Vipi update za mazungumzo na Accacia

Vipi update za mazungumzo na Accacia

Kwani ile mali ni nani mpaka isiwahusu Watanzania kujua kipi kinachoendelea? Hakuna mazungumzo ya mwaka Wazungu wanathamini muda wao hawawezi kukubali ujinga wa kujadili kwa mwaka mzima.

Inakuhusu nini?au ni huo umbea mbea wenu mshazoea, ili mpate kuweza kuandika andika upuuzi huku hata mwk mzima waacheni wakae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sheria ya madini ilijadiliwa na kupitishwa ndani ya siku moja, lakini makinikia (ambayo ni sehemu tu ya hiyo sheria) inajadiliwa zaidi ya mwezi!
 
  • Thanks
Reactions: SDG
mtabaki kama mkandawile dj wa video ya kina vandame na lanjiti, wana wa brainwash eti komando mmoja anaua wavietnam 1000 harafu anapigwa bomu anachomoka, na watoto wanaaimini, nawaliokuwa brainwashed hadi leo wanaendelea kuamini.
Hata usemaje. Lissu atasema. Hapa ndipo napo muona Lissu ni msema kweli. Kama ulizoea kudanganywa. Shauri yako. Tatizo unafikiri uzalendo ni kuficha maovu ya nchi. Cha kweli lazima kisemwe tu. Kama hautaki kusikia. Chukua sindano toboa ngome za sikio ili usisikie daima. Uzuri akili, macho, pua na mdomo hufanya kazi kwa kujitegemea. Kwahiyo huwezi kuyazuia masikio labda kama ni kiziwi, vinginevyo hautaweza.
Viva Lissu
 
Ni takribani mwezi mzima tangu barick na serikali waanze mazungumzo, ndani mwezi huu wote serikali ipo haisemi kinachoendelea kwenye mazungumzo.
Swali la kujiuliza mazungumzo gani hayo yanafanywa mwezi mzima, hivi kweli wale jamaa wa Barrick hawana kazi za kufanya wakae mwezi mzima kujadili makinikia.

Binafsi naamini kuwa mazungumzo yale Tanzania tumeambulia patupu, naamini wale barick wameisha ondoka inatafutwa njia ya kutudanganya wadanganyika, wazungu wanajali sana hawawezi kukaa muda kujadili jambo hilo tu la makinikia
Serikali iseme kama tumeshindwa tujue.

Ukiona kimya ujue waemaji maji ya shingo wanaogopa kujitokeza na akijitokeza wa kusema kinachoendelea na mkwamo utaona povu lao
 
Kwani ile mali ni nani mpaka isiwahusu Watanzania kujua kipi kinachoendelea? Hakuna mazungumzo ya mwaka Wazungu wanathamini muda wao hawawezi kukubali ujinga wa kujadili kwa mwaka mzima.
Kwa hiyo unachotaka ni kulazimisha upewe taarifa ili upate jambo lakushindia kwenye mitandao??jadlini kwanza habari za IMMMA ADVOCATE OFFICE imekukuwaje zikaungua??? Makinikia bado mda wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Za chini ya kapeti ni kwamba Barick Gold wameweka facts na data mezani kiasi kwamba ilibainika wao ndio wanaidai serikali matrilioni ya pesa. Wenzetu watz hawakuwa na data na facts za maana kiasi kwamba ilibidi waondoke vichwa chini kwa aibu.

Kiufupi tulikurupuka! Mheshimiwa sana alikyrupuka. Tumepata aibu ya mwaka! Tumejianika utupu wetu hadharani! Serikali iliomba haya mambo yawe siri ili kusave face kisiasa. Na barick wameahidi wataifichia serikali hii aibu! Kwa hiyo ndugu zangu wale mliokuwa mnasubiria kitimoto
Makinikia walikabidhiwa? Kitu mnanishangaza watanzania wenzangu ni kushabikia vitu kinafki mtafikiri mnaishi ulaya kama tz tukifail hajafeli magufuli ni watanzania wote, kwani mikataba ikivunjwa tulikuwa tunafaidika na nini, ivunjwe tu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni takribani mwezi mzima tangu barick na serikali waanze mazungumzo, ndani mwezi huu wote serikali ipo haisemi kinachoendelea kwenye mazungumzo.
Swali la kujiuliza mazungumzo gani hayo yanafanywa mwezi mzima, hivi kweli wale jamaa wa Barrick hawana kazi za kufanya wakae mwezi mzima kujadili makinikia.

Binafsi naamini kuwa mazungumzo yale Tanzania tumeambulia patupu, naamini wale barick wameisha ondoka inatafutwa njia ya kutudanganya wadanganyika, wazungu wanajali sana hawawezi kukaa muda kujadili jambo hilo tu la makinikia
Serikali iseme kama tumeshindwa tujue.
Manyoya bana zaidi ya wiki huwezi kaa TZ na kuacha shughuli zako
 
Back
Top Bottom