Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,369
- 100,419
Vitu/Viumbe vingine ambavyo MUNGU hakuviumba au aliviumba kwa makosa ni CCM.
mkuu hii tafsiri yako imevunja record, anyway Mungu hafanyiwi mzaha, tunaposema Mungu aliumba kila kitu, tunamaana pana Sana, kwa uduchu, Mungu ni msanii wa vyote inavyo viona, na hata usivyoviona...Hapo naona mnaleta contradiction (mkanganyiko) , kwanza tuelewe tunaposema Mungu ameumba kitu fulani , tunalenga nini? Yaani ni uumbaji wa namna gani? kwa sababu uumbwaji wa hewa ni tofauti na uumbwaji wa udongo. Hii itatusaidia kuwa na pointi ya kusimamia.
Kwa uelewa wangu mimi ninaweza kusema kuwa Mungu hakuumba chochote ila ni chanzo cha kila kitu.
Kutambua uwepo wa mungu hii hali inabase na faith ya mtu..na ndo mana nguzo ya kwanza ktika dini imani..hapa unaamini vitu visivyoonekana kwa macho kama malaika nakadhalika..problem kwa eisten unatumia brain only not heart kufeel presence of god.[emoji4] [emoji1]Kwanini Mungu mwenye uwezo wote asiwahukumu watu individually/mmoja mmoja bila kuwaangamiza wema na waovu kwa pamoja?
Kuna ulazima gani wa Mungu kumwangamiza hata mtu mwema kwa kosa la mwovu?
Huwezi kusema kifo ni raha kwa muumini aliyetegemewa na ukoo na familia yake nzima
Anakufa,na kuwaacha nduguze na wanae wakiteseka
Eti kwasababu Mungu mwenye ujuzi wote,uwezo,na upendo alitaka kumwangamiza mwovu,ila kwa bahati mbaya akamwangamiza na yeye
Unajuaje unachoamini kipo na si imani tu kwa kitu ambacho hakipo?Kutambua uwepo wa mungu hii hali inabase na faith ya mtu..na ndo mana nguzo ya kwanza ktika dini imani..hapa unaamini vitu visivyoonekana kwa macho kama malaika nakadhalika..problem kwa eisten unatumia brain only not heart kufeel presence of god.[emoji4] [emoji1]
Mkuu, naomba uwekeze umakini huo kwenye kutafuta maendeleo. Kuna maswali hayana athari ukikaa bila majibu yake.Kifo ni kiumbe gani?
Uhai hupotea milele au unahama tu dimension.
Nani kaumba pesa?
Wapi nimesema kwamaba mungu kaumba hivyo?Wewe unauhakika gani kwamba Mungu ameumba hivyo vitu vyote ulivyovitaja? Je ulikuwepo? Uliona? How do you prove it?
We ni wa siloam nnHayo ni mawazo yako tena ni tone tu kwa uwezo wa uumbaji wa Mungu.tena Mungu wa Eliya.Mungu ni zaidi ya fikra zako sema Imekuwa
Nawewe aliyekwambia zipo galaxies 99 nani?? Kuna Billions of galaxies.. rejea Googleuzushi wa jamaa ni huu kwa ufupi
mungu(sijui ni yupi) hakuumba vitu vifuatavyo
1mungu(hakujiumba)
2kifo
3maradhi
4njaa/vita
5giza
jamaa anaelim yake sijui katoa wapi anajua yy.. nmemwambia hapo juu akjipange, maana amekariri, hajui kuwa kabla ya dunia hii haijaumbwa Mungu alikwisha umba galaxies 99, na ya kwetu ni ya mia..
Wewe ni kuku kweli.... mbona unanishuhudia uongo? nani kasema hayo maneno zaidi ya kinywa chako.... unashangaza...historia na maandiko si yapo..km ww unaamini binadamu alitokana na nyani si kutokana na historia
mkuu google tena? m naushahidi wa kibiblia mkuuNawewe aliyekwambia zipo galaxies 99 nani?? Kuna Billions of galaxies.. rejea Google
Yesu njooo Tu bwana dunia imetushindaLeo ndio nimejua kuwa kifo, Vita, maradhi, kiza ni viumbe...!!!
Hivi siyo viumbe ni vitu bana!! viumbe vyote vimeumbwa na Mungu lakini tumeambiwa si kila kitu kimeumbwa na MunguLeo ndio nimejua kuwa kifo, Vita, maradhi, kiza ni viumbe...!!!
Mkuu kiza kilikuwapo kabla nuru, rejea biblia kitabu cha mwanzo, acha ushabiki wa kidini.hiyo jamaa ni mpotoshaji mkubwa, nahisi anatumika na watu/viumbe anvyovijua.. Mungu ni MUUMBAJI WA KILA UNACHOKIONA na usivyoviona... nimukumbushe jambo moja kifo ni matokeo ya Uasi, means kwamba kama dhambi isingeingia kifo kisingekuwepo..
rejea mwanzo 1;1-3, Mungu alitenga Nuru na giza, tatzo lako mkuu unajua kuwa Mungu aliumba hii dunia tu, jambo ambalo si kweli, soma vyema utajua kuwa kuna zaidi ya galaxy 100 ambazo Mungu aliziumba, bahati mbaya dunia yetu pekee ndo iliasi, na Mungu kwa mjib wa biblia alimtuma Yesu kuja kuukomboa huu ulimwengu..
ni vyema kabla ya kupost jambo jielimishe,uliza na kisha njoo jf ukiwa na swal siyo hoja za upotoshaji kama hzi..
Lete mistari ya biblia au Koran au kitabu chochote cha dini inayosema mungu kaumba universe zingine 99.uzushi wa jamaa ni huu kwa ufupi
mungu(sijui ni yupi) hakuumba vitu vifuatavyo
1mungu(hakujiumba)
2kifo
3maradhi
4njaa/vita
5giza
jamaa anaelim yake sijui katoa wapi anajua yy.. nmemwambia hapo juu akjipange, maana amekariri, hajui kuwa kabla ya dunia hii haijaumbwa Mungu alikwisha umba galaxies 99, na ya kwetu ni ya mia..
Ni sahihi ukisema katika kitabu fulani hakijaeleza Mungu kuwa aliumba giza, kifo au njaa kwa kutumia vifungu ulivyosoma, lakini si sahihi kuhitimisha kwamba hakuumba. Nitakupa mfano mmoja, hata biblia inaposema hapo mwanzo Mungu aliumba mbingu na nchi haimaanishi kwamba hakukuwa na matukio kabla ya hapo bali hapo ndipo waandishi walipoanzia. hivyo kuhitimisha (conclude) kwa hiyo elimu ndogo ya dini uliyonayo sio sahihi ungehoji tu kwamba kitu fulani hakijafafanuliwa kwenye vitabu.