Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Hizi anapaswa kuwa anaziweka huku eeeh!?Hivi umesoma kichwa cha mada kweli?
Hizi anapaswa kuwa anaziweka huku eeeh!?Hivi umesoma kichwa cha mada kweli?
Ndio, huwa nawaza hivi anaelewa hii mada kweli au anaifananisha na ile mada yako pendwa? Maana kusoma ni kuelewa[emoji848]Hizi anapaswa kuwa anaziweka huku eeeh!?
Anakipata hapa hapa, anapost tena hapa hapa!!Hilo haliwezekani. Unataka yaani kabla mtu hajaposti cho chote afuatilie post zote zilizotangulia aone nini kimepostiwa? Mbona itakuwa mateso?
Duh! Ndio uzi gani huu!! [emoji2305][emoji2305][emoji2305]Hizi anapaswa kuwa anaziweka huku eeeh!?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wa kiume eeh? Ni kweli kabisaaa hata sikupingi.
Hao kweli wanaboa. Naunga mkono hoja!Anakipata hapa hapa, anapost tena hapa hapa!!
Si uje tu na wewe? Ubishi wa nini?Kuna nini?
Watu wafupi mnatuonea mno aisehNa huo ufupi jaribi kumbishia kuhusu anachokiamini uone moto.
Hujambo binti yangu? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Watu wafupi mnatuonea mno aiseh
Sijambo Daddy SYB..uhali gani?Hujambo binti yangu? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1903199
Anakipata hapa hapa, anapost tena hapa hapa!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Uwongooooo !!!
Mmekutana na malast born huko ambao pengine hawakuwapenda sawa sawa; au pengine wenyewe mlizingua sasa mnatuvisha ufurushi malast born wote.
Mshindweeeee [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Jamani mimi nimebisha nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2369]Si uje tu na wewe? Ubishi wa nini?
Ndio mpendwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wa kiume eeh? Ni kweli kabisaaa hata sikupingi.
😬😂😂😂😂😂😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilijua tu lazima uchangie. Sasa last born wa kiume we uliona wapi hawi furushi?
Akikujibu unitag mpendwaUmejuaje