Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,856
- 105,141
Aisee,hauijui pombe ndugu.Alichoandika kina ukweli na ushuhuda ninao.Pombe!!!Hii chai mzee baba
Aisee,hauijui pombe ndugu.Alichoandika kina ukweli na ushuhuda ninao.Pombe!!!Hii chai mzee baba
😂😂😂😂Hujui nguvu ya kilaji ww! Waweza nywea gheto ukatoka kwenda kwa jirani kufanya fujo![emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kweli pombe ni nomamimi kunajamangu sikuhiyoo tupo viwanjaa flan hv tulikuwa hatujagusa tungi kama wwiki hivi bc tukauanzia tangu asubuh kufika jioni jamaaa aniingia choon akawa analilia vile vi mawe vya choon vilivyofaanana na pipi vya kukata harufu ya mkojo bc tulimzui kwelii ila wap mpk aakavitia mdomon asubuh tunamuhadisia ahaa jaam alitamani kufaa ssiku hy alilaani pombe mpk leo
Wacha niamini alichoandika mkuuAisee,hauijui pombe ndugu.Alichoandika kina ukweli na ushuhuda ninao.Pombe!!!
Vema.Kama hunywi usithubutu kujaribu.Pombe mwanaizaya sana!!Wacha niamini alichoandika mkuu
Anamfikia mnyama flan anaitwa 8 PMhuyo hapo mnyama hafai kabisa.... ila hatukomiView attachment 950668
Naona mkuu unanionya nisithubutu. Itabidi nionje kidogo inaonyesha watu wanafaidi sana. Wanadai vinavyokatazwa huwa ni vitamuVema.Kama hunywi usithubitu kujaribu.Pombe mwanaizaya sana!!
aaaah 8PM ule mzigo wa wahindi? ule nao una balaa si kitotoAnamfikia mnyama flan anaitwa 8 PM
Hahaha kuna siku jamaa angu alikujaga na mibotoli miwili ya huo mzgo tulikuwa kwnye party flan hv na nilikuwa nimeshaanza kutupia beer bt nkawa naona stim bado hazisomi, basi jamaa akawa kaja nayo nkakamata moja nkamimina kwny glass nkakata kama glass kadhaa hv nkaona bado nko stable nkaelekea zangu kucheza mziki, uzuri siku hio demu wangu nilikuwa nae yy alikuwa amekaa tuu yupo na friends zangu sasa wakat nacheza wao walinambia walishangaa mtu naanza kunyong'onyea chini taratiibu kama mkufu mpka nkajikuta niko down nmezima,demu wngu ndo kuhangaika mwagia maji wapii,kila wakisikiliza mapigo ya moyo wanasikia yanadunda kwa mbaaaali fasta ikakodiwa tax nkabebwa tukaenda geto asee nilifika geto kwny saa nane hv usiku nkiwa sijitambui nimelala nmekuja kushtuka saa 8 mchana.. tangu siku hio 8Pm naiogopa sana kuja kuulizia jamaa angu akanambia huo mzgo ndl huwa anautumia kuwala mademu cz mademu wakiufakamia hawakatiz dk lazma wakate moto so jamaa anakuwa anajilia mzgo kiulainiaaaah 8PM ule mzigo wa wahindi? ule nao una balaa si kitoto
hahahah.... ulifanya kosa kuimix na beer ile ngoma ukinywa hutakiwi kuwa umekunywa kilevi kingine na unatakiwa uwe umeshiba bila hivyo utasikia kama vitu vinazunguka tumboni hahaahHahaha kuna siku jamaa angu alikujaga na mibotoli miwili ya huo mzgo tulikuwa kwnye party flan hv na nilikuwa nimeshaanza kutupia beer bt nkawa naona stim bado hazisomi, basi jamaa akawa kaja nayo nkakamata moja nkamimina kwny glass nkakata kama glass kadhaa hv nkaona bado nko stable nkaelekea zangu kucheza mziki, uzuri siku hio demu wangu nilikuwa nae yy alikuwa amekaa tuu yupo na friends zangu sasa wakat nacheza wao walinambia walishangaa mtu naanza kunyong'onyea chini taratiibu kama mkufu mpka nkajikuta niko down nmezima,demu wngu ndo kuhangaika mwagia maji wapii,kila wakisikiliza mapigo ya moyo wanasikia yanadunda kwa mbaaaali fasta ikakodiwa tax nkabebwa tukaenda geto asee nilifika geto kwny saa nane hv usiku nkiwa sijitambui nimelala nmekuja kushtuka saa 8 mchana.. tangu siku hio 8Pm naiogopa sana kuja kuulizia jamaa angu akanambia huo mzgo ndl huwa anautumia kuwala mademu cz mademu wakiufakamia hawakatiz dk lazma wakate moto so jamaa anakuwa anajilia mzgo kiulaini
Hahahah kumbe unaielewa principle yake hahahhahahah.... ulifanya kosa kuimix na beer ile ngoma ukinywa hutakiwi kuwa umekunywa kilevi kingine na unatakiwa uwe umeshiba bila hivyo utasikia kama vitu vinazunguka tumboni hahaah
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha mimi sio kuwa nina kichwa cha panzi hapana maana Sminorf zile spirit,magic moment natumia.
Kuna siku tulitoka na mdau tukaenda Micassa asee tukawa na haraka tukasimama kaunta hatukukaa nikaagiza safari kubwa nne baridi nikanywa ndani ya robo saa tu.Asee niliongea vingereza vyote,jamaa alinivua suruali akaniacha na pensi akanifungia kwa nje gheto,asubuhi nimeamka nipo kwenye dimbwi la matapishi kitandani mpaka kichwani kwangu.
Kuuliza jamaa ananiambia wahudumu niliwashika matako mbele za watu wakamaindi,watu walikuwa wanacheka tu ndo akanivusha barabara kurudi home.
Haya madude yakikupa hangover unajiapiza kuacha,ikipita wiki ham inakuja unajikuta umerudi kule kuleShida nikiamuaga kunywa naona bia zinanizingua, na ndio naopt hayo madude. Kuna siku nilikunywa Jameson, sikujua nimefikaje nyumbani, asubuhi naamka nakuta kila kitu kipo fresh, gari nimepaki vizuri, milango nimefunga.Nikadhamiria sigusi tena hayo madude. But it keeps happening again and again. This time, I am going to quit for good.
Niliwahi piga funda moja ya hiyo kitu ilivyofika tumboni nikasikia kabisa maini yanatikisikaHahaha kuna siku jamaa angu alikujaga na mibotoli miwili ya huo mzgo tulikuwa kwnye party flan hv na nilikuwa nimeshaanza kutupia beer bt nkawa naona stim bado hazisomi, basi jamaa akawa kaja nayo nkakamata moja nkamimina kwny glass nkakata kama glass kadhaa hv nkaona bado nko stable nkaelekea zangu kucheza mziki, uzuri siku hio demu wangu nilikuwa nae yy alikuwa amekaa tuu yupo na friends zangu sasa wakat nacheza wao walinambia walishangaa mtu naanza kunyong'onyea chini taratiibu kama mkufu mpka nkajikuta niko down nmezima,demu wngu ndo kuhangaika mwagia maji wapii,kila wakisikiliza mapigo ya moyo wanasikia yanadunda kwa mbaaaali fasta ikakodiwa tax nkabebwa tukaenda geto asee nilifika geto kwny saa nane hv usiku nkiwa sijitambui nimelala nmekuja kushtuka saa 8 mchana.. tangu siku hio 8Pm naiogopa sana kuja kuulizia jamaa angu akanambia huo mzgo ndl huwa anautumia kuwala mademu cz mademu wakiufakamia hawakatiz dk lazma wakate moto so jamaa anakuwa anajilia mzgo kiulaini