Vipi update za mazungumzo na Accacia

Vipi update za mazungumzo na Accacia

Hayo ni matamanio yako na hayatofanikiwa.
Kwa nini unaitaka serikali ikueleze kama imeshindwa badala ya kuwataka Barrick waeleze wameshinda?
ACACIA walikua wanatoa updates zao kwa mbwembwe muulize mkuu Salary Slip wameishia wapi.
Kama ulidhani kuwa lile deni lilikuwa ni la uongo umejidanganya sana,facts zimewekwa mezani wanatakiwa wajikaange wenyewe
Watu hawajui anaye athirika haya mazungumzo kuchukuwa muda mrefu au kukaa kimya ni Acacia!! Kutoka na global economy uncertainties watu wana invest kwenye metals na Acacia na Barrick wana miss hii opportunity!
 
Watu mmewekeza kwa Lissu mkidhani mtu wa maaaaana kumbe mnapigwa changa la macho. Hamjifunzi na maapishi ya Mwembeyanga?
Ni kweli aisee waambie maana Tundu ni muongo kweli kwa sababu sisi ndege yetu haijakamatwa wala sisi hatudaiwi na mtu yeyote na wala sisi hatujawahi kuvunja mkataba hata mmoja. Tundu ni muongo kweli na amelipwa ili alete vurugu kwenye nchi iliyojaa amani. Tena nasikia jana alisema watu wamebomolewa nyumba zao huko kimara na kiluvya. Muongo sana huyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni takribani mwezi mzima tangu barick na serikali waanze mazungumzo, ndani mwezi huu wote serikali ipo haisemi kinachoendelea kwenye mazungumzo.
Swali la kujiuliza mazungumzo gani hayo yanafanywa mwezi mzima, hivi kweli wale jamaa wa Barrick hawana kazi za kufanya wakae mwezi mzima kujadili makinikia.

Binafsi naamini kuwa mazungumzo yale Tanzania tumeambulia patupu, naamini wale barick wameisha ondoka inatafutwa njia ya kutudanganya wadanganyika, wazungu wanajali sana hawawezi kukaa muda kujadili jambo hilo tu la makinikia
Serikali iseme kama tumeshindwa tujue.
Dogo acha kupiga ramli
 
Serikali isiwape updates zozote ibaki kimya hivyohivyo. Mmekaa kusubiri kuanza kubadili maneno maneno, mkae hivyohivyo mkisubiri
Lissu atatuambia tu. Huyu ndiye mzalendo wetu. Hata mkae kimya. Hakuna siri chini ya jua.
Kiboko ya serikali ya ccm ni Lissu na Kibatala.
Magufuli kwa Lissu anaingia x2000000000000000000. Mawakili wa ccm, nao wanapwaya balaa
 
Huna unachokijua, wewe endelea kufua nguo za EL baada ya kula matapishi.
Hasira za nini dada? Maelezo ya makinikia yalikuja na mbwembwe nyingi, iweje mbwembwe ziishie katikati na mtu akitaka kujua mnakuwa wakati?
 
Lissu atatuambia tu. Huyu ndiye mzalendo wetu. Hata mkae kimya. Hakuna siri chini ya jua.
Kiboko ya serikali ya ccm ni Lissu na Kibatala.
Magufuli kwa Lissu anaingia x2000000000000000000. Mawakili wa ccm, nao wanapwaya balaa

mtabaki kama mkandawile dj wa video ya kina vandame na lanjiti, wana wa brainwash eti komando mmoja anaua wavietnam 1000 harafu anapigwa bomu anachomoka, na watoto wanaaimini, nawaliokuwa brainwashed hadi leo wanaendelea kuamini.
 
Ni takribani mwezi mzima tangu barick na serikali waanze mazungumzo, ndani mwezi huu wote serikali ipo haisemi kinachoendelea kwenye mazungumzo.
Swali la kujiuliza mazungumzo gani hayo yanafanywa mwezi mzima, hivi kweli wale jamaa wa Barrick hawana kazi za kufanya wakae mwezi mzima kujadili makinikia.

Binafsi naamini kuwa mazungumzo yale Tanzania tumeambulia patupu, naamini wale barick wameisha ondoka inatafutwa njia ya kutudanganya wadanganyika, wazungu wanajali sana hawawezi kukaa muda kujadili jambo hilo tu la makinikia
Serikali iseme kama tumeshindwa tujue.
Uambiwe nini wakati umeshajua wameondoka na tumeshindwa wanatafuta mbinu ya kukudanganya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna tetesi zinasema hakuna tena mazungumzo, kilichofanyika ni serikali ya Tanzania kupitia Profesa Kabudi kupokea Proposal za Acacia(Barrick) na kuzipeleka mezani kwa Sizonje, na kisha Acacia(Barrick) wakaambiwa wakae kimya, wasubiri Siku Sizonje aje kufunguka.

Kwa hiyo mpaka sasa hakieleweki na hakijulikani kitaeleweka lini.
Kwani hujaelewa kupitia hizo tetesi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni takribani mwezi mzima tangu barick na serikali waanze mazungumzo, ndani mwezi huu wote serikali ipo haisemi kinachoendelea kwenye mazungumzo.
Swali la kujiuliza mazungumzo gani hayo yanafanywa mwezi mzima, hivi kweli wale jamaa wa Barrick hawana kazi za kufanya wakae mwezi mzima kujadili makinikia.

Binafsi naamini kuwa mazungumzo yale Tanzania tumeambulia patupu, naamini wale barick wameisha ondoka inatafutwa njia ya kutudanganya wadanganyika, wazungu wanajali sana hawawezi kukaa muda kujadili jambo hilo tu la makinikia
Serikali iseme kama tumeshindwa tujue.
Si mna vyanzo vyenu kwanini msivitumie kupata taarifa.?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom