Visa na mikasa ya kilaji/gambe/bwax!

Visa na mikasa ya kilaji/gambe/bwax!

Asiyekunywa atasema watu wanadanganya kwa matukio ya kikombe na kisa hiki hapa;

Kuna mzee mmoja alikuwa ni mwajiriwa wa bandari, sasa nilipopanga sehemu yangu ya biashara ni kota za bandari, siku moja nipo na baba mwenye nyumba nilipopanga akanipa kisa cha jirani yake ambaye sasa hivi ni Ustaadhi swala Tano, akanambia siku hiyo wapo Equator Grill hapo Saba Saba walikuwa wanakula kilaji na wazee wenzie wa bandari, kikombe kimekubali kweli kweli, hicho kipindi cha Mkwere pesa kwao haikuwa ya kupapasa, bas yule jamaa kikombe sijui kikampeleka vipi Akasimama juu kaunta akatoa mjululu akakojolea kaunta na mitusi mingi ya kutosha. Baada ya lile tukio, pombe zimemuisha unaambiwa jamaa hakuwahi kugusa pombe mpaka leo ni Swala 5 usisimuliwe.
Hahah gambe sio chai aisee.
 
nasubiri watu watiririke zaidi....aisee kuna mshkaji wangu nilikuwa naye room moja enzi za chuo.....kaingia akakojolea vyombo ...kwa vile mi sikuwa mkorofi na sio mlewaji hivo nkachukua vyombo nkavitupa nje jalalani baada ya siku moja kama sio mbili
 
Write your reply...Matukio yangu ni noma niliwahi kwenda polisi kuzingua wakaniweka ndani acha ile kulala kwenye mitaro ikifika night ni vurugu tu kuna siku nikakamatwa shivaz na polisi nilivyo kichwa hovyo nipo kwenye dinga ya polisi bado natongoza kuna siku nilizama church kuwakurupusha watu niliokuwa nawaona sio siku nyingine kuna demu alininywea pombe akakataa kutoa mzigo kilichomtokea hawezi sahau sijui nilipata wapi nguvu za kumbeba begani alafu mchana kweupe
 
Mkuu bado hujalewa to the maximum

Wadau ni mkasa gani wa ajabu uliowahi kufanya wakati ukiwa bwax ambao hutokaa uusahau au ulikufanya uache pombe? Binafsi ilinitokea mikasa kadhaa ila ambao ctokaa niusahau ni siku ambayo nilikata henenga (henessy)a.k.a mnyama mkali kiasi cha kutosha na kupoteza network kiasi chake,kutoka bar kwenda gheto ckumbuki nlifikaje! La haula..! asubuhi yake nilijikuta sebleni nimelala kwenye sofa la mama mwenye nyumba wangu ambae ni maza wa makamo iv,baada ya kilaji kukata nilikurupuka mithili ya digidigi anayewindwa na simba porini,huku mapigo ya moyo yakienda mbio na kujiuliza nimefikaje pale wakati cnaga mazoea hayo..daah kama baada ya dk 2 tatu iv kupita bimkbwa aliposikia najikoholesha akatoka chumbani mwake na kuniuliza" mwanangu jana ulikumbwa na kitu gani"?.umekuja na bodaboda umekataa kumlipa mpaka nimekulipia,nusura mpigane kwa ww kumjibu mbovu,bas nkakwambia mwanangu kapumzike kwenye chumba chako tutaongea kesho pia ukagoma,ukasema unanipenda sana na unataka tukalale wote..embu fikiria baba ako (baba mwenye nyumba)angekuwepo c yangekua n matatizo jmn? Baada ya kugoma kutoka mimi na dada ako (...)tukakubembeleza ndo ukakubali kulala hapa seblen.Wakuu baada ya mkasa huo nlijitafakari sana,nkajisemea kimoyo moyo iv kwel mimi (...) nlikua nataka kumkata bi mdash?[emoji16][emoji16][emoji16]...! Toka siku hio niliamua bila kushurutishwa na mtu kutokugusa tena kilaji,niliishi kwa kujificha ficha hapo nyumban kama panya mpaka nlipoamua kuhama kwa siri!!
Hahaaaaaaa nomaaa aiseeee
 
Mkuu hii ni chai. Kama ulikata network nani alimuelekeza bodaboda kwenu? Kukata netwok sio kipolepole watu wanalala mitaroni. By the way bi mdashi hakukupa hata kidogo later on?

aaaaah achana na kinywaji mkuu.... kuna siku nilipiga kilaji jinsi nilivyotoka hapo kwenye kinywaji hadi kufika home sielewi

ila asubuhi baada ya kuamka nakuta gari ina matope kama nimepita jaruba la mpunga na mvua ilikuwa hainyeshi hadi kesho sijui yale matope niliyatoa wapi
 
Mimi Leo nimemwaga chupa yangu ya Pombe kali ; Ila hasara yake imeniuma dunia nzima. It was like this, I have been sober for 6 months now. I had a one week holiday and then I realize I need to loosen up a little bit. So I bought 3 bottles of pombe kali and i started drinking for 5 days straight. Then, I ended up having the worst hangover in my life; been sick for 3-4 days. Today, I have decided I am not going back that way again.
 
Nilikula mtungi moli balaa, nakumbuka nikachukua demu pale, tumeend ghetto nmekula mbonji. Napata nafuu SAA 10 night khaa kumbe nimeng'oa shoga
Mkuu ikawaje sasa? Ulimkata au ulimtimua[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
aaaaah achana na kinywaji mkuu.... kuna siku nilipiga kilaji jinsi nilivyotoka hapo kwenye kinywaji hadi kufika home sielewi

ila asubuhi baada ya kuamka nakuta gari ina matope kama nimepita jaruba la mpunga na mvua ilikuwa hainyeshi hadi kesho sijui yale matope niliyatoa wapi
Shukuru ulifika salama,vp bado unapiga moja moto moja baridii? [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mimi Leo nimemwaga chupa yangu ya Pombe kali ; Ila hasara yake imeniuma dunia nzima. It was like this, I have been sober for 6 months now. I had a one week holiday and then I realize I need to loosen up a little bit. So I bought 3 bottles of pombe kali and i started drinking for 5 days straight. Then, I ended up having the worst hangover in my life; been sick for 3-4 days. Today, I have decided I am not going back that way again.
Pole mkuu [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Mkasa wa kweli kabisa. Kuna uncle wangu yeye aliacha pombe kwa kisa hiki.

Alikua nafanya kazi ya boss wake ilikua ni kilimo so ilikua ni kipindi cha mavuno so alikua amekusanya pesa ya kutosha kufikia MILIONI 30 na vichenji vyake. Basi kaiweka kwenye mkoba akaenda kupiga ulabu. Anasema alikunywa ikafika kipindi hajielewi kabisa ila kilicho mshangaza alijikuta kaamka asubuhi kitandani na lile begi la hela lipo. Akahesabu mara mbili na kujaribu kurudia ile hela ipo kama ilivyokua. Hakupoteza muda akapanda gari kaenda kukabidhi hela kwa boss wake.

Anasema toka siku hiyo aliacha kunywa pombe na mpaka leo sijawahi kumuona akinywa.
 
Mimi Leo nimemwaga chupa yangu ya Pombe kali ; Ila hasara yake imeniuma dunia nzima. It was like this, I have been sober for 6 months now. I had a one week holiday and then I realize I need to loosen up a little bit. So I bought 3 bottles of pombe kali and i started drinking for 5 days straight. Then, I ended up having the worst hangover in my life; been sick for 3-4 days. Today, I have decided I am not going back that way again.
i know the feeling bruv...... you sound exaclty like me everytime nnapokunywa jameson ila sijui kwann huwa narudia tena 😂😂😂😂
 
mimi kunajamangu sikuhiyoo tupo viwanjaa flan hv tulikuwa hatujagusa tungi kama wwiki hivi bc tukauanzia tangu asubuh kufika jioni jamaaa aniingia choon akawa analilia vile vi mawe vya choon vilivyofaanana na pipi vya kukata harufu ya mkojo bc tulimzui kwelii ila wap mpk aakavitia mdomon asubuh tunamuhadisia ahaa jaam alitamani kufaa ssiku hy alilaani pombe mpk leo
 
i know the feeling bruv...... you sound exaclty like me everytime nnapokunywa jameson ila sijui kwann huwa narudia tena [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Shida nikiamuaga kunywa naona bia zinanizingua, na ndio naopt hayo madude. Kuna siku nilikunywa Jameson, sikujua nimefikaje nyumbani, asubuhi naamka nakuta kila kitu kipo fresh, gari nimepaki vizuri, milango nimefunga.Nikadhamiria sigusi tena hayo madude. But it keeps happening again and again. This time, I am going to quit for good.
 
all the best mkuu
 
Back
Top Bottom