Visa gani pombe ilikufanyia hutasahau?

Visa gani pombe ilikufanyia hutasahau?

Kule sawa
hapa/ kule pote sawa tu 😅

Wine me zinaendaga chini zote sielewi kwanini.
Naenjoy Smirnoff tu, kesho yake niamke nimechoka kama punda 😅😅
Kule sawa hapa sio😉 Alafu last week ulizingua but it was ok with me. Smirnoff nilikuwa nazipenda ila sasa kwa pombe kali napiga Magic moment of any taste kama nikiikuta hapo mahali. Haiumizi kichwa wala haikupi hang over wala haiumizi kichwa.

Hivi smirnoff beer bado ipo kweli?
 
Mambo mengi bwana...

Smirnoff naisemea ile black ice na sio vodka. Hiyo unayoita Smirnoff beer
 
. Mkuu labda alimaanisha kyela
Hata mimi nilifikiria hivyo ila ilibidi nicheke kwanza. Mwambie Tukuyu ndio kitovu cha baridi Mbeya nzima, tena asithubutu kusogea pande za Mwakaleli, kandete huko kwenye ile Milima ya livingstone kama anatokea Dar maana itamlazimu kunywa pombe kali kilasiku ili kuincrease body temp dhidi ya hali ya mazingira
 
Jamaa umenikumbusha mbali matukio ni mengi ila moja ni hili:
Wakati nikiwa chuo mwaka wa mwisho tulikuwa tunafanya vikao vya tungi ,kama kawaida faru john mtu nne ila nilikua nachelewa kulewa tofauti na wenzangu kwa bahati mbaya Siku iyo nlikula slace mbili za mkate ,nikakaza kibingwa Hamna kutegeana nakumbuka tulikunywa konyagi nyingi sana baadae tukasepa kila mtu kivyake njiani nikanunua chips+mishkaki ili nikalie geto kufika geto nikaanza kukata moto kiasi kwamba nilishindwa kuingiza funguo kwenye tundu la kofuli nikajisogeza pembeni Luna tofali nkakaa cha ajabu ambacho kilinishangaza alikuja mbwa sijui wa wapi akaninyang'anya mfuko wenye kiepe na mishkaki nilishindwa hata kumwambia shhh toka maana mdomo haufunguki,nikaamua kujilaza palepale hadi asubui..nikajifunza pombe bila msosi noma pia niligundua ukinywa nyagi na glass macho yanakufa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mambo mengi bwana...

Smirnoff naisemea ile black ice na sio vodka. Hiyo unayoita Smirnoff beer
Sikulaumu....
The time when it was introduced at first ilikuwa ikijulikana kama Smirnoff beer baada ya siku chache wakamleta pacha wake Smirnoff Vodka baadae wakabadirisha jina sijui but kwenye lebel naona Smirnoff black ice.

Dar hazionekani siku hizi....
 
Ilikua 2014" " mkoan Tabora huko"""
Kuna ukumbi wa Club: unaitwa 1 O 1 (one zero one)....wikend moja hiv!! Nilichukua bodaboda ya mshikaj ili nipigie misele""" but ilipotimia night hiv nilienda pale ukumbin kubuludika""" na ilipotimu saa 6 hiv! Nikatoka ..dhumun niende ghetto" coz kichwan nishawaka'''

Sasa suala linaanzia hapa:
Ile bodaboda ilikua nje ya ukumbi nimepaki""
Nilipoiwasha tuu"" wakatokea Warembo Wawili ( pisi kalii) pamoja na msela mmoja::

Kabla sijawaoji yule demu mmoja kisha dandia pikipiki......akatoa na amri nipeleke mtaa Cheyo"" ( mitaa fulan ushuani huko)
Ikumbukwe BodaBoda Haikua kazi yangu;

Nikasema poa" ngoja niongeze hela ya mafuta"""""" wale wengine tuliwaacha.. Japo yule demu niliempakia aliwasisitiza wenzie hatakua salama""""( japo Alikua nae kalewa)

Safari ilipokolea nakuja situka kanilalia mgongon!! Anaongea maneno hayaeleweki!!!!!! Kila nikimuuliza wapi kwenu"" anakoloma tuu"" daa"" ikabidi nilud"" mpka club""

Nikajitega pale mpka ngoma 8 hivi ..wenzie sikuwaona""""( shubaamiti)....
Wakuu ilibidi niende nae ghetto yule mtoto ...

Kufika ghetto mtoto nambeba mpka ndan ajielewi!!!! ..ilibidi nimtoe nguo zote""" coz alitapikia"" kibaya zaid"" hakua na simu" nikamfuta na maji """ washa fen nini!! .....oooh my god""alikua mzuri hatar!!!!!..
Chuchu saa6..kasoro... Rangi ya mtume, ;;;

Kilichonikosti ni vile viroba viwili nilivobakiza mfukoni!! Baada ya kuviongeza kichwani!.....""Anisamehe Yesu na Kristo"" (asubuh nilikuta nishamfyeka""" Alipostuka pombe zimeishaa ilikua ni kilio tuu:

Ukichangany ni wakishua"""asee ilikua kazi kumtuliza na kumuelewesha"""""..
Lawama zote tulizipeleka kwa JOHNY(Pombe) ila alikuja elewa" Asubuh hyo" nikafanya mpango kumpeleka kwao , , , , , , itaendelea!!?
 
Duh! Hadi The Fuzz unapajua 😅😅

Nyama, vinywaji na music
Nishaingia sana pale. Kumbuka nilianza kuishi Sakina Salentin kabla ya kuhamia Njiro so na ubachelor huu hayo ndo yalikuwa maeneo ya week end kuchangamsha akili baada ya ubize wa wiki nzima ofisini kabla sijarudishwa Dar. In early days of the next month nitakuwa huko tena
 
Nakipata hiki kiwanja, kipo maeneo ya ukitokea msikiti mkuu kama unaelekea kule relini. Majina ya mitaa nishasahau maana nilikaa wiki moja tu kikazi 2013. Ni kiwanja kikongwe sana
 
Nishaingia sana pale. Kumbuka nilianza kuishi Sakina Salentin kabla ya kuhamia Njiro so na ubachelor huu hayo ndo yalikuwa maeneo ya week end kuchangamsha akili baada ya ubize wa wiki nzima ofisini kabla sijarudishwa Dar. In early days of the next month nitakuwa huko tena
Sakina ina viwanja vingi aisee, ni wewe tu na wallet yako 😅
 
Njiro ilikuwa zamani Q pub bhas, hapa relini ukipandisha kama unaelekea bia kuna kipub kinabamba na chenyewe, na ile iliyoko pale bia opposite na geti la kuingilia Breweries jina nimesahau. Vipi kwa Msola huko?😂😂😂
 
Back
Top Bottom