Visa na mikasa ya kilaji/gambe/bwax!

Visa na mikasa ya kilaji/gambe/bwax!

Wakati nipo chuo na mitungi ya boom. Niliwahi kumkojolea profesa Kisha alinikuta bar na kunifananisha Kama ni mwanafunzi wake. Yani aliniuliza kwa nia njema kabisa kama ni mwanafunzi wake niende lecture mana anaenda Kutoa kozwek. Kilichompata alijuta na mm badae nilijuta maana kweli alikuwa mwalimu wangu
 
[emoji3][emoji3] nilikuwa najiuliza kama hukumbuki ulifikaje home, ilikuwaje ukachukua bodaboda na njia ukaelekeza hadi mkafika. Hapa ndio sijaelewa kabisa
Mkuu najua huwez elewa ila kwa wale wakata tungi wanaijua hii,waweza jikuta home bila kujua umefikaje!
 
Wakati nipo chuo na mitungi ya boom. Niliwahi kumkojolea profesa Kisha alinikuta bar na kunifananisha Kama ni mwanafunzi wake. Yani aliniuliza kwa nia njema kabisa kama ni mwanafunzi wake niende lecture mana anaenda Kutoa kozwek. Kilichompata alijuta na mm badae nilijuta maana kweli alikuwa mwalimu wangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji3][emoji3] nilikuwa najiuliza kama hukumbuki ulifikaje home, ilikuwaje ukachukua bodaboda na njia ukaelekeza hadi mkafika. Hapa ndio sijaelewa kabisa
Mkuu kwa kawaida mlevi hasahau njia ya kwao...
 
kuna mwenzenu.alilewa watu wakamfanyia sodoma.alihama dar.sasa kakimbilia kijijini ana pambana na hali yake..
 
hahahahh ulitaka kula zigo la baba mwenye nyumba..! ungekuta kufuli kubwa mlangoni mwako.
 
hahahahh ulitaka kula zigo la baba mwenye nyumba..! ungekuta kufuli kubwa mlangoni mwako.
Acha tu mkuu,hizi pombe sa nyingine ni majanga![emoji4][emoji4][emoji4]
 
kuna siku jamaa yangu kafakamia balimi wakati anarudi home ndani ya daladala akakaa siti moja na demu sasa kimbembe ni pale alipoanza kumtongoza akijua anamnong'oneza kumbe anaongea kwa sauti gari zima wanasikia.
 
Kuna mkuu mmoja jana alisema ili uache pombe bila shuruti lazima upate majanga makubwa kama hilo lako au ulawitiwe .
 
kuna siku jamaa yangu kafakamia balimi wakati anarudi home ndani ya daladala akakaa siti moja na demu sasa kimbembe ni pale alipoanza kumtongoza akijua anamnong'oneza kumbe anaongea kwa sauti gari zima wanasikia.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wadau ni mkasa gani wa ajabu uliowahi kufanya wakati ukiwa bwax/tungi/maji ambao hutokaa uusahau au ulikufanya uache pombe? Binafsi ilinitokea mikasa kadhaa ila ambao ctokaa niusahau ni siku ambayo nilikata henenga (henessy)a.k.a mnyama mkali kiasi cha kutosha na kupoteza network kiasi flan,kutoka bar kwenda gheto cjui nlifikaje! La haula..! asubuhi yake nilijikuta sebleni nimelala kwenye sofa la mama mwenye nyumba wangu ambae ni maza wa makamo iv (mashaalah)kajaaliwa,baada ya kilaji kukata nilikurupuka mithili ya digidigi anayewindwa na simba porini,huku mapigo ya moyo yakienda mbio na kujiuliza nimefikaje pale wakati cnaga mazoea hayo..daah kama baada ya dk 2 tatu iv kupita bimkbwa aliposikia najikoholesha akatoka chumbani mwake na kuniuliza" mwanangu jana ulikumbwa na kitu gani"?.umekuja na bodaboda umekataa kumlipa mpaka nimekulipia,nusura mpigane kwa ww kumjibu vibaya,bas nkakwambia mwanangu kapumzike kwenye chumba chako tutaongea kesho pia ukagoma,ukasema unanipenda sana na unataka tukalale wote..embu fikiria baba ako (baba mwenye nyumba)angekuwepo c yangekua n matatizo jmn? Baada ya kugoma kutoka mimi na dada ako (...)tukakubembeleza ndo ukakubali kulala hapa seblen.Wakuu baada ya mkasa huo nlijitafakari sana,nkajisemea kimoyo moyo iv kwel nlikua nataka kumkata bi mkubwa?[emoji16][emoji16][emoji16]...! Toka siku hio niliamua bila kushurutishwa na mtu kutokugusa tena kilaji,niliishi kwa kujificha ficha hapo nyumban kama panya mpaka nlipoamua kuhama kwa siri!! Bi mdashi ckubahatika kumkata ila picha ya lile li[emoji196] hua halinitokagi kabisa kichwan,na mara moja moja nakumbushia kwa selfie!
Aisee Faza hausi lingekuwepo ungeliwa kitimoto bila ky mamaye.
 
Wakati nipo chuo na mitungi ya boom. Niliwahi kumkojolea profesa Kisha alinikuta bar na kunifananisha Kama ni mwanafunzi wake. Yani aliniuliza kwa nia njema kabisa kama ni mwanafunzi wake niende lecture mana anaenda Kutoa kozwek. Kilichompata alijuta na mm badae nilijuta maana kweli alikuwa mwalimu wangu
Kwasasa umeacha mkuu au bado unapiga?
 
Asiyekunywa atasema watu wanadanganya kwa matukio ya kikombe na kisa hiki hapa;

Kuna mzee mmoja alikuwa ni mwajiriwa wa bandari, sasa nilipopanga sehemu yangu ya biashara ni kota za bandari, siku moja nipo na baba mwenye nyumba nilipopanga akanipa kisa cha jirani yake ambaye sasa hivi ni Ustaadhi swala Tano, akanambia siku hiyo wapo Equator Grill hapo Saba Saba walikuwa wanakula kilaji na wazee wenzie wa bandari, kikombe kimekubali kweli kweli, hicho kipindi cha Mkwere pesa kwao haikuwa ya kupapasa, bas yule jamaa kikombe sijui kikampeleka vipi Akasimama juu kaunta akatoa mjululu akakojolea kaunta na mitusi mingi ya kutosha. Baada ya lile tukio, pombe zimemuisha unaambiwa jamaa hakuwahi kugusa pombe mpaka leo ni Swala 5 usisimuliwe.
 
Back
Top Bottom