Visa na mikasa ya kilaji/gambe/bwax!

Visa na mikasa ya kilaji/gambe/bwax!

Kanunue kachori uji tunywee,mkuu network haikukata mazima nilikua nikipanda juu ya mti kamnara kanachungulia,(ckuwahi kusahau nyumban hata ninywe vip) kwakwel namshukuru Mungu,ila ukiniuliza niliyofanya jana cwez kukwambia hata moja!! Narudia cwez! Kusema kwel baada kupumzika kula kilaji mawazo ya bi mdashi yalitoweka akilini mwangu japo nikikumbuka lile chura najipigiapo selfie mara moja moja![emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hamna mlevi anayesahau nyumbani... Hajatokea bdo.... Hta ulewe vp
 
Namm ngoja nichangie Kuna sikumoja tuko kwenye gambe bar moja maarufu bc bia kma zote Niko na wshkaj zang mamb ya mwisho wa mwez bc gambe lmepamba kweli nkajiongeza nkatafta mtoto japo nlkua sina kitu kichwan nljiambia kesho atchkua hata bufa ***** Kuna jmaang akawa antmtaman Yule dem & wkanpga beat nsiondoke nae Sina ela me nkagoma nkawambia mkileta usenge ntawavuruga vzr tu hapo wnnzd 10 yrs huko [emoji1787].

Bc muda ya saa9 hvi nkamchkua Yule dem nisepe geto ilkua kvuka road tu jmaa zang wale wakaja wknkatza nkaaanza fujo kma zote wkantulza nkwapa mashart kma mm siondk nae na nyie hvohvo hkuna kuondoka nae tkkubalina bnabna kwenda toilet kurud smuon Dem na jmaa mmoja hayupo abvious alkua Malaya skushngaaa bc nkmluam Yule aliyebaki snaaa nkmwambia twende kwa jmaa nkmfnyie fujo akankatza bc tksepa zetu geto gambe hata slsikiii nna hasira kinyama

Asbui yake nshangaa hodi jmaa kfka ooh nipgie cm yang [emoji1787] kulkon ooh Yule de mwizi kniibia cm na Ela laki3 daaaaaah kupga nmb haipatkani ikawa hvo jmaaetu msala ulkua wang akauvaa yeye[emoji120].
 
Back
Top Bottom