Vituko vya Maisha ya Boarding, Tukumbushane Tuliosoma Huko

Vituko vya Maisha ya Boarding, Tukumbushane Tuliosoma Huko

kupiga simu chooni, kuvuta mjani, kugonja walimu wa kikeni waliokuwa wakija field, kuuza biskuti, kuvunja makontena ya vilaza, watu tulikuwa na funguo zaid ya 500 hizi ni za kupampu makufuli, wakati tuko shule, tunamiliki shamba bondeni, la nyanya na miwa, kupiga walimu wanoko mida ya prep, kutoroka usiku tunaenda mlima zinaa, kulala ktk mabweni ya wasichana na wasichana kujichanganya ktk mabweni ya masela, kuingia class na vi bom, kupiga simu chooni, disko vumbi, kuwekeana mafta ya taa ktk chakula, kuchambia godoro, kulamba sahani baada ya kula, kupiga passpot size, njuka mnyonge alibanduliwa au kunyonya rungu, kufunga mawe ktk mataulo kisha taa inazimwa dakika tano, muda wa kufunzana adabu, hii kila siku saa tano usiku, kupakana losheni, au kuvunjiwa yai ukilala kisha wanasingiziwa vibwengo, kuuza magodoro ya walioingia darasani wiki dume, godoro linabadilishwa na sahani ya wali maharage, mchaka mchaka saa kumi za usiku kisha mnafuata maji ya kuoga chini ya mlima..na mwisho tukachoma shule moto kisa hawakutupikia wali wiki mbili mfululizo....nilikuwa waziri wa chakula, kampani yangu walijaziwa kuliko maadui zetu, sisi chakula tulikuwa tukiweka katika ndoo ya lita 20 watu watano, tulikuwa wanafunzi 1200 lakini nyama inapikwa kilo kumi na tano tuu, hapo waziri wa msosi nachoma kilo moja na ikiiva najaza kisado, wengine wanakunywa supu...tulibadilishana wali kwa penzi....pamoja na yoote, darasani tulikuwa vizuri....mvua ikinyesha woote tulitoka nje uchi tukioga...kutokana na utukutu niliokuwa nao, pesa ya matumizi nilipewa buku na panadol tu, lakini nikirudi rikizo nilikuwa na zaidi ya laki tatu...
Kwa maelezo hayo unaonekana ulikua mnoko mnoko afu snitch
 
Nilisahau Shamba dress.Jamani ila kwa kweli tulisoma boarding za Kayumba we are strong than ever.Shida ya maji sasa acha kabisa.O level nilisoma Rugambwa girls yaani kule maji tulikuwa tunafuata kwenye kijito flani hivi kina mawe makubwa kabisa.Halafu sasa kule vyoo vilikuwa vinaziba,kuzibua sasa.Imagine mavi yanajaa hadi yanatokezea kwenye pavements.O My God sitaki kukumbuka.Ila namkumbuka sana mpishi Kaka hansi na Samaki wa mama nelly,jongwe,blue band.Vyoo vya Ihungo vilikuwa vichafu balaa.

Ha ha ha, shule niliyosoma kulikuwa na vyoo fulani vya nje, kwenda chooni unaacha nguo zote nje, maana ukiingia nazo unatoka na harufu yote ya choo.
 
Shy Bush pale msituni, nilijifanya mjuaji nilivokwenda form five vijana wa O-level wakaiba chaga halafu wakaegesha godoro nilivorudi kutoka mess nikajiachia kitandani.
Nilichokutana nacho ni ngumu kusimulia.

Ulikuwa Twiga, Tembo, Simba, Nyati au Chui?

Hapo nadhani itakuwa Tembo au Chui, Simba na Twiga ni mabweni ya wastaarabu mpaka leo.
 
Duuh miaka ya 2003 tukiwa advance PCM pale Tanga Technical nakumbuka nlimpokonya mshikaji wangu Mh Mrisho Gambo demu wake aliekua housegirl kwa mwalimu mmoja wa o level.

Basi siku nkatoka usiku na Huyo housegirl hadi guest mitaa ya makorora, yule bint alintesa maana ukishuka siti ya mbele anataka siti ya nyuma, ukishuka ya nyuma anataka ya mbele.. Kukaa siti ya nyuma ndiyo nlianzia kwake siku hiyo

Nkajikuta napelekwa huku na kule kama mara saba mfululizo, nkarudi bwenini, bweni liliitwa Faru around saa saba, kichwa kikawa kinagonga kama nataka kufa, ikabidi niwaamshe wote bwenini wantaftie panadol na nkapata ndiyo ikawa ahueni yangu
 
Daaah, tulikusanya makaratasi tukayaweka kwenye ndoo 5 tukaingia bwenini upande wanaolala form one tukaweka mafuta ya taa kwenye makaratasi tukawasha moto halafu tukapiga kelele kuwa bweni linaungua watu walikurupuka saa 9 usiku kujiokoa wengi waliumizana tukakimbia. Tulisakwa na mashushu ili tufukuzwe shule ilibaki kidogo tubainike. Tuliishi kwa presha hadi tulipomaliza shule. Ule mwaka ulikuwa mrefu sana.
 
Miaka ya sabini mwishoni mpare mmoja bahili alikuwa anafungia (pure) makande kwenye sanduku lake la bati alipoenda kuoga.tulishika lile sanduku na kulitikisa chakula kikachanganyika na nguo.nitaeleza tifu lililotokea aliporudi kuoga akafungua sanduku alichokuta hakuamini.
 
Duuh miaka ya 2003 tukiwa advance PCM pale Tanga Technical nakumbuka nlimpokonya mshikaji wangu Mh Mrisho Gambo demu wake aliekua housegirl kwa mwalimu mmoja wa o level.

Basi siku nkatoka usiku na Huyo housegirl hadi guest mitaa ya makorora, yule bint alintesa maana ukishuka siti ya mbele anataka siti ya nyuma, ukishuka ya nyuma anataka ya mbele.. Kukaa siti ya nyuma ndiyo nlianzia kwake siku hiyo

Nkajikuta napelekwa huku na kule kama mara saba mfululizo, nkarudi bwenini, bweni liliitwa Faru around saa saba, kichwa kikawa kinagonga kama nataka kufa, ikabidi niwaamshe wote bwenini wantaftie panadol na nkapata ndiyo ikawa ahueni yangu

accused ,
Mkuu, pole Sana, tamaa ilimuua Mzee Fisi.
 
mechoka mkuu huwa sipendi kuandika mimeseji mirefu ivyo kwanza shukuru kuliandika ilo gazeti lasivyo ningeishia mistari miwili tu hapo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
1. Kuna jamaa aliwadanganya wazazi wake amevunja 'assembly' na inatakiwa laki 1, akatumiwa.

2. Tulienda kumtega nguruwe porini, akanasa, tulikula sana kitimoto pori siku hyo, tukarudi jioni tukiwa full, tulikuwa watu kama 20 hv kwenye hyo party ya kula kitimoto *****.

3. Stasahau mgomo ule uliotusotesha mtaani huku wengne wakifukuzwa shule.

4. Disco la uswazi tumeliibukia sana full kubambia mademu na ukibahatka unaopoa unapunguza nyege.

Uzi huu hauwafai wale wa shule za kishua
 
Kwa wale wa Ununio boys kulikuwa na siku ya bendera nyekundu. Hapa panataka ukomavu wa vidore kwa Ajili ya kupakuwa wali kwa mikono zamaaaaaaniiii...... Sanaaaaa!!!
 
Maisha ya boarding siyo kabisaaa kwanza kula maharagwe jamani......nakumbuka nlipewa adhabu ya kukata kuni mia tatu.....dah ile adhabu sitasahau
 
Umbwe secondary uji wa saa 12 asubuhi tulikuwa tunaita ''fongo'' ukiwa hauna sukari tulikuwa tunasema ''fongo chuma''..ukikamatwa unarudia(pepa two) msosi adhabu unadeki jikoni wiki nzima..
Mti safi
 
Nilisahau Shamba dress.Jamani ila kwa kweli tulisoma boarding za Kayumba we are strong than ever.Shida ya maji sasa acha kabisa.O level nilisoma Rugambwa girls yaani kule maji tulikuwa tunafuata kwenye kijito flani hivi kina mawe makubwa kabisa.Halafu sasa kule vyoo vilikuwa vinaziba,kuzibua sasa.Imagine mavi yanajaa hadi yanatokezea kwenye pavements.O My God sitaki kukumbuka.Ila namkumbuka sana mpishi Kaka hansi na Samaki wa mama nelly,jongwe,blue band.Vyoo vya Ihungo vilikuwa vichafu balaa.

Hahahaaa Victoire jamani umenikumbusha mbali kuchota maji kule kwenye kijito. Na bakora za mwalimu Bengesi [emoji23][emoji23][emoji23]. Rwelengera mwalimu wangu wa chemistry. Mama Mashele headmistress. Kande za Rugambwa zilikua tamu [emoji23][emoji23][emoji23]. Unanunua na ndizi. Disco na Ihungo [emoji23][emoji23]
 
Nilisahau Shamba dress.Jamani ila kwa kweli tulisoma boarding za Kayumba we are strong than ever.Shida ya maji sasa acha kabisa.O level nilisoma Rugambwa girls yaani kule maji tulikuwa tunafuata kwenye kijito flani hivi kina mawe makubwa kabisa.Halafu sasa kule vyoo vilikuwa vinaziba,kuzibua sasa.Imagine mavi yanajaa hadi yanatokezea kwenye pavements.O My God sitaki kukumbuka.Ila namkumbuka sana mpishi Kaka hansi na Samaki wa mama nelly,jongwe,blue band.Vyoo vya Ihungo vilikuwa vichafu balaa.

Shamba dress za kijani, unakumbuka kule ghorofani kwa popo? Kuna madarasa hayatumiki yako ghorofani kuna popo balaa [emoji23][emoji23]
 
Nilisahau Shamba dress.Jamani ila kwa kweli tulisoma boarding za Kayumba we are strong than ever.Shida ya maji sasa acha kabisa.O level nilisoma Rugambwa girls yaani kule maji tulikuwa tunafuata kwenye kijito flani hivi kina mawe makubwa kabisa.Halafu sasa kule vyoo vilikuwa vinaziba,kuzibua sasa.Imagine mavi yanajaa hadi yanatokezea kwenye pavements.O My God sitaki kukumbuka.Ila namkumbuka sana mpishi Kaka hansi na Samaki wa mama nelly,jongwe,blue band.Vyoo vya Ihungo vilikuwa vichafu balaa.

Vyoo vya majengo mapya full kuziba [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom