Uzuri mtu anaye kunywa pombe uwa asahau njia ila akisha fika tu hapo ndo network uwaga inakata so yeah nakubali na mleta hoja kua hii sio chaiMkuu hii ni chai. Kama ulikata network nani alimuelekeza bodaboda kwenu? Kukata netwok sio kipolepole watu wanalala mitaroni. By the way bi mdashi hakukupa hata kidogo later on?
Aaarh jameson ni nyoko sana ile kitu ukimix na kitu cha coca+ice qubes ni balaa.i know the feeling bruv...... you sound exaclty like me everytime nnapokunywa jameson ila sijui kwann huwa narudia tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu walausiwe na wasi ,utakuwa sio mlevi ,mi nalewa gari nafikisha gari salama home ila asubuhi skumbuki ilifikaje Mara jirani aseme nilikuwa naimba Mara nilitongoza ,mkuu mlevi akikata network huwa ana IQ ndogo ila inawazidi mbwa[emoji3][emoji3] nilikuwa najiuliza kama hukumbuki ulifikaje home, ilikuwaje ukachukua bodaboda na njia ukaelekeza hadi mkafika. Hapa ndio sijaelewa kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] alidhani pipi eeh!!mimi kunajamangu sikuhiyoo tupo viwanjaa flan hv tulikuwa hatujagusa tungi kama wwiki hivi bc tukauanzia tangu asubuh kufika jioni jamaaa aniingia choon akawa analilia vile vi mawe vya choon vilivyofaanana na pipi vya kukata harufu ya mkojo bc tulimzui kwelii ila wap mpk aakavitia mdomon asubuh tunamuhadisia ahaa jaam alitamani kufaa ssiku hy alilaani pombe mpk leo
Kila la kher mkuu!Shida nikiamuaga kunywa naona bia zinanizingua, na ndio naopt hayo madude. Kuna siku nilikunywa Jameson, sikujua nimefikaje nyumbani, asubuhi naamka nakuta kila kitu kipo fresh, gari nimepaki vizuri, milango nimefunga.Nikadhamiria sigusi tena hayo madude. But it keeps happening again and again. This time, I am going to quit for good.
Pole mkuu! Vp bado uko kwenye hili chama ama?Aaarh jameson ni nyoko sana ile kitu ukimix na kitu cha coca+ice qubes ni balaa.
Kuna siku nimekunywa ile chupa 750mil tuko watu 3 wengine wakaonja kidogo kidogo tu mi nikashupaa nayo aisee hio siku "nilirudisha chenchi" balaa kuanzia getini mpk ndani aisee.Kwa mara ya kwanza nilijishangaa kilichotokea.
Ila ndo hivyo tena hatukomagi aisee,bora kidogo tequila ina kaunafuu aisee.
huyo hapo mnyama hafai kabisa.... ila hatukomiAaarh jameson ni nyoko sana ile kitu ukimix na kitu cha coca+ice qubes ni balaa.
Kuna siku nimekunywa ile chupa 750mil tuko watu 3 wengine wakaonja kidogo kidogo tu mi nikashupaa nayo aisee hio siku "nilirudisha chenchi" balaa kuanzia getini mpk ndani aisee.Kwa mara ya kwanza nilijishangaa kilichotokea.
Ila ndo hivyo tena hatukomagi aisee,bora kidogo tequila ina kaunafuu aisee.
Jiran nae chi ntu! [emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu walausiwe na wasi ,utakuwa sio mlevi ,mi nalewa gari nafikisha gari salama home ila asubuhi skumbuki ilifikaje Mara jirani aseme nilikuwa naimba Mara nilitongoza ,mkuu mlevi akikata network huwa ana IQ ndogo ila inawazidi mbwa
Umetisha mzee baba!huyo hapo mnyama hafai kabisa.... ila hatukomiView attachment 950668
huu mzigo naukubali sana sema kila nikiupiga lazma kesho yake nijuteUmetisha mzee baba!
hard drink hata kama ulipanga upige two shots ikasha kicks in basi unajisahau unajikuta umeenda robo tatu au nusu chupaKwan huwez kupiga kidogo! Ugusemo tu kama dawa![emoji16][emoji16][emoji16] au unajipa ujasir haileweshi
Kwan huwez kupiga kidogo! Ugusemo tu kama dawa![emoji16][emoji16][emoji16] au unajipa ujasir haileweshi
Mkuu nataka nijue iliishaje hiyo movie, jamaa alikukonki au wewe ndo ulimkonki.Nilikula mtungi moli balaa, nakumbuka nikachukua demu pale, tumeend ghetto nmekula mbonji. Napata nafuu SAA 10 night khaa kumbe nimeng'oa shoga
Hahah bado niko kwny chama la wana lkn najitahidi kupunguza speed kiaina though ni mziki mnene mkuu.Pole mkuu! Vp bado uko kwenye hili chama ama?
Mziki mnene huo mkuuhuyo hapo mnyama hafai kabisa.... ila hatukomiView attachment 950668
Ila mwanangu hio kitu hua ni Conc. Sana aisee kuna muda mpk unaweza kuinywa huku unadondosha chozi la furaha na huzuni hapo hapo hahah.huu mzigo naukubali sana sema kila nikiupiga lazma kesho yake nijute