Boarding ngumu ni zile za boys tupu, mi nimesoma Bwiru boys kipindi hicho.
Nakumbuka nina siku 3 toka niingie form 1 akaja 4m4 mmoja pande la mtu ananmbia dogo hebu njoo hapa nikaenda akaanza kunambia eti dogo nina notes zangu counter 3 nataka uje bweni fulan uniandikie, nikamwambia bro niko busy siwezi sahivi eti anauliza form one uko busy, nikamwambia bas ntakuja kuchukua, basi kuanzia hapo ikawa kila nikimuona nakula winga mwishowe akiniona anacheka tukawa washkaji
Watu tulokua na vipaji kama vya kucheza mpira hatukupata shida kiviile maana zikitaka kuanza ligi za mabweni kila dom prefect anataka uamie kwenye bweni lake. Japo boarding ni kama kambi ya jeshi