Vipi update za mazungumzo na Accacia

Vipi update za mazungumzo na Accacia

Hapa serikali ya TZ ishapigwa bao. Ni yale yale ya samaki ya wachina. Mwisho wa siku utasikia tunadaiwa na Barick.

Mzee wa hasara kazini, mpaka kipindi chake kiishe taifa litakuwa lina madeni mengi sana.
Ifike muda awajibike yy, si anapokea mshahara. Awalipe kwa mshahara wake ili siku nyingine awe ana akili.
kabisa, akatwe mshahara!

brain is the beautiful part of the body.
 
Ni takribani mwezi mzima tangu barick na serikali waanze mazungumzo, ndani mwezi huu wote serikali ipo haisemi kinachoendelea kwenye mazungumzo.
Swali la kujiuliza mazungumzo gani hayo yanafanywa mwezi mzima, hivi kweli wale jamaa wa Barrick hawana kazi za kufanya wakae mwezi mzima kujadili makinikia.

Binafsi naamini kuwa mazungumzo yale Tanzania tumeambulia patupu, naamini wale barick wameisha ondoka inatafutwa njia ya kutudanganya wadanganyika, wazungu wanajali sana hawawezi kukaa muda kujadili jambo hilo tu la makinikia
Serikali iseme kama tumeshindwa tujue.
Mnahangaika hamna kazi kazi umbea na majungu fanyeni kazi . Kwani serkali imewaambia haiwapi mrejesho kwanini msiwe na subira.Kuleni ugali wa amira na maharage mvimbiwe mlale usingizi hamna cha kuongea.
 
Ni takribani mwezi mzima tangu barick na serikali waanze mazungumzo, ndani mwezi huu wote serikali ipo haisemi kinachoendelea kwenye mazungumzo.
Swali la kujiuliza mazungumzo gani hayo yanafanywa mwezi mzima, hivi kweli wale jamaa wa Barrick hawana kazi za kufanya wakae mwezi mzima kujadili makinikia.

Binafsi naamini kuwa mazungumzo yale Tanzania tumeambulia patupu, naamini wale barick wameisha ondoka inatafutwa njia ya kutudanganya wadanganyika, wazungu wanajali sana hawawezi kukaa muda kujadili jambo hilo tu la makinikia
Serikali iseme kama tumeshindwa tujue.
Kwani umewaleta wewe hadi utoe uelekeo wa mazungumzo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Endelea na mambo yako...
Wangefanikiwa tungejulishwa,tumepigwa kekundu.

Philips X2560
 
kwani wale wazungu bado wapo? hawanaga time yakupoteza kiasi icho mkulu yamemfika hapaaa kwakuambulia zero tusubiri ashike microphone aanze kuropoka na kusingizia wengine
NOAH kwishney
tunasubiri serikali ikosee ili tupate cha kuzungumza ni Tanzania tu unaweza kuwapata akina lissu wengi
 
Za chini ya kapeti ni kwamba Barick Gold wameweka facts na data mezani kiasi kwamba ilibainika wao ndio wanaidai serikali matrilioni ya pesa. Wenzetu watz hawakuwa na data na facts za maana kiasi kwamba ilibidi waondoke vichwa chini kwa aibu.

Kiufupi tulikurupuka! Mheshimiwa sana alikyrupuka. Tumepata aibu ya mwaka! Tumejianika utupu wetu hadharani! Serikali iliomba haya mambo yawe siri ili kusave face kisiasa. Na barick wameahidi wataifichia serikali hii aibu! Kwa hiyo ndugu zangu wale mliokuwa mnasubiria kitimoto
 
Ni takribani mwezi mzima tangu barick na serikali waanze mazungumzo, ndani mwezi huu wote serikali ipo haisemi kinachoendelea kwenye mazungumzo.
Swali la kujiuliza mazungumzo gani hayo yanafanywa mwezi mzima, hivi kweli wale jamaa wa Barrick hawana kazi za kufanya wakae mwezi mzima kujadili makinikia.

Binafsi naamini kuwa mazungumzo yale Tanzania tumeambulia patupu, naamini wale barick wameisha ondoka inatafutwa njia ya kutudanganya wadanganyika, wazungu wanajali sana hawawezi kukaa muda kujadili jambo hilo tu la makinikia
Serikali iseme kama tumeshindwa tujue.
Acacia ina wamilikiwi wengine zaidi ya Barrick gold na wana haki ya kujua matokeo ya majadiliano. Sasa kama mazungumzo yameshakwisha na Barrick wameondoka mbona bado hawaja wa inform wamiliki wengine wa Acacia??
 
Za chini ya kapeti ni kwamba Barick Gold wameweka facts na data mezani kiasi kwamba ilibainika wao ndio wanaidai serikali matrilioni ya pesa. Wenzetu watz hawakuwa na data na facts za maana kiasi kwamba ilibidi waondoke vichwa chini kwa aibu.

Kiufupi tulikurupuka! Mheshimiwa sana alikyrupuka. Tumepata aibu ya mwaka! Tumejianika utupu wetu hadharani! Serikali iliomba haya mambo yawe siri ili kusave face kisiasa. Na barick wameahidi wataifichia serikali hii aibu! Kwa hiyo ndugu zangu wale mliokuwa mnasubiria kitimoto
Haujui unachoongea!! Acacia inawamiliki wengine zaidi ya Barrick Gold na wana haki ya kujua kinachoendelea!!

Halafu kukaa kimya anaye athirika ni Acacia na Barrick!!!
 
Back
Top Bottom