Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Mi nataka kuona vitukuu tu. Mengine hayanihusu!Babu mabaharia sio watu wazuri,wanataka nizae kabla ya ndoa[emoji16],si watanikimbia,halafu wake wanicheke eti single mom[emoji1787]
Mi nataka kuona vitukuu tu. Mengine hayanihusu!Babu mabaharia sio watu wazuri,wanataka nizae kabla ya ndoa[emoji16],si watanikimbia,halafu wake wanicheke eti single mom[emoji1787]
Ok,umesomekanyesiKi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hawezi akawa yuko serious, au atagombea ubunge[emoji2297][emoji2297][emoji2297][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
View attachment 1902380
Hivi umesoma kichwa cha mada kweli?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwakweli hapo huwa pagumu sana.View attachment 1902455[emoji1787][emoji1787]
kwani ata ukiua mbu c umeaua vile vle au??Tutaokolewa kwa neema tu kwa kweli [emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1902922
Hizi picha zina jukwaa lake
Na hizi peleka kule kwenye jukwaa za warembo
Huyu mvulana sijui kakurupukia wapi anatuharibia tuu uzi!! Sijui ni balehe za mapema[emoji2297][emoji2297][emoji2297]Cha Arusha au cha Njombe hicho?
Nimefanya kautafiti kangu kadogo malast born wengi wanakuwa mafulushi😬[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mnyweshe tu mwenzio.
View attachment 1903133
Mbeya unawajua au unawasikia?Ni huko Kaskazini hukoo kwenye milima milima huko [emoji2099][emoji2099]
View attachment 1902858
Nilikuwa namkubali sana mwamba. May his soul rest in peace.Alikuwa mtata sana. Yaani full vituko kesi kama zote. Ilibidi tu kumuua ili kukata mzizi wa fitina!
View attachment 1902873View attachment 1902875
Njoo PM [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Debe tupu....
Kwani vinawawasha? Vyenu mbona hamvisemei?Jamani wanawake, punguzeni vitambi View attachment 1902874
Hilo haliwezekani. Unataka yaani kabla mtu hajaposti cho chote afuatilie post zote zilizotangulia aone nini kimepostiwa? Mbona itakuwa mateso?Wakuu, ni aibu ku repost alichopost mwenzio, tafuta kingine upost!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimefanya kautafiti kangu kadogo malast born wengi wanakuwa mafulushi[emoji51]