Vituko mitandaoni. Tupia chako

Vituko mitandaoni. Tupia chako

239521110_572975344075415_3918644857737148646_n.jpg
 
Na sasa atawaonya wafuasi wa Lungu!!
Huyu anasimamia sheria na ni muajiriwa wa serikali

Kwasasa serikali ni mpya,ila sheria,kanuni na taratibu ni zilezile. Alikosea wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuandama ni haki, polisi wajibu wao ni kuwepo kwa kulinda usalama bila ya kuzuia maandamano. "Kukung'uta" waandamanaji ambao hawafanyi vandalism ni uvunjaji wa haki za raia, polisi lazima nao wawe guided na sheria yaani wafanye kazi kwa weledi.
 
Back
Top Bottom