Milele2021
Senior Member
- Aug 21, 2021
- 181
- 2,317
Kaka mkubwa,shikamooNtake radhi, japo ni kweli nilikuwa sijazaliwa lakini mie ni mhenga ujue.
Hili gazeti ona tarehe, nchi ilikuwa bado mikononi mwa watu weupe.
Futa hiyo 'dogo' we binti.
Weed on fleek, roll and smoke.
Marhaba mtoto mzuri.Kaka mkubwa,shikamoo
Mwanzaaaaaaaaaaaaa.View attachment 1902495
Inawezekana mie ni mkubwa,lakini basi tu,umeniwahiMarhaba mtoto mzuri.



Ndotoni labda, kwenye uhalisia hapana tena nadhani mi uncle kabisa.Inawezekana mie ni mkubwa,lakini basi tu,umeniwahi![]()
Ndotoni labda, kwenye uhalisia hapana tena nadhani mi uncle kabisa.
Na ile 'kesi' bado ipo 'standing' ya babu asishirikishwa.




,Cha Arusha au cha Njombe hicho?Weed on fleek, roll and smoke. View attachment 1902556
Hiyo ni kubong'oa tu, nothing less nothing more.Na hizi peleka kule kwenye jukwaa za warembo
Swazi gold(cha Eswatini)Cha Arusha au cha Njombe hicho?