Vitu sita ambavyo si viumbe vya Mungu

Vitu sita ambavyo si viumbe vya Mungu

Hizo figures zote ni muunganiko tu wa duara na pembetatu

Je,kuna namba tasa ndogo kuliko 2?

Au,kuna pembetatu yenye pembe nne?

Epicurus aliuliza hili swali

Ni wazi kuwa,ulimwengu umejaa mateso,shida,magojwa,njaa na mahangaiko

Tsunami,matetemeko ya ardhi n.k

Je,Mungu alitaka kuyazuia lakini akashindwa?

Basi sio muweza wa yote

Au alikuwa na uwezo wa kuyazui lakini hakutaka?

Basi hana upendo

Na kama alitaka kuyazuia,na uwezo wa kuyazui akawa nao?

Sasa hayo mateso,shida,njaa,magojwa,matetemeko ya ardhi,tsunami n.k,yote yametokea wapi?

Au hakutaka na pia uwezo wa kuyazuia hakuwa nao?

Kwanini basi tunamuita Mungu?
 
Hayo matetemeko na majanga mengine ni kwa ajili ya kumkumbusha mwanadamu kuwa kunamungu..mfano eistern ukiumwa sanaa au pakitokea tharuba yoyote automatiki utajikuta unahitaji msaada kwa aliekiumba
 
Allah,in his infinite mysterious ways,asingeshindwa kutafuta njia nzuri ya kumkumbusha mwanadamu bila kumpa adhabu

Kwa mfano,kwenye tsunami na matetemeko ya ardhi

Watenda mema na hao wanaomkumbuka mungu wao kila sekunde

Na waovu,wote hufa kwa pamoja

Milipuko ya magojwa haijali kama wewe ni sheikh au kibaka

Bado hujajibu swali inavyotakiwa
 
Hujajibu swali.

Mungu alishindwa kuumba ulimwengu ambao hayapo kabisa?

Kwa nini mungu ahitaji majanga ili kumkumbusha mwanadamu kwamba kuna mungu wakati angeweza kujiweka wazi kwa wote bila kuhitaji majanga?
 
Question yako ni kwamba kwanini asitumie njia nyengine badala ya stunami na majanga...swali hilo lipo beyond..itabidi umuulize direct
 
Siku ya judgement day atajiweka wazi..
 
Wenda hujanielewa

Jibu lako ni kwamba,Mungu anaruhusu hayo yote ili amkumbushe mwanadamu kuwa yeye yupo

Nikakupa mfano wa tsunami

Sio wote wanaokufa kwenye tsunami huwa hawamkumbuki Mungu wao

Kuna watu wema,wanaofanya ibada kila siku,hufa pia

Watoto wachanga wanakufa kwa njaa somalia

Hawa nao anawakumbusha?

Rajabu,hujajibu swali bado
 
Siku ya judgement day atajiweka wazi..
Hujajibu maswali yaliyoulizwa.

Hujathibitisha kwamba yupo.

Unajuaje atajithibitisha siku ya "judgement day" wakati huwezi hata kuthibitisha kwamba yupo?
 
Wenda hujanielewa

Jibu lako ni kwamba,Mungu anaruhusu hayo yote ili amkumbushe mwanadamu kuwa yeye yupo

Nikakupa mfano wa tsunami

Sio wote wanaokufa kwenye tsunami huwa hawamkumbuki Mungu wao

Kuna watu wema,wanaofanya ibada kila siku,hufa pia

Watoto wachanga wanakufa kwa njaa somalia

Hawa nao anawakumbusha?

Rajabu,hujajibu swali bado
Kifo kwa muumini ni rraha haijalishi kafa kwa bomu au tsunami ila ni adhabu kwa asie muumini...so ukiona stunami bass hapo kuna adhabu na mafunzo zote ni hikma za mungu juu ya viumbe vyake.
 
Giza sio kiumbe bali matokeo ya uwepo wa mwanga na kitu kilicho kati ya mwanga na mahali hapo kivuli kinapoonekana. Kama hakuna mwanga hakuna kivuli kwa sababu kivuli ni sehemu ya kutokuwepo mwanga.
Jiulize na ujijibu mie nishapitia haya mambo kitambo nawatizama mnaunya unya kutetea hamuwezi sababu kila kitu kipo wazi mliambiwa ukweli humuweka mtu Huru.... kuwa mjenzi huru tu kama unataka kuwa muwazi... Mambo ya Freemason hayajaanzishwa kizembe siri zimefunuliwa watu wakawa free
 
Kifo kwa muumini ni rraha haijalishi kafa kwa bomu au tsunami ila ni adhabu kwa asie muumini...so ukiona stunami bass hapo kuna adhabu na mafunzo zote ni hikma za mungu juu ya viumbe vyake.
Huo Mtazamo umejitungia? au ndio tuseme God has spoken again though you? acheni kutunga tunga vitu msivyo hata na kipunje cha ushahidi nacho...
 
Kifo kwa muumini ni rraha haijalishi kafa kwa bomu au tsunami ila ni adhabu kwa asie muumini...so ukiona stunami bass hapo kuna adhabu na mafunzo zote ni hikma za mungu juu ya viumbe vyake.
Kwanini Mungu mwenye uwezo wote asiwahukumu watu individually/mmoja mmoja bila kuwaangamiza wema na waovu kwa pamoja?

Kuna ulazima gani wa Mungu kumwangamiza hata mtu mwema kwa kosa la mwovu?

Huwezi kusema kifo ni raha kwa muumini aliyetegemewa na ukoo na familia yake nzima

Anakufa,na kuwaacha nduguze na wanae wakiteseka

Eti kwasababu Mungu mwenye ujuzi wote,uwezo,na upendo alitaka kumwangamiza mwovu,ila kwa bahati mbaya akamwangamiza na yeye
 
Vipi Babu yako? hajatii.... afu tena Sikia... hizo Hadithi za Kijinga sio issue maana hiyo convensation between Mungu na Shetani waeza sema nani huyo aliyewasikia... au kuna mtu alitega kinasa sauti? au cctv footage ilinasa huo ubishani? Na kama Nguvu ni utii pekee hiyo ni kali... so Mimi nikikuambia uendelee kuchat humu jf na wewe ukaendelea so mimi nina nguvu kuliko wewe? what kind of mifano ya kucompare
historia na maandiko si yapo..km ww unaamini binadamu alitokana na nyani si kutokana na historia
 
Mungu huyu hahitaji utafiti mkubwa kuona kwamba ametungwa.

Tena amwtungwa na watu ambao hawakuwa na logical consistency.

Imekuwaje mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote aumbe ulimwengu ambaobmabaya yanawezekana?

Unaona contradiction hapo?
MUNGU katungwa na watu tena.. Mungu ndo kaumba watu
 
Ukinitatulia contradiction hii nitaanza kukusikiliza kwa ku entertain uwepo wa mungu.

Kwa nini mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?

This is a logical contradiction that needs to be resolved by logic.

Huhitaji kutoa picha ya mungu au fingerprints zake.

Logic tu.

Unaweza kutatua swali hili?
Na ukweli ni kwamba hio contradiction haiwezi kutatuliwa kitu ambacho kinatupeleka kwenye hitimisho kuwa hayupo
 
uzushi wa jamaa ni huu kwa ufupi
mungu(sijui ni yupi) hakuumba vitu vifuatavyo
1mungu(hakujiumba)
2kifo
3maradhi
4njaa/vita
5giza

jamaa anaelim yake sijui katoa wapi anajua yy.. nmemwambia hapo juu akjipange, maana amekariri, hajui kuwa kabla ya dunia hii haijaumbwa Mungu alikwisha umba galaxies 99, na ya kwetu ni ya mia..

Hapo naona mnaleta contradiction (mkanganyiko) , kwanza tuelewe tunaposema Mungu ameumba kitu fulani , tunalenga nini? Yaani ni uumbaji wa namna gani? kwa sababu uumbwaji wa hewa ni tofauti na uumbwaji wa udongo. Hii itatusaidia kuwa na pointi ya kusimamia.
Kwa uelewa wangu mimi ninaweza kusema kuwa Mungu hakuumba chochote ila ni chanzo cha kila kitu.
 
Kabla ya kusema mungu kaumba hiki na kile, unaweza kuthibitisha kwamba yupo at all?
 
Hapo naona mnaleta contradiction (mkanganyiko) , kwanza tuelewe tunaposema Mungu ameumba kitu fulani , tunalenga nini? Yaani ni uumbaji wa namna gani? kwa sababu uumbwaji wa hewa ni tofauti na uumbwaji wa udongo. Hii itatusaidia kuwa na pointi ya kusimamia.
Kwa uelewa wangu mimi ninaweza kusema kuwa Mungu hakuumba chochote ila ni chanzo cha kila kitu.

Tatizo tunatumia akili zetu kutaka kuelewa au kuelezea Mungu ni nini wakati ni kitu kikubwa kuliko akili, kamwe akili haitatokea ikaelewa Mungu ni nini? Kwa sababu akili yenyewe imetokana na nini au chanzo chake ni nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom