Visa gani pombe ilikufanyia hutasahau?

Visa gani pombe ilikufanyia hutasahau?

Kali yangu moja ya tungi nipo bar na friends kula sana tungi hata siku mbuki idadi ya chupa mida ya kama saa saba ucku nikarudi zangu home fresh nacho kumbuka nilifungua geti fresh nika ingiza gari vizuri tu kumbe bhana nilipo fika nili park siku funga mlango wa gari na nika iacha ipo silence siku izima hii nilikuja kuambiwa asubuh...
Mbaya kuliko nika ingia ndani moja kwa moja mpaka kwenye chumba cha dada wa kazi nika lala naskia eti dada wa kazi kuona nime vamia chumba akaenda kulala sitting room ila wife hakuelewa kabisa ilo somo maana nakuja kushtuka asubuhi nipo chumba cha dada wa kazi ila baadae atakua ali elewa tu maana nili rudisha chenji kwenye shuka za dada wa kazi akajua huyu jamaa atakuwa alizidiwa na tungi .... ila ilinichukua siku nzima kumuelewesha ilo jambo.
Kwa wasoma saikolojia, you've something in mind admiring the house girl.
 
Ipo siku kipindi hicho nipo chuo, tumetoka Harusi ya jamaa mmoja tukaenda zetu kwa Peter Moe kucheza Old skul +Tungi la kufa people.

Tulikuwa na mate wangu basi mida mida tukarudi zetu chuo, heee usiku Mate akaamka naona anafungua kabati la nguo anakojoa.

Kesho yake asbh ndo ananiambia kuwa alidhani pale anafungua kabati ndo alikuwa ameingia chooni na kumwaga kojo....
 
Hakukukamua makofi!!
Nikiri na niweke wazi, pombe sio mbaya endapo ukiitumia kwa nidham, ila ikitumika kwa upuuzi ni batili kabisa, Alhamisi iliopita nimeenda kutoa mshahara wa magu nikasema wacha nichukue laki mbili tu inatosha kwa matumizi, wife alikua safarini.

Sasa nilikua na deni la miez miwili nilikunywa urabu sehem moja ninayoaminika sana 36k, nilipolipia ndio nikaanza urabu kiasi chote cha pesa mfukoni nilichokua nacho nikakimaliza kwa mda mfupi tu kwani nilijikuta nimearika marafiki kama wanne na niliwahakikishia kula na kunywa.

Kutoka apo kichwa imewaka kila mashine ATM nilioiona nilitoa hela na kuwanunulia pombe whuni, ata nisiowajua so mpka kufika jumamosi jion ninetumia 700k , kilichoniokoa ni kufuatwa na wife baada ya kifika toka safari, na kukuta siko home, alipopiga simu nilimtajia kiwanja nilichopo. Niko ndani leo siku ya tatu nimeomba ruhusa kazini kila nikijitafakari najiona sina amani ya moyo na mie kipato changu sio cha kutumia pesa hio bila kujutia.

Nineweka mkakati wa kuacha pombe na ninaomba kuanzia hapa wenye nia wenzangu tuunde group la kupeana mikakati na mabadiliko ya kweli mim naiona pombe basi
 
Binafsi nakunywa pombe mara mojamoja, naweza kupitisha mwezi sijanywa ila nikinywa huwa nalipiza siku ambazo sikunywa kabisa. Hii imenikuta wiki chache zilizopita tulikuwa na event na marafiki tunaotoka sehemu moja, kwenye pombe mbuzi anahusika nilisimamia kitengo.

Nilikunywa mpaka K Vant nikaiona kama soda, nakuja kustuka pombe imenizidi kiasi hata kutembea ilikuwa noma. Sifanyi fujo nikilewa kila mtu alifurahi lakini balaa lipo kwa ndugu zangu kujua kuwa ninakunywa. Busara ilitumika simu yangu nikaicha kwa mtu niipate nikiwa fresh.

Ase nilifanya safari ya saa 1 na nusu peke yangu nikiwa nimelewa na sijui nilifikaje nyumbani, kuja kustuka ni asubuhi niko kitandani tatizo limebaki kwa ndugu zangu. Wakati nimeacha simu kwa rafiki nilipigiwa jamaa akapokea na kuwaambia niko kwenye matatizo ile kitu ilizua taharuki watu hawajalala kuulizia hali yangu maana mimi sikupatikana tena.

Hii kitu imeniweka sehemu mbaya sana hakuna mtu anataka kunielewa tena. Ukweli nimekwama nimeamua kuacha pombe maana naona itanigombanisha na ndugu.
Pombe imeharibu umoja wa kitaifa, sitaisahau.
 
Nikiri na niweke wazi, pombe sio mbaya endapo ukiitumia kwa nidham, ila ikitumika kwa upuuzi ni batili kabisa, Alhamisi iliopita nimeenda kutoa mshahara wa magu nikasema wacha nichukue laki mbili tu inatosha kwa matumizi, wife alikua safarini.
Sasa nilikua na deni la miez miwili nilikunywa urabu sehem moja ninayoaminika sana 36k, nilipolipia ndio nikaanza urabu kiasi chote cha pesa mfukoni nilichokua nacho nikakimaliza kwa mda mfupi tu kwani nilijikuta nimearika marafiki kama wanne na niliwahakikishia kula na kunywa.
Kutoka apo kichwa imewaka kila mashine ATM nilioiona nilitoa hela na kuwanunulia pombe whuni, ata nisiowajua so mpka kufika jumamosi jion ninetumia 700k , kilichoniokoa ni kufuatwa na wife baada ya kifika toka safari, na kukuta siko home, alipopiga simu nilimtajia kiwanja nilichopo. Niko ndani leo siku ya tatu nimeomba ruhusa kazini kila nikijitafakari najiona sina amani ya moyo na mie kipato changu sio cha kutumia pesa hio bila kujutia. Nineweka mkakati wa kuacha pombe na ninaomba kuanzia hapa wenye nia wenzangu tuunde group la kupeana mikakati na mabadiliko ya kweli mim naiona pombe basi
Hahaa pombe ikishakolea na pesa ipo huwa mtu hautaki kurudi home hata siku moja, najikutaga natumia laki mbili one night, roho inauma now naenda slow motion sanaa pole mkuu utasahau tu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna pombe hio inaitwa 211 kule ughaibuni nilikunywa kopo mbili halafu nilikwenda club. Yaani nilikuwa najiona kama Superman mikono kama ndege inayotaka kuruka. Nikaingia club nikamchapa mzungu flani nikatolewa nje nikaanza kuwatukana mabausa sijui kilitokea nini ila niliishia hospital wiki 2 na miezi 6 home.[emoji23][emoji23]

View attachment 1576989

Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Huu ndiyo uanaBaba. Safi

Sent from my TECNO CD6 using JamiiForums mobile app
 
Nikiri na niweke wazi, pombe sio mbaya endapo ukiitumia kwa nidham, ila ikitumika kwa upuuzi ni batili kabisa, Alhamisi iliopita nimeenda kutoa mshahara wa magu nikasema wacha nichukue laki mbili tu inatosha kwa matumizi, wife alikua safarini.
Sasa nilikua na deni la miez miwili nilikunywa urabu sehem moja ninayoaminika sana 36k, nilipolipia ndio nikaanza urabu kiasi chote cha pesa mfukoni nilichokua nacho nikakimaliza kwa mda mfupi tu kwani nilijikuta nimearika marafiki kama wanne na niliwahakikishia kula na kunywa.
Kutoka apo kichwa imewaka kila mashine ATM nilioiona nilitoa hela na kuwanunulia pombe whuni, ata nisiowajua so mpka kufika jumamosi jion ninetumia 700k , kilichoniokoa ni kufuatwa na wife baada ya kifika toka safari, na kukuta siko home, alipopiga simu nilimtajia kiwanja nilichopo. Niko ndani leo siku ya tatu nimeomba ruhusa kazini kila nikijitafakari najiona sina amani ya moyo na mie kipato changu sio cha kutumia pesa hio bila kujutia. Nineweka mkakati wa kuacha pombe na ninaomba kuanzia hapa wenye nia wenzangu tuunde group la kupeana mikakati na mabadiliko ya kweli mim naiona pombe basi
Nimetunza siri yangu moyoni anajua ndio nimelewa siku aliokuja tu ila pombe sio chai nimejiona fara saan yaani mpka naona aibu mda wote tu yaani
 
Nikiri na niweke wazi, pombe sio mbaya endapo ukiitumia kwa nidham, ila ikitumika kwa upuuzi ni batili kabisa, Alhamisi iliopita nimeenda kutoa mshahara wa magu nikasema wacha nichukue laki mbili tu inatosha kwa matumizi, wife alikua safarini.
Sasa nilikua na deni la miez miwili nilikunywa urabu sehem moja ninayoaminika sana 36k, nilipolipia ndio nikaanza urabu kiasi chote cha pesa mfukoni nilichokua nacho nikakimaliza kwa mda mfupi tu kwani nilijikuta nimearika marafiki kama wanne na niliwahakikishia kula na kunywa.
Kutoka apo kichwa imewaka kila mashine ATM nilioiona nilitoa hela na kuwanunulia pombe whuni, ata nisiowajua so mpka kufika jumamosi jion ninetumia 700k , kilichoniokoa ni kufuatwa na wife baada ya kifika toka safari, na kukuta siko home, alipopiga simu nilimtajia kiwanja nilichopo. Niko ndani leo siku ya tatu nimeomba ruhusa kazini kila nikijitafakari najiona sina amani ya moyo na mie kipato changu sio cha kutumia pesa hio bila kujutia. Nineweka mkakati wa kuacha pombe na ninaomba kuanzia hapa wenye nia wenzangu tuunde group la kupeana mikakati na mabadiliko ya kweli mim naiona pombe basi
Mkuu ulishaanza kuniinspaya kwa stori yako hususani hayo matumizi endelevu. usiache ulabu bwana, kaza hivohivo, ndo uanababa huo.
 
JamiiForums-1152474339.jpeg
 
hiyo inanikumbusha nikiwa kilimanjaro huko mitaa flani tulitia kambi kwaajili ya ujenzi baada ya kulipwa ile ilikuwa jumamosi mimi na wanangu kama wanne tukaona tuende mahali tukajirudishie shukrani , kutokana na baridi ikabidi tuanzie na treni ya kuni (gongo) for the first time i swear
baadae tukaenda mahali kupata
za TBL katika kurudi ghetto mida ya saa saba katikati ya safar mtaa huo kuna wezi wamepita bana kukutana na wanachi wanasema ni hawa hawa hiyo siku nilikimbia mithili ya subaru
hapo lazima pombe ikate kwanza itarudi. ukifika getto [emoji1][emoji1]
 
Mkuu
Nikiri na niweke wazi, pombe sio mbaya endapo ukiitumia kwa nidham, ila ikitumika kwa upuuzi ni batili kabisa, Alhamisi iliopita nimeenda kutoa mshahara wa magu nikasema wacha nichukue laki mbili tu inatosha kwa matumizi, wife alikua safarini.
Sasa nilikua na deni la miez miwili nilikunywa urabu sehem moja ninayoaminika sana 36k, nilipolipia ndio nikaanza urabu kiasi chote cha pesa mfukoni nilichokua nacho nikakimaliza kwa mda mfupi tu kwani nilijikuta nimearika marafiki kama wanne na niliwahakikishia kula na kunywa.
Kutoka apo kichwa imewaka kila mashine ATM nilioiona nilitoa hela na kuwanunulia pombe whuni, ata nisiowajua so mpka kufika jumamosi jion ninetumia 700k , kilichoniokoa ni kufuatwa na wife baada ya kifika toka safari, na kukuta siko home, alipopiga simu nilimtajia kiwanja nilichopo. Niko ndani leo siku ya tatu nimeomba ruhusa kazini kila nikijitafakari najiona sina amani ya moyo na mie kipato changu sio cha kutumia pesa hio bila kujutia. Nineweka mkakati wa kuacha pombe na ninaomba kuanzia hapa wenye nia wenzangu tuunde group la kupeana mikakati na mabadiliko ya kweli mim naiona pombe basi
Mkuu hii mimi ilishanitokea yaani kuanzia ijumaa mpaka jumanne, kila nikikumbuka pesa niliyotumia roho inasononeka sana.

Aisee kwa kiasi kile cha pesa sitakuja kusahau na marafiki nao wala hawakushtui zaidi ya kupiga vizinga na kesho yake wanaulizana "Oya kaamkia wapi, leo wapi?". Ile kampani siitaki tena though ni friends wa kitaa.

Nolichojifunza na kugundua, ukitaka uwe na nidhamu ya pesa kwenye pombe, hakikisha huamki na hang over. Ukiamka nayo tu na hela unayo jua utaliendeleza na pesa utatumia bila kujari.
 
Bwana weeeh hahahaaa ngoja nicheke kidogo.
Siku hiyo kulikua na mjumuiko wa familia anko kaniambia kunywa kidogo tu changanya na soda/coca. Nikanywa kaglas nusu wiskey ya Captain Morgan.
Ater mins nikawa mtu mwenye furaha zaidi duniani full kucheka.
Usiku kwenye sala za jioni wamesoma somo na kutafakari wakajikoroga wakasema nani anataka kuongezea.
Bwana wee nikaitikia niliangusha injili hatari.
Mimi hua siwezi kuhubiri mbele za watu ila siku hiyo walinivulia kofia..Hadi wakawa wananiziwia nisiendelee mm naona bado madini yamejaa kichwani
Hahahha walikufaidi sanaaa ila ndio experience za maisha, smtms zinafurahisha zingne zinatuumiza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwaka 2009 nilikwenda Tabora kikazi, sasa kwenye ofisi ya mo ule kuna jamaa akatokea kunizoea nikamuomba jioni anizungush zungushe kuifahamu mitaa, jioni ilivyofika akanipigia simu tukakutana na kuanza kupiga misele, nikamuuliza baa gani imechangamka akanipeleka kipindi hicho napiga sna mitungi sasa hivi nimeacha, kufika nikaagiza kilimanjaro yeye akaagiza konyagi basi piga vyombo sana tu.

Ghafla mshikaji akaanza kulia bwana, lia vibaya mno nikapata kazi ya kuanza kubembeleza mtu mzima na mindevu yake anacholia sikijui na hadi leo sifahamu alikumbuka nini.
 
Bwana weeeh hahahaaa ngoja nicheke kidogo.
Siku hiyo kulikua na mjumuiko wa familia anko kaniambia kunywa kidogo tu changanya na soda/coca. Nikanywa kaglas nusu wiskey ya Captain Morgan.
Ater mins nikawa mtu mwenye furaha zaidi duniani full kucheka.
Usiku kwenye sala za jioni wamesoma somo na kutafakari wakajikoroga wakasema nani anataka kuongezea.
Bwana wee nikaitikia niliangusha injili hatari.
Mimi hua siwezi kuhubiri mbele za watu ila siku hiyo walinivulia kofia..Hadi wakawa wananiziwia nisiendelee mm naona bado madini yamejaa kichwani
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkuu ulitisha sana aisee wacha utoe neno
 
Back
Top Bottom