Job K
JF-Expert Member
- Oct 4, 2010
- 9,314
- 7,169
Raia na sisi tumekuwa makondoo sana,, mgambo mtawapaje nafasi ya kuwaadhibu namna hiyo na nyie mnawaangalia tu? Wake up guys, kama mbwai na iwe mbwai tu, siku nyingine msikubali kirahisi namna hiyo!! nimeikumbuka kideo ya jamaa langu la Uganda lilimwadabisha mgambo mpaka akakimbilia kujificha kwenye meza za mama ntilie!!