Vituko vya Maisha ya Boarding, Tukumbushane Tuliosoma Huko

Vituko vya Maisha ya Boarding, Tukumbushane Tuliosoma Huko

Hahahaaa Victoire jamani umenikumbusha mbali kuchota maji kule kwenye kijito. Na bakora za mwalimu Bengesi [emoji23][emoji23][emoji23]. Rwelengera mwalimu wangu wa chemistry. Mama Mashele headmistress. Kande za Rugambwa zilikua tamu [emoji23][emoji23][emoji23]. Unanunua na ndizi. Disco na Ihungo [emoji23][emoji23]
Shule Rugambwa nakufurahia mlezi mama na rafiki yangu, waniongoza wanikumbatia niwe salama maishani mwangu, Eeh Rugambwa mtajika nakupenda.........Malizia basi. Bengesi alikuwa noma.
 
Shule Rugambwa nakufurahia mlezi mama na rafiki yangu,waniongoza wanikumbatia niwe salama maishani mwangu,Eeh Rugambwa mtajika nakupenda.........Malizia basi.Bengesi alikuwa noma.

Hahahaa unilinde nami nikulinde [emoji3][emoji23]. Hapo tuko assembly na sketi zetu za udongo/brown
 
Mm nimesoma Nigeria ila shule ya kutwa ni full kudeka aisee....
 
Lyamungo high school ...kuna canal moja imepita apo school ni mwendo wa kubatizanaa tuu. Form one na five walikua wanaamshwa SAA 9 usikuu wanaogeshwa kwenye ioo canal...
 
Lyamungo high school ...kuna canal moja imepita apo school ni mwendo wa kubatizanaa tuu. Form one na five walikua wanaamshwa SAA 9 usikuu wanaogeshwa kwenye ioo canal...
Duh hadi form 5, hao walikuwa mafala
 
Umbwe vijina wadogo nyie nakumbuka kuna siku mlikuja lyamungo kuleta fujo adi mwenzenu alikufa
Ahaa unakumbuka eti ee...lakini vip tulivowapa kichapo najua hamuwezi kusahau...ilikuwa 2009
 
Nilisahau Shamba dress.Jamani ila kwa kweli tulisoma boarding za Kayumba we are strong than ever.Shida ya maji sasa acha kabisa.O level nilisoma Rugambwa girls yaani kule maji tulikuwa tunafuata kwenye kijito flani hivi kina mawe makubwa kabisa.Halafu sasa kule vyoo vilikuwa vinaziba,kuzibua sasa.Imagine mavi yanajaa hadi yanatokezea kwenye pavements.O My God sitaki kukumbuka.Ila namkumbuka sana mpishi Kaka hansi na Samaki wa mama nelly,jongwe,blue band.Vyoo vya Ihungo vilikuwa vichafu balaa.
Vyoo vya ihungo ilibidi tuvibatize jina tukaviita Rugie hilo jina tulilitoa huko kwenu mlimani, siku ya disco tulikuwa tunawaalika mabinti wa Rugambwa, huko bwenini ilikuwa ni mwendo wa kuazima au kuibiana pamba kwa ajili ya disco ili madem wa rugambwa wakukubali, mida ya kuisha disco ni mwendo wa kutuma bahasha zenye barua zilizo chorwa maua nk , siku ikitokea mkapata ziara ya kwenda Rugambwa na ukabahatika kuwa kwenye orodha ya wanaoenda huko ilikuwa ni shangwe, unanyoosha yunifom hadi kero, km kutakuwepo na disco hapo ndo balaa, lazima uazime jinzi kali na buti la ukweli, ili mida ya disco mademu wakukome, Duh siku hizo si rahisi kujirudia Mungu weee
 
Kuna jamaa lilikuwa jizi la ugali noma sijui sikuhizi liko wapi? Ila wale wenyeviti wetu wa starehe walishakufa wote sijui walipataga laana gani!
Anaweza akawa kiongozi mkubwa tu wa kisiasa
 
Poleni sanaa dooh, mie nlikuaga zangu day both o level na high level, alaf shule za serikali za maana tu... nakula vizuri home na nna tia sanaa watoto wa watu mitaani... kumbe nyie mlikua mnaangaika na maisha kiasi iki? Daaah.
 
Back
Top Bottom