Na ukiona unamahusiano ambayo hakuna wanaotaka kuzamia ujue umeingia cha kike raha ya mahusiano inapendeza kuzuia wazamiaji kabla hawajaleta madhara lkn haipendez wasiwepo kabisaMkuu, usiulize majibu kwenye mtihani usio na maswali.
#KuchapiwaHakuepukiki
#KuchapiwaNiSiriyaNdani
#KitandaHakizaiHaramu
Anapost wa kwanza ndani ya dakika chache anapost mwengine, ili kufahamu kinachochukuliwa hapa ndani ya jamii forums, chini ya picha au kichekesho linatokea jina lake jamiiforums!Umejuaje
then ipost!Usisubiri akutag nimeshamjibu! #66784Akikujibu unitag mpendwa
Anamaanisha inatokea km hvAnapost wa kwanza ndani ya dakika chache anapost mwengine, ili kufahamu kinachochukuliwa hapa ndani ya jamii forums, chini ya picha au kichekesho linatokea jina lake jamiiforums!
Chukua picha nitakayopost then ipost nawe uone litatokea jina gani chini!
View attachment 1903247
Chukuathen ipost!
Chief hiyo umeiscreenshot, download picha kisha itupie tena kwenye post yako!Anamaanisha inatokea km hvView attachment 1903267
Sahih nimeiskrinshotChief hiyo umeiscreenahot, download picha kisha itupie tena kwenye post yako!
Hii aliipost Mshana jr post #66787Anamaanisha inatokea km hvView attachment 1903267



Hapa hata ukitoa mtihan sintokosa swali hili ila nitapiga chabo km mazoea tu lkn nimeelewa mno maelezo na mifano yake
Hivyo ni bora tuuze nchi tugawane hela?
Part 2 is out (August 2021)![]()
Imeisha hiyoAkikujibu unitag mpendwa
Ni mv kazi(Kigambon)🥺🥺🥺nini kimetokea jamai🥺🥺
Ilikuwa kitambo hiyoNi mv kazi(Kigambon)🥺🥺🥺nini kimetokea jamai🥺🥺
Nuzulati ukujeAnapost wa kwanza ndani ya dakika chache anapost mwengine, ili kufahamu kinachochukuliwa hapa ndani ya jamii forums, chini ya picha au kichekesho linatokea jina lake jamiiforums!
Chukua picha nitakayopost then ipost nawe uone litatokea jina gani chini!
View attachment 1903247
Chukuathen ipost!
Bora AiseIlikuwa kitambo hiyo