda umiza.
cheki movie mpaka ngoma 6 inawekwa pilau aseeh, siku moja ma njagu wakatuotea kibanda umiza tunacheki pilau wakatudaka watu kama 8.
hapo tukilala kituoni ni msala skuli, kufukuzwa nje nje ilibidi tuwaambie ukweli sie wanafunzi tuwape mkwanja flani watuachie wakakubali ikawa pona pona yetu.
Matukio ni mengi sana, niliweka wali kwenye tranka mjinga flani akalitingisha juu chini chini juu daaa! nguo zilitapakaa wali si kidogo