samwel mandia
Member
- Aug 6, 2015
- 24
- 11
KWANZA,kupitia maandiko yanaeleza ukuu wa MUNGU ambao biblia niliyo soma inasema MUNGU ni roho,yeye hakuumbwa,yuko mahali popote.Sasa biblia inasema YEYE NI ROHO,scientist wanasema SUPERNATURAL POWER,natural power ambayo hawajaweza kuiprove kwa namna yoyote ndo mana wanashia hapo,,,,SASA kuishia hapo tu biblia pia imesema kuwa HACHUNGUZIKI,ALFA NA OMEGA,maana yake kama tumeshindwa kusema zaidi kuhusu SUPERNATURAL POWER maana yake HACHUNGUZIKI...Unajuaje kwamba mungu yupo na mawazo yake hayachunguziki kweli, na kwamba hii si story tu ambayo imetungwa na watu waliotaka kuuelezea ulimwengu ambao hawauelewi?
Nimeuliza swali, kwa nini mungu mwenye ujuzi wote, uwezo wote na upendo wote aumbe ulimwengu ambao mabaya yanawezekana wakati ana uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezekani?
Ukiniambia mawazo yake hayachunguziki kimsingi unaniambia unaamini katika mungu usiyemuelewa na ambaye hawezi kueleweka.
Na kama unaamini katika mungu ambaye humuelewi na wala haeleweki, utajuaje kwamba yupo na si hadithi tu?
PILI,Maandiko yenyewe yanasema kuwa MUNGU kila alicho umba akaona nichema sana akavibariki hasa viumbe hai akasema MKAZAE,MKAONGEZEKE,mkaijaze nchi,,,,,LAKINI VIUMBE KAMA MARAIKA,MWANADAMU,viliumbwa tofauti na viumbe wengine,au vitu vingine,kwani VILIWEKEWA "WILLING"Viliwekewa kuchagua,kuamua,KUTAWALA VINGINE,hata vikapewa maarifa,,,,TULIPEWA UHURU,SASA magonjwa,njaa,na vita chanzo chake ni SHETANI,NA MWANADAMU MWENYEWE JINSI ALIVYO TUMIA AKILI,AU WILLING YAKE KAMA WEWE "KIRANGA",,,,MUNGU anao uwezo wa kuviondoa vitu vilivyo sababishwa na willing ya mwanadamu na shetani,LAKINI Maandiko husema ameruhusu tu viwepo,hata YESU akasema shetani amepewa nafasi ya kuwapepeta ngano,,,,MUNGU alitaka aone utii,KAMA LEO UTAPEWA MADARAKA MAKUBWA,JE utayatumiaje?????SASA AKILI YAKO KIRANGA NDIO INATAKA IKUUE,IKUPOTEZE,MUULIZE NIETCHZECK
TATU,unasema MUNGU nisie muelewa,kumbuka mungu ni roho,nao wamwabudie inawapasa kumwabudu katika roho na kweli,UKITAFSIRI VITU VYA ROHONI NA AKILI your lost,wewe unatumia akili hiyo ndogo MUNGU aliyokupa KUFIKIRIA VITU VYA ROHONI,,,ndo mana humwelewi MUNGU.BIBLIA INASEMA onja uone,,,,umetumia akili yako vya kutosha NJOO ROHONI UONE,na ukiwa bado na maswali sitakukatalia......WELCOME BROTHER