Visa na mikasa ya kilaji/gambe/bwax!

Visa na mikasa ya kilaji/gambe/bwax!

Bwii89

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Posts
1,001
Reaction score
1,025
Wadau ni mkasa gani wa ajabu uliowahi kufanya wakati ukiwa bwax ambao hutokaa uusahau au ulikufanya uache pombe? Binafsi ilinitokea mikasa kadhaa ila ambao ctokaa niusahau ni siku ambayo nilikata henenga (henessy)a.k.a mnyama mkali kiasi cha kutosha na kupoteza network kiasi chake,kutoka bar kwenda gheto ckumbuki nlifikaje! La haula..! asubuhi yake nilijikuta sebleni nimelala kwenye sofa la mama mwenye nyumba wangu ambae ni maza wa makamo iv,baada ya kilaji kukata nilikurupuka mithili ya digidigi anayewindwa na simba porini,huku mapigo ya moyo yakienda mbio na kujiuliza nimefikaje pale wakati cnaga mazoea hayo..daah kama baada ya dk 2 tatu iv kupita bimkbwa aliposikia najikoholesha akatoka chumbani mwake na kuniuliza" mwanangu jana ulikumbwa na kitu gani"?.umekuja na bodaboda umekataa kumlipa mpaka nimekulipia,nusura mpigane kwa ww kumjibu mbovu,bas nkakwambia mwanangu kapumzike kwenye chumba chako tutaongea kesho pia ukagoma,ukasema unanipenda sana na unataka tukalale wote..embu fikiria baba ako (baba mwenye nyumba)angekuwepo c yangekua n matatizo jmn? Baada ya kugoma kutoka mimi na dada ako (...)tukakubembeleza ndo ukakubali kulala hapa seblen.Wakuu baada ya mkasa huo nlijitafakari sana,nkajisemea kimoyo moyo iv kwel mimi (...) nlikua nataka kumkata bi mdash?[emoji16][emoji16][emoji16]...! Toka siku hio niliamua bila kushurutishwa na mtu kutokugusa tena kilaji,niliishi kwa kujificha ficha hapo nyumban kama panya mpaka nlipoamua kuhama kwa siri!!
 
Wadau ni mkasa gani wa ajabu uliowahi kufanya wakati ukiwa bwax/tungi/maji ambao hutokaa uusahau au ulikufanya uache pombe? Binafsi ilinitokea mikasa kadhaa ila ambao ctokaa niusahau ni siku ambayo nilikata henenga (henessy)a.k.a mnyama mkali ya kutosha na kupoteza network,cjui nlifikaje nyumbani ila asubuhi yake nilijikuta sebleni nimelala kwenye sofa la mama mwenye nyumba wangu ambae ni maza wa makamo iv (mashaalah),baada ya kilaji kukata nilikurupuka mithili ya digidigi anayewindwa na simba porini,huku mapigo ya moyo yakienda mbio na kujiuliza nimefikaje pale wakati cnaga mazoea hayo..daah kama baada ya dk 2 tatu iv kupita bimkbwa aliposikia najikoholesha akatoka chumbani mwake na kuniuliza" mwanangu jana ulikumbwa na kitu gani"?.umekuja na bodaboda umekataa kumlipa mpaka nimekulipia,nusura mpigane kwa ww kumjibu vibaya,bas nkakwambia mwanangu kapumzike kwenye chumba chako tutaongea kesho pia ukagoma,ukasema unanipenda sana na unataka tukalale wote..embu fikiria baba ako (baba mwenye nyumba)angekuwepo c yangekua n matatizo jmn? Baada ya kugoma kutoka mimi na dada ako (...)tukakubembeleza ndo ukakubali kulala hapa seblen.Wakuu baada ya mkasa huo nlijitafakari sana,nkajisemea kimoyo moyo iv kwel nlikua nataka kumkata bi mkubwa?[emoji16][emoji16][emoji16]...! Toka siku hio niliamua bila kushurutishwa na mtu kutokugusa tena kilaji,niliishi kwa kujificha ficha hapo nyumban mpaka nlipoamua kuhama kwa siri!!
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] we jamaa umenichekesha sana asubuhi ya leo. Nilikuwa kuna mambo nayawaza baada ya kusoma huu uzi wako nimejikuta nacheka peke yangu kwa sauti.
 
Mkuu hii ni chai. Kama ulikata network nani alimuelekeza bodaboda kwenu? Kukata netwok sio kipolepole watu wanalala mitaroni. By the way bi mdashi hakukupa hata kidogo later on?
 
Mkuu hii ni chai. Kama ulikata network nani alimuelekeza bodaboda kwenu? Kukata netwok sio kipolepole watu wanalala mitaroni. By the way bi mdashi hakukupa hata kidogo later on?
Kanunue kachori uji tunywee,mkuu network haikukata mazima nilikua nikipanda juu ya mti kamnara kanachungulia,(ckuwahi kusahau nyumban hata ninywe vip) kwakwel namshukuru Mungu,ila ukiniuliza niliyofanya jana cwez kukwambia hata moja!! Narudia cwez! Kusema kwel baada kupumzika kula kilaji mawazo ya bi mdashi yalitoweka akilini mwangu japo nikikumbuka lile chura najipigiapo selfie mara moja moja![emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] we jamaa umenichekesha sana asubuhi ya leo. Nilikuwa kuna mambo nayawaza baada ya kusoma huu uzi wako nimejikuta nacheka peke yangu kwa sauti.
Wacha kabisa hivi visa mtu ukisimuliwa waweza sema chai lkn kwa wale wenzangu namie wanajua nguvu ya kilaji!
 
Hujui nguvu ya kilaji ww! Waweza nywea gheto ukatoka kwenda kwa jirani kufanya fujo![emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji3][emoji3] nilikuwa najiuliza kama hukumbuki ulifikaje home, ilikuwaje ukachukua bodaboda na njia ukaelekeza hadi mkafika. Hapa ndio sijaelewa kabisa
 
Niliwahi kususu hadharani mchana kweupe baada ya vitu kukolea,nakumbuka nilibadili bar kabisa sababu ilikua fedheha,na kale kamuhudumu nlokua nakafukuzia pale kakaniblock kabisa![emoji16][emoji16][emoji16] .
Hii chai mzee baba
 
Back
Top Bottom