Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,829
Tena hapa yupo anakwenda zake Tanganyika Parkers akashuhudie wafu wakifufuliwa na misukule ikirudishwa [emoji16]
Hapa dogo anaonekana kakolea ndumu, je naye yuko chama la wana?
Ndiyo hivyo, muache ulozi ili tuwape hela ndugu zetu[emoji23][emoji23]