Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,582
- 1,105,402
Tutaokolewa kwa neema tu kwa kweli 








Sijawahi kushika maburungutu kama haya aisee!!!

Hongera babu,M/MUNGU ni mwema,upate kuona hadi vitukuuNilikuwa na miaka 14. Aisee siku hazigandi. Asante Mungu kwa kunipa maisha marefu haya![]()

Makuhani wa dini za kienyeji wana wivu kukosa waumini kwenye mahekalu yao.
Ila to be honest,huyu jamaa huwa namfananisha sana na yule jamaa wa CHADEMA alogombea ubunge Dodoma mjini,nadhani ni Kigaila.....Mungu anisamehe tu.Tena hapa yupo anakwenda zake Tanganyika Parkers akashuhudie wafu wakifufuliwa na misukule ikirudishwaView attachment 1902836
Hivyo nitaviona tu Inshallah! Halafu ni wewe tu mjukuu wangu unanichelewesha. Please olewa ningali hai ili nivione vitukuu vyangu jamani. Mabaharia wapo wengi tu hata humu JF. Chagua mmoja mi nifurahi puliziHongera babu,M/MUNGU ni mwema,upate kuona hadi vitukuu![]()

...and the Charles Darwin Award goes to Pastor James Sakara of Zion Church in Zambia. Congratulations sir



Sisi tulichelewa kuandika vitabu vyetu. Tungeandika vitabu vya "manabii" wetu akina Ng'wanamalūndī na Sundiata tukajaza na mubalaagha wa kutosha visa na miujiza yao bila shaka leo tungekuwa na dini imara na patakatifu petu. Tulichelewa!!!Makuhani wa dini za kienyeji wana wivu kukosa waumini kwenye mahekalu yao.
Waambieni hawa walete maandiko tusome, tuzielewe dini hizo ili tufanye maamuzi.
Tunaenda Saud Arabia, Israel, Iraq nk kwakuwa wenzenu wametushawishi kwa vitabu vyao.
Hamjachelewa, bado watu nguli kama nyinyi mngalipo.Sisi tulichelewa kuandika vitabu vyetu. Tungeandika vitabu vya "manabii" wetu akina Ng'wanamalūndī na Sundiata tukajaza na mubalaagha wa kutosha visa na miujiza yao bila shaka leo tungekuwa na dini imara na patakatifu petu. Tulichelewa!!!